PostGE2025 Watanzania tunajulikana kwa upole lakini this time Serikali haitaamini kitakachotokea

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Ogopa sana mtu mpole na mkimya, anapoamua kujibu huwa haangalii hasara iliyo mbele yake.

Wakati Prof. Kabudi akiwa bado na akili aliwahi kusema; "Ninawaogopa sana watanganyika kuliko wazanzibari, kwa sababu wazanzibari mambo yao yoote yapo mezani, watanganyika wameyashika moyoni watu wa namna hiyo wakija kugeuka ni wabaya".

Serikali ilijua business as usual kwamba watalia siku moja ya tatu watanyamaza.

Serikali ina buy time kwa kuanzisha maridhiano na tume zisizo na miguu eti zilete majibu baada ya miezi mitatu labda watakuwa wamesahau, wananchi wamezikataa.

Wameua vijana wengi wakazima mtandao wakajua kazi imekwisha, wakafikiri vijana wataogopa kumbe ndio wanawazidishia ujasiri.

Ukimbana PAKA kwenye kona akajua hana sehemu ya kutokea hugeuka kuwa SIMBA.
 
Ogopa sana mtu mpole na mkimya, anapoamua kujibu huwa haangalii hasara iliyo mbele yake.

Serikali ilijua business as usual kwamba watalia siku moja ya tatu watanyamaza.

Serikali ina buy time kwa kuanzisha maridhiano na tume zisizo na miguu eti zilete majibu baada ya miezi mitatu labda watakuwa wamesahau, wananchi wamezikataa.

Wameua vijana wengi wakazima mtandao wakajua kazi imekwisha, wakafikiri vijana wataogopa kumbe ndio wanawazidishia ujasiri.

Ukimbana PAKA kwenye kona akajua hana sehemu ya kutokea hugeuka kuwa SIMBA.
Upole una muda wake , uvumilivu una muda wake.

Beware of mtu mpole, when they had enough, there is no going back my man
 
Ogopa sana mtu mpole na mkimya, anapoamua kujibu huwa haangalii hasara iliyo mbele yake.

Serikali ilijua business as usual kwamba watalia siku moja ya tatu watanyamaza.

Serikali ina buy time kwa kuanzisha maridhiano na tume zisizo na miguu eti zilete majibu baada ya miezi mitatu labda watakuwa wamesahau, wananchi wamezikataa.

Wameua vijana wengi wakazima mtandao wakajua kazi imekwisha, wakafikiri vijana wataogopa kumbe ndio wanawazidishia ujasiri.

Ukimbana PAKA kwenye kona akajua hana sehemu ya kutokea hugeuka kuwa SIMBA.
Watu wamechoka, ila ajabu bado jamaa wanazunguka mbuyu wanaacha kutibu tatizo wanaleta sababu zisizo na msingi.
 
Nimecheka Waziri Mkuu anasema iko siku atatoboa siri kijana alielipwa mabilioni ya fedha kushawishi maandamano. Hata kama una akili za kuku Serikali inayoweza kuua maelfu ya watu na kuwafukia kwenye kaburi moja wanaweza kuogopa kumtaja mtu mmoja?. Kama Mwigulu amechanganyikiwa kiasi hiki basi Samia muda si mrefu ataanza kutupa nguo.
 
Ogopa sana mtu mpole na mkimya
Nilikuwa Cohort moja na jamaa kutoka Mozambique...!!! Kila mara walikuwa wanahitaji msaada wangu kuwasaidia mambo Fulani na nilifanya kwa upole, upendo kabisa bila ubishi .

Sasa kumbe wao wao wakatafsiri kuwa huyu boya wanaweza kupata chochote wanachokitaka kupitia Mimi Tena Kwa lugha ya aina yoyote (ukweli. Shuruti na kadhalika)!!! Siku moja nikawachenjia. Na mmoja almanusura kidogo nimuonyeshe nyota angani wakati jua linawaka!!!

Hile Hali Hata Mimi nilijishangaa!!!!
 
Nimecheka Waziri Mkuu anasema iko siku atatoboa siri kijana alielipwa mabilioni ya fedha kushawishi maandamano. Hata kama una akili za kuku Serikali inayoweza kuua maelfu ya watu na kuwafukia kwenye kaburi moja wanaweza kuogopa kumtaja mtu mmoja?. Kama Mwigulu amechanganyikiwa kiasi hiki basi Samia muda si mrefu ataanza kutupa nguo.
Vitu vingine ni vya ajabu sana.

Kuna kauli viongozi wanazitoa unabaki kushangaa jinsi wanavyotuona sisi watoto.
 
Ogopa sana mtu mpole na mkimya, anapoamua kujibu huwa haangalii hasara iliyo mbele yake.

Serikali ilijua business as usual kwamba watalia siku moja ya tatu watanyamaza.

Serikali ina buy time kwa kuanzisha maridhiano na tume zisizo na miguu eti zilete majibu baada ya miezi mitatu labda watakuwa wamesahau, wananchi wamezikataa.

Wameua vijana wengi wakazima mtandao wakajua kazi imekwisha, wakafikiri vijana wataogopa kumbe ndio wanawazidishia ujasiri.

Ukimbana PAKA kwenye kona akajua hana sehemu ya kutokea hugeuka kuwa SIMBA.
Kuna watu hawawaelewi watu wa Bara, zinga la nyuki karibu litatibuliwa!
 
Nimecheka Waziri Mkuu anasema iko siku atatoboa siri kijana alielipwa mabilioni ya fedha kushawishi maandamano. Hata kama una akili za kuku Serikali inayoweza kuua maelfu ya watu na kuwafukia kwenye kaburi moja wanaweza kuogopa kumtaja mtu mmoja?. Kama Mwigulu amechanganyikiwa kiasi hiki basi Samia muda si mrefu ataanza kutupa nguo.
Billion 5?
 
Ogopa sana mtu mpole na mkimya, anapoamua kujibu huwa haangalii hasara iliyo mbele yake.

Serikali ilijua business as usual kwamba watalia siku moja ya tatu watanyamaza.

Serikali ina buy time kwa kuanzisha maridhiano na tume zisizo na miguu eti zilete majibu baada ya miezi mitatu labda watakuwa wamesahau, wananchi wamezikataa.

Wameua vijana wengi wakazima mtandao wakajua kazi imekwisha, wakafikiri vijana wataogopa kumbe ndio wanawazidishia ujasiri.

Ukimbana PAKA kwenye kona akajua hana sehemu ya kutokea hugeuka kuwa SIMBA.
Kamtishe mama Yako namtumbo huko. Maneno meeengi Huku ukiwa umejifungia sebuleni kwa shemeji Yako huko.
 
Wewe na watanzania gani hao ambao pia ni wapole?

Jisemee mwenyewe acha kusemea watu kabisa toka hadharani mbona mange yuko hadharani siyo kujificha jf humu,quinine wa nyoko
 
Back
Top Bottom