Hivi huo ufisadi anaondoa ni upi? Na tutajuaje anaondoa ufisadi ilhali hatuna taarifa za government business? Nimetoa mfano wa mikataba ya manunuzi iliyofanyika chini ya Magufuli, yote ni siri. Sasa tutajuaje kama hakuna ufisadi humo?
Nitaendelea kukugonga misumari japo unakwepa hoja zangu za nguvu na kukimbilia kulia lia.
Kwanza ujue Tanzania ni nchi huru na inajiamulia maamuzi yake yenyewe. Pili unatakiwa kuelewa kuwa nchi yetu ni kama nchi zingine, tupo katika vita vya kiuchumi na nchi zingine ambao hawaitakii mema nchi yetu. Kwa mantiki hiyo siyo kila mkataba lazima uwekwe wazi kwa manufaa mapana ya nchi yetu. Zipo taratibu maalum za kuweza kufuatilia ili upate kujua hiyo mikataba.
Na kama wewe ni mtu mweliewa huwezi ukashadadia mambo madogo madogo hivyo. Vilevile kwa sababu unaongozwa na chuki huwezi kuona zuri lolote atakalia ulalama na kulaumu pasipo direction. Unatakiwa uwe na msimamo na ukielekezwa fuata utaratibu. Hii ni nchi inaongozwa kwa sheria. Sheria zipo zinazoelekeza namna ya kupata mikataba iliyoingiwa na jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Vilevile acha kupotosha umma, tunawachagua wabunge kuwa wawakilishi wetu katika majimbo ya uchaguzi, wao ndio wawakilishi wetu katika kutusemea na kufuatilia masuala yetu. Kama mbunge wako siyo active basi ni nyie wananchi mnatakiwa kumuondoa.
Unajua nyiye watu wa CCM mnaelewa polepole mno. Tuombe uzima, ili siku ambayo kila alichokifanya Magufuli kitakapowekwa wazi, tuone mtasemaje.
Tatizo wewe na jopo lako kutaka kulazimisha mawazo yenu yawe sahihi. Katika nchi zinazofuata Demokrasia ya kweli, nchi kama Tanzania walio wengi ndio hupata nafasi ya kutekekeza mawazo yao. wachache watasikilizwa tu. Sasa siyo wewe ulazimishe wazo lako litendewe kazi wakati walio wengi wamelikataa. Kuendelea kupayuka katika jambo lililokataliwa na wengi siyo demokrasia ni vurugu. Kuanza kutukana nakujiona wewe unaakili kuliko wengine ni upumbavu uliovuka mpaka. Bila CCM nchi hii isingekuwa na Amani hii tuliyonayo. Ukienda kwenye mtandao unaoelezea 2017 WORLD PRESS FREEDOM INDEX Tanzania inaongoza hapa Africa Mashariki na ni kati ya nchi chache Africa zenye uhuru wa habari. Soma zaidi hapa:
2017 World Press Freedom Index | Reporters Without Borders
Nyiye watu mlitetea safari za Kikwete. Btw, Magufuli mwenyewe alikuwa mtetezi mkubwa wa safari za Kikwete
Hapa ndipo nawaona nyie watu ni mapoyoyo, msiojijua, wanafiki, wenye lengo la kuharibu umoja wa kitaifa. Watu msio na haya mliojaa chuki. Kipindi cha Mh. Jakaya kikwete kimekwisha. Serikali iliyopo madarakani inaongozwa na Ilani ya Uchaguzi ya CCM. Hatupelekweshwi na ninyi wapiga domo, msioishiwa maneno. Rais wa awamu ya nne mlimtukana, mzee wa watu alivumilia matusi ya kila aina. Huku mkialikwa kwenda ikulu kunywa juice. Mmekuwa kama watoto wachanga wasio jielewa, mmelewa dhuruma, watumsiotaka transformation, mnabaki na mambo ya kale yasiyo natija kwetu. Hakika msipobadilika historia itawahukumu na kuoneka wapinga maendeleo. Mililia Rais anaenda sana nje huku mkimkashifu eti amekuwa Vasco Dagama, mlitunga maneno ya kila aina, huku ajenda yenu ni kuharibu umoja wa kitaifa. Sasa hivi tuponaye Jemadari wetu wa vita asiyeogopa makelele ya vyura. Hakika nawaeleza hamtafanikiwa kwambinu zenu hizi zilizopitwa na wakati. Sisi tupo Advanced zaidi yenu. Tumewaacha kwa muda ili mpayuke yote yanayozijaza nyoyo zenu.
Sasa tutawashughulikia kuanzia kwenye motandao. Maana hamna la maana mnatupotezea mda tu. Hebu angalia hata comment zako. Unajichanganya changaya tu hueleweki unachoongelea. Hizi comment zako zinwakilisha mawazo ya maboss wenu na nia yenu ovu.
Leo mnaona OGP haina maana, kwa nini hamkusema hivyo wakati Kikwete anaiunga Tanzania?
Ona usivyo na haya umejaaa unafiki. OGP imeanzishwa 2011 juzi tu kikwete katoka madarakani 2015. Nakueleza huijui OGP. Kitu ambacho hakina manufaa katika nchi yetu hatuwezi kuendelea nacho. Vilevie unatakiwa uwe mwenye kujua historia ya nchi yetu. Tulikuwa kwenye umoja wa COMESA lakini tuliondokana nao, iweje hii OGP? Tumekataa kusaini mkataba wa EPA na mambo mengine yapo mengi tu. Acha kuleta nyimbo na mapambio hapa. Tanzania ni nchi yenye intelligensia ya hali ya juu.
Ati majority Tanzanian? Dude, what was the voters turnout?
Ona unavyojiaibisha sasa. CCM ni chama kikubwa sana hapa duniani. Ipo na registered member almost 10 million. Hata hizo kura mlizozipata mwaka 2015 ni kwa sababu ya CCM na siyo kwaajili ya vyama vyenu uchwara. CCM kuna vichwa vya political science. Mmemsema Lowassa mkatekenywa kidogo tu mkaingia king. Mkamchukua Lowassa kuwa mgombea wenu. Lowassa amekuwa ndani ya CCM miongo na miongo, msivyo na vision mkaingia kichwa kichwa tu. Nyie ni hopeless kabisa. Subirini mtaiona tsunami.
Yes, as long as CCM is in power, Tanzania will foreover be a shithole country. Yaani chama ambacho for over 50+ years has never accomplished even one thing in 100%, ndicho unatarajia ati kiibadili Tanzania for better. Keep on dreaming buddies.
Nimekwambia hapo juu usilazimishe mawazo yako yakawa sahihi na kuanza kutukana nchi yetu. Nchi yetu ni ya kidemokrasia. Lawama za kipuuzi na za kijinga wala hazina mantiki yoyote. Na nilishakueleza kuwa CCM iliaznishwa mwaka 1977 unakalia kuwaongea uongo bila hata haya. Nilikueleza pia Tanzania iliingia katika vita ya Uganda.
Vilevile Tanzania ni kati ya nchi zilizokuwa front line katika kuzikomboa nchi za Africa. Tuliwapigania ndugu zetu Msumbiji, Tukawapigania ndugu zetu Zimbabwe, Namibia, Shelisheli nk. Mwalimu Nyerere alisema Kama nchi za Africa hazipo huru haina maana yoyote ya Tanzania kupata uhuru. Nchi ya SA imepata uhuru miaka ya 90s.
Sasa usipotoshe historia ya nchi yetu. Kuna watanzania wengi wamemwaga damu kwaajili ya waafrika wenzao. Usikubali kutumika na kueneza chuki zisizo na mantiki.
Hii hapa ni moja ya kielelezo cha Tanzania katika ukombozi wa Africa
Lakini kama TWAWEZA walivyosema, wafuasi na wapenzi wa CCM ni watu wenye elimu ndogo. Na watu kama nyiye ni opportunists. Ndiyo maana you kept silence under Kikwete's faulty leadership, and you are doing the same under Magufuli. As long as your bellies are filled up.
Yaani ninazidi kukushangaa sana. Hebu nakuomba weka orodha ya wafuasi wa CHADEMA wenye elimu kubwa. Kwanza CHADEMA inaongozwa na form four failure. Mwenyekiti wenu kashindwa kumaliza hata kidato cha nne kaishia kuwa mcheza disco.
Mwenyekiti wa CCM ni dkt (PhD holder)
Nakutaka ulete orodha ya wasomi wa 50 wa chadema mimi nitakuletea orodha ya wasomi 500,000 wa CCM.