Tatizo lako siyo mjinga pekee ni mpumbavu. Mpumbavu ni yule anajifanya anajua kumbe kichwa kimejaa funza tu. Ni wewe hapa. Usilazimishe tufanane mimi ninakuzidi mbali mno kwenye level ya enlightenmentKuwa mjinga sii ujinga. Ujinga ni kutokubali wewe mjinga huku mambo inaonekana wazi. Jikubali utolewe ujinga aisee.
Zinafurahisha sana aiseee utasema jambo la utani kumbe tunapaswa kua seriousComments znafurahisha[emoji3] [emoji3]
Tatizo lako siyo mjinga pekee ni mpumbavu. Mpumbavu ni yule anajifanya anajua kumbe kichwa kimejaa funza tu. Ni wewe hapa. Usilazimishe tufanane mimi ninakuzidi mbali mno kwenye level ya enlightenment
Mkuu asante kwa taarifa.. Hawa wachina wa SINOMA ujenzi wa kiwanda chao Tanga ulianza? Nimeona kwenye link yako kuwa ilikuwa waanze mwezi May mwaka jana.Rafiki mwenzangu nakuona hujui chochote kitu. Vitu walivyoviweka hapo ni mipango rafiki. Hakuna kiwanda cha aina hiyo kilichopo huko Kenya. Hata sisi mipango ipo mingi tu.
Kwa maana hiyo mfano unaotaka kuutumia kwa kenya is nonsense maaana hakuna investment yoyote iliyofanyika hapo kenya. Ni makaratasi tu.
Pili: Nimekueleza usiwe unakurupuka kupiga kelele kwenye mitandao vitu usivyovijua.
Idadi ya investment ni kubwa mno na huwezi ukaweka orodha. Na kama hiyo habari huiamini sasa unataka uamini kitu gani yaani unataka nianze kukuwekea orodha hapa? Nikuwekee orodha ya kutengeneza magari?
Okay ngoja nikusaidie kitu kidogo tu:
Soma hapa viwanda vilivyopo pwani:
http://www.pwani.go.tz/storage/app/uploads/public/58d/a0f/987/58da0f9877ad3735577342.pdf
Mtwara:
Kiwanda cha Saruji cha Dangote
View attachment 738283
Tanga:
View attachment 738284
Bado bomba la mafuta kiutoka Hoima kwenda tanga
Nimekupatia mifano michache. Kila mkoa Tanzania kuna big investment
Soma hapa chini upate mchanganuo
Foreign investment in Tanzania - Santandertrade.com
Soma taarifa hizi hapa:Mkuu asante kwa taarifa.. Hawa wachina wa SINOMA ujenzi wa kiwanda chao Tanga ulianza? Nimeona kwenye link yako kuwa ilikuwa waanze mwezi May mwaka jana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kaka Quinine sisi hatuimbi Viwanda, bali tunajenga viwanda, lengo letu na Kenya ni tofauti sana, Sisi mbiu yetu kuwa vyerahani vinne ni viwanda tofauti na wenzetu wanaowaza big factory
Kupata uwekezaji mkubwa kama huo ni lazima Lobbying ya nguvu ifanyike, na hao Big company kama Peugeot, Iveco, Ashok Leyland nk kuwapata mabosi wake ni level ya Marais, sio Mwijege akanegotiate na Iveco, JK alijishusha kwa Dangote na matokeo tukayaona,
Kama raisi hataki kutoka nje kuongea na hao Big companies unategemea Big project kutoka wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]tupo busy tunaanzisha viwanda vya kunyolea nywele (saluni) bana.. wacha wivu!!
[emoji23] [emoji23]DEFINITION YA KIWANDA TANZANIA NA KENYA NI TOFAUTI SANA.... huku nchi ya JIWE hata cherehani na blenda ya kukamulia juisi ukimiliki basi jua unamiliki kiwanda
Vyakufyatulia watoto[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani mbona tuna viwanda zaidi ya 3000,au hamvioni?
Hivi viwanda havifanyi kazi nimwage pi cha za YouTube ?? Usitufanye mafalaMkuu mimi kweli ni mjinga lakini badi naona nakusikia,katika hizo link yako hizo zote "proposal" tu,kama unajua maana "proposal",kiwanda kinachofanya kazi ni kimoja tu cha Dangote nacho kina matatizo ya uendeshaji..mara gesi hivi mara gesi vile
Link yako ya pili hivyo sio viwanda vya " foreign direct Investment's",sasa Bakharesa nae kawa katika mkumbo wa "FDI"...mbona unaanza kunitiia wasi wasi mkuu😀
Tatizo lako siyo mjinga pekee ni mpumbavu. Mpumbavu ni yule anajifanya anajua kumbe kichwa kimejaa funza tu. Ni wewe hapa. Usilazimishe tufanane mimi ninakuzidi mbali mno kwenye level ya enlightenment
FDI = Foreign direct Investment kwa lugha nyepesi ya kiswahili ni "uwekezaji wa moja kwa moja wa kampuni za kigeni"....,lakini FDI ina maana zaidi ya hiyo..Embu twende polepole acha povu.
Vile viwanda vya kuunganisha magari Kenya vimeanza kufanya KAZI au mipango?
Hivi unaelewa the real meaning of FDI? MAANA unatilia SHAKA kuhusu FDI ya Dangote cement AMBAYO ni pure and straight monies FROM outside the country's boundaries. Na ukiangalia viwanda vyote vya kuunganisha magari thamani yake haizidi kiwanda cha Dangote.
Acha propaganda. Unatuuliza sisi kuwa kiwanda cha Dangote sio FDI. You are just a big foolFDI = Foreign direct Investment kwa lugha nyepesi ya kiswahili ni "uwekezaji wa moja kwa moja wa kampuni za kigeni"....,lakini FDI ina maana zaidi ya hiyo..
Je wewe unajua maana halisi ya "FDI" nini faida na hasara zake,ukichulia tafsiri hasa ya "FDI" utaona kuwa kiwanda cha Dangote hakina hadhi ya kuitwa "FDI" investement,..Je unajua kwanini !??
Sema kama unajua pimbi weweFDI = Foreign direct Investment kwa lugha nyepesi ya kiswahili ni "uwekezaji wa moja kwa moja wa kampuni za kigeni"....,lakini FDI ina maana zaidi ya hiyo..
Je wewe unajua maana halisi ya "FDI" nini faida na hasara zake,ukichulia tafsiri hasa ya "FDI" utaona kuwa kiwanda cha Dangote hakina hadhi ya kuitwa "FDI" investement,..Je unajua kwanini !??
Umemaliza, chukua kahawa bossKaka Quinine sisi hatuimbi Viwanda, bali tunajenga viwanda, lengo letu na Kenya ni tofauti sana, Sisi mbiu yetu kuwa vyerahani vinne ni viwanda tofauti na wenzetu wanaowaza big factory
Kupata uwekezaji mkubwa kama huo ni lazima Lobbying ya nguvu ifanyike, na hao Big company kama Peugeot, Iveco, Ashok Leyland nk kuwapata mabosi wake ni level ya Marais, sio Mwijege akanegotiate na Iveco, JK alijishusha kwa Dangote na matokeo tukayaona,
Kama raisi hataki kutoka nje kuongea na hao Big companies unategemea Big project kutoka wapi?