Watanzania tunaimba viwanda mdomoni, Kenya wanajenga viwanda


Unajua kwanini unaona hivyo? Ni kwa sababu ya CCM. CCM ni zalisho la ufisadi na mafisadi. No wonder you have Chenge as Mwenyekiti w Bunge. And Magufuli as the Rais. Watu hawa wakihama CCM, mtaanza kuwaita mafisadi. Ni kweli kabisa, kama alivyosema Julius Mtatiro, CCM mnaelewa polepole mno.

Sasa hivi huwezi kusikia ufisadi kwani Magufuli na posse yake ndiyo wanao run things. Under Kikwete ilikuwa ni fungulia dog. Under Magufuli ni closed circle. Only Magufuli and his people are making deals. Na ndiyo maana akajitoa OGP. Tuombeni uzima tu, ili ukweli uje kujulikana.
 
Hivi huo ufisadi anaondoa ni upi? Na tutajuaje anaondoa ufisadi ilhali hatuna taarifa za government business? Nimetoa mfano wa mikataba ya manunuzi iliyofanyika chini ya Magufuli, yote ni siri. Sasa tutajuaje kama hakuna ufisadi humo?
Nitaendelea kukugonga misumari japo unakwepa hoja zangu za nguvu na kukimbilia kulia lia.
Kwanza ujue Tanzania ni nchi huru na inajiamulia maamuzi yake yenyewe. Pili unatakiwa kuelewa kuwa nchi yetu ni kama nchi zingine, tupo katika vita vya kiuchumi na nchi zingine ambao hawaitakii mema nchi yetu. Kwa mantiki hiyo siyo kila mkataba lazima uwekwe wazi kwa manufaa mapana ya nchi yetu. Zipo taratibu maalum za kuweza kufuatilia ili upate kujua hiyo mikataba.
Na kama wewe ni mtu mweliewa huwezi ukashadadia mambo madogo madogo hivyo. Vilevile kwa sababu unaongozwa na chuki huwezi kuona zuri lolote atakalia ulalama na kulaumu pasipo direction. Unatakiwa uwe na msimamo na ukielekezwa fuata utaratibu. Hii ni nchi inaongozwa kwa sheria. Sheria zipo zinazoelekeza namna ya kupata mikataba iliyoingiwa na jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Vilevile acha kupotosha umma, tunawachagua wabunge kuwa wawakilishi wetu katika majimbo ya uchaguzi, wao ndio wawakilishi wetu katika kutusemea na kufuatilia masuala yetu. Kama mbunge wako siyo active basi ni nyie wananchi mnatakiwa kumuondoa.


Unajua nyiye watu wa CCM mnaelewa polepole mno. Tuombe uzima, ili siku ambayo kila alichokifanya Magufuli kitakapowekwa wazi, tuone mtasemaje.

Tatizo wewe na jopo lako kutaka kulazimisha mawazo yenu yawe sahihi. Katika nchi zinazofuata Demokrasia ya kweli, nchi kama Tanzania walio wengi ndio hupata nafasi ya kutekekeza mawazo yao. wachache watasikilizwa tu. Sasa siyo wewe ulazimishe wazo lako litendewe kazi wakati walio wengi wamelikataa. Kuendelea kupayuka katika jambo lililokataliwa na wengi siyo demokrasia ni vurugu. Kuanza kutukana nakujiona wewe unaakili kuliko wengine ni upumbavu uliovuka mpaka. Bila CCM nchi hii isingekuwa na Amani hii tuliyonayo. Ukienda kwenye mtandao unaoelezea 2017 WORLD PRESS FREEDOM INDEX Tanzania inaongoza hapa Africa Mashariki na ni kati ya nchi chache Africa zenye uhuru wa habari. Soma zaidi hapa:
2017 World Press Freedom Index | Reporters Without Borders

Nyiye watu mlitetea safari za Kikwete. Btw, Magufuli mwenyewe alikuwa mtetezi mkubwa wa safari za Kikwete
Hapa ndipo nawaona nyie watu ni mapoyoyo, msiojijua, wanafiki, wenye lengo la kuharibu umoja wa kitaifa. Watu msio na haya mliojaa chuki. Kipindi cha Mh. Jakaya kikwete kimekwisha. Serikali iliyopo madarakani inaongozwa na Ilani ya Uchaguzi ya CCM. Hatupelekweshwi na ninyi wapiga domo, msioishiwa maneno. Rais wa awamu ya nne mlimtukana, mzee wa watu alivumilia matusi ya kila aina. Huku mkialikwa kwenda ikulu kunywa juice. Mmekuwa kama watoto wachanga wasio jielewa, mmelewa dhuruma, watumsiotaka transformation, mnabaki na mambo ya kale yasiyo natija kwetu. Hakika msipobadilika historia itawahukumu na kuoneka wapinga maendeleo. Mililia Rais anaenda sana nje huku mkimkashifu eti amekuwa Vasco Dagama, mlitunga maneno ya kila aina, huku ajenda yenu ni kuharibu umoja wa kitaifa. Sasa hivi tuponaye Jemadari wetu wa vita asiyeogopa makelele ya vyura. Hakika nawaeleza hamtafanikiwa kwambinu zenu hizi zilizopitwa na wakati. Sisi tupo Advanced zaidi yenu. Tumewaacha kwa muda ili mpayuke yote yanayozijaza nyoyo zenu.

Sasa tutawashughulikia kuanzia kwenye motandao. Maana hamna la maana mnatupotezea mda tu. Hebu angalia hata comment zako. Unajichanganya changaya tu hueleweki unachoongelea. Hizi comment zako zinwakilisha mawazo ya maboss wenu na nia yenu ovu.

Leo mnaona OGP haina maana, kwa nini hamkusema hivyo wakati Kikwete anaiunga Tanzania?
Ona usivyo na haya umejaaa unafiki. OGP imeanzishwa 2011 juzi tu kikwete katoka madarakani 2015. Nakueleza huijui OGP. Kitu ambacho hakina manufaa katika nchi yetu hatuwezi kuendelea nacho. Vilevie unatakiwa uwe mwenye kujua historia ya nchi yetu. Tulikuwa kwenye umoja wa COMESA lakini tuliondokana nao, iweje hii OGP? Tumekataa kusaini mkataba wa EPA na mambo mengine yapo mengi tu. Acha kuleta nyimbo na mapambio hapa. Tanzania ni nchi yenye intelligensia ya hali ya juu.

Ati majority Tanzanian? Dude, what was the voters turnout?
Ona unavyojiaibisha sasa. CCM ni chama kikubwa sana hapa duniani. Ipo na registered member almost 10 million. Hata hizo kura mlizozipata mwaka 2015 ni kwa sababu ya CCM na siyo kwaajili ya vyama vyenu uchwara. CCM kuna vichwa vya political science. Mmemsema Lowassa mkatekenywa kidogo tu mkaingia king. Mkamchukua Lowassa kuwa mgombea wenu. Lowassa amekuwa ndani ya CCM miongo na miongo, msivyo na vision mkaingia kichwa kichwa tu. Nyie ni hopeless kabisa. Subirini mtaiona tsunami.

Yes, as long as CCM is in power, Tanzania will foreover be a shithole country. Yaani chama ambacho for over 50+ years has never accomplished even one thing in 100%, ndicho unatarajia ati kiibadili Tanzania for better. Keep on dreaming buddies.
Nimekwambia hapo juu usilazimishe mawazo yako yakawa sahihi na kuanza kutukana nchi yetu. Nchi yetu ni ya kidemokrasia. Lawama za kipuuzi na za kijinga wala hazina mantiki yoyote. Na nilishakueleza kuwa CCM iliaznishwa mwaka 1977 unakalia kuwaongea uongo bila hata haya. Nilikueleza pia Tanzania iliingia katika vita ya Uganda.
Vilevile Tanzania ni kati ya nchi zilizokuwa front line katika kuzikomboa nchi za Africa. Tuliwapigania ndugu zetu Msumbiji, Tukawapigania ndugu zetu Zimbabwe, Namibia, Shelisheli nk. Mwalimu Nyerere alisema Kama nchi za Africa hazipo huru haina maana yoyote ya Tanzania kupata uhuru. Nchi ya SA imepata uhuru miaka ya 90s.

Sasa usipotoshe historia ya nchi yetu. Kuna watanzania wengi wamemwaga damu kwaajili ya waafrika wenzao. Usikubali kutumika na kueneza chuki zisizo na mantiki.
Hii hapa ni moja ya kielelezo cha Tanzania katika ukombozi wa Africa



Yaani ninazidi kukushangaa sana. Hebu nakuomba weka orodha ya wafuasi wa CHADEMA wenye elimu kubwa. Kwanza CHADEMA inaongozwa na form four failure. Mwenyekiti wenu kashindwa kumaliza hata kidato cha nne kaishia kuwa mcheza disco.
Mwenyekiti wa CCM ni dkt (PhD holder)
Nakutaka ulete orodha ya wasomi wa 50 wa chadema mimi nitakuletea orodha ya wasomi 500,000 wa CCM.
 

Brother you talk as if YOU are coming from the advanced world. Hivi WALE ukuta ambao kukosa kwao ndiyo kunakupa uchungu, wangepewa NCHI leo hii NCHI ingekuwaje??
So tungekuwa kama Colombia. Kungekuwa na state capture. Kuna Watu wangekuwa na ukwasi usiomithirika. Nafuu JPM kuvunja networking ya mafisadi. Hatusemi kuwa atakomesha ufisadi kwa 100% lkn atapunguza SANA. Sasa no mitandao ya kifisadi, labda ianze upya.
 

You are again misreading what I'm saying. Mimi shida yangu kubwa ni uwepo wa CCM madarakani. CCM ndiyo wamefanya nchi yetu isiwe advanced. Hivi uwa mnajiuliza kwanini China, Singapore, South Korea na Taiwan zilikuwa na viwango vya umaskini sawa na Tanzania miaka ya 1950-1970. Tena Singapore hadi 1980. Lakini leo nchi hizi zinaigawia Tanzania misaada.

Ninachohitaji ni chama kingine tu. Katika ulimwengu huu, huwezi kuwa na chama kinachotawala kwa miaka 50, huku mambo hayabadiliko for better, halafu watu waka-stick na hicho chama tu. It is insanity at its best.

Hao unaowasema wangepewa nchi ingekuwaje, je, kuna ubaya gani mpya utakaotokea ambao CCM hawajaufanya? Ati state capture. Kuna level gani nyingine ya state capture zaidi ya walivyofanya CCM. Si ndiyo maana CCM mnajiita ni chama dola. Mpaka mnaenda kujichotea mapesa benki. Mwenyekiti wa CCM anamwagiza mpwa wake achote mapesa ili CCM inunue wapinzani. Mnafanya hayo, huku budget disbursements kwenye maeneo muhimu kama maji na kilimo zikiwa chini ya 20%.

Unaongelea ukwasi, hivi huoni ukwasi wa watu waliokaribu na Magufuli sasa hivi? Mzee nimekwambia sasa hivi Magufuli ndiyo amejimilikisha ufisadi. Na ku-dispute hili ni vigumu kwa sababu anafanya mambo gizani. Ni kama Colombia kama ulivyosema. Magufuli ana cartel yake waliojimilikisha deals zote na ufisadi. Hivi umejiuliza pamoja na uwekezaji wote ule kwenye bomba la gesi, na ahadi kedekede za uchumi wa gesi, na mgao wa umeme kuwa historia, kwanini serikali hii imeamua kuwekeza tena kwenye Stigler's Gorge? Kwanini kutapanya meagre resources hivyo? Ukipata jibu utaelewa ni namna gani Magufuli ni mpiga deals.

. Nafuu JPM kuvunja networking ya mafisadi. Hatusemi kuwa atakomesha ufisadi kwa 100% lkn atapunguza SANA. Sasa no mitandao ya kifisadi, labda ianze upya.

Hiyo network ya ufisadi kaivunja ya Kikwete, halafu katengeneza yake. Sasa hii ni nini kama siyo mavi matupu. CCM na ufisadi ni kama maji na samaki. CCM inazalisha na kulea mafisadi. Chini ya CCM na masalia yoyote ya CCM, ufisadi hauwezi kuisha Tanzania.

CCM na masalia yake, yanapaswa kutokuwa na madaraka yoyote, ili Tanzania tusonge mbele kweli.
 

Umeona hii? CAG: CCM ilikopa pesa za wastaafu kutoka mfuko wa hifadhi ya jamii

Sasa kweli serikali inayochezea pesa za pensheni, unaiweka kwenye category gani?
 
Kosa liko wapi SASA. KWANI KUKOPA kwenye mifuko ya jamii ni ajabu??
Hujui hiyo mihuko kwa jina lingine zinaitwa taasisi za fedha zisizo banki au non banking financial institutions. Zinatoa mikopo kama KAWAIDA.
Aisee! I didn't know if you this stupid. I give up.
 
Aisee! I didn't know if you this stupid. I give up.

Yea it's better you do other things rather than wasting my treasured moments. CCM si walikopa, so what's your problem?
Mimi nilifikiri walichukua tu. I didn't know how low minded you are??
Mbona mbowe kakopa you didn't mention him. That's double standard at its epidemic proportions.
 
Swali tu. CCM ilikopa hizo fedha kufanyia project gani?
 
But kama umeangalia vizuri hamna hata kiwanda kimoja phyisical ambacho kipo kenya tayari hizo zote ni plan tu zimesemwa!! Sasa hapo cha kutaka kujiuliza kwa nini mapicha picha sana
 
But kama umeangalia vizuri hamna hata kiwanda kimoja phyisical ambacho kipo kenya tayari hizo zote ni plan tu zimesemwa!! Sasa hapo cha kutaka kujiuliza kwa nini mapicha picha sana
Hicho ni kitengo kimoja tu cha magari. Viwanda ambavyo vimefunguliwa Kenya kwa miaka kama saba ambayo imepita sio mchezo. Mimi mwenyewe nimeshangazwa kwamba Steel Mill ikifunguliwa Tz inakuwa ni breaking news. Nimeshuhudia viwanda vya chuma pekee yake kama kumi na tano vikinjengwa kwenye sehemu ambayo haizidi kilomita ishirini squared tena kutoka mwaka jana tu. Hapo sijaongeza viwanda vingine vya aina nyingi tu ambavyo vimefunguliwa sehemu zingine za Kenya. Waulize wenzako wanaosafiri kuja Kenya kupitia Namanga huwa wanajionea nini wakiingia ndani ya Kajiado County.
 
Siwezi kujua, lkn kwa ufupi sidhani kama wao hawaruhusiwi KUKOPA kwenye taasisi za fedha.
Haya ndiyo mgekuwa mnayachunguza ili kujua hizi fedha zitatumika vipi na jinsi zitakavyorudishwa. Uwajibikaji kitu cha muhimu sana sio kushindilia mambo ya Nchi zingine ilhali ya kwako yanakushinda.
 
Kuna thread moja naiona ina mabishano ya kipuuzi sana, Thread ya Nairobi v Dar, watanzania tunajifananisha na Kenya.

Hovyo kabisa akili zetu sisi.
Kwani tangu uzaliwe wew ushawahi kutoka hata nje ya mkoa ulizaliwa. Kama bado kaa kimya huna unachokijua
 
Nimegundua weww shule yako ni ndogo sana. Umeelezwa kila kitu lakini bado unahara tu. Hldo not expose your stupidity
 
Kizungu yako ni mbaya sana tafadhali jikite kwenye kiswahili. Hahaha umenichekesha. Eti Tanzanian have tremendously English. You can't make this stuff up.
Only in Africa. When you make mistakes in speaking english, people will laugh at you.
 
Haya ndiyo mgekuwa mnayachunguza ili kujua hizi fedha zitatumika vipi na jinsi zitakavyorudishwa. Uwajibikaji kitu cha muhimu sana sio kushindilia mambo ya Nchi zingine ilhali ya kwako yanakushinda.

CAG ndiyo KAZI yake. HATA chadema nao watoe taarifa ya mapato na matumizi. HATA WALE whistle blowers accounts ZAO ziwe audited. Lazima sheria itungwe, MAANA zile ni PESA wanazozipata kwa mgongo wa umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…