Kaka
Quinine sisi hatuimbi Viwanda, bali tunajenga viwanda, lengo letu na Kenya ni tofauti sana, Sisi mbiu yetu kuwa vyerahani vinne ni viwanda tofauti na wenzetu wanaowaza big factory
Kupata uwekezaji mkubwa kama huo ni lazima Lobbying ya nguvu ifanyike, na hao Big company kama Peugeot, Iveco, Ashok Leyland nk kuwapata mabosi wake ni level ya Marais, sio Mwijege akanegotiate na Iveco, JK alijishusha kwa Dangote na matokeo tukayaona,
Kama raisi hataki kutoka nje kuongea na hao Big companies unategemea Big project kutoka wapi?