HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Wananchi ndiyo nyie wawasikilize mkiwa nyuma jf??Na wananchi ndio sisi
Wananchi ndiyo nyie wawasikilize mkiwa nyuma jf??Na wananchi ndio sisi
Nyie wa jf humu ndiyo mlitoka?kuna jf mwenzenu hata mmoja aliuwawa?mbona wote mko mnachati tu humu na mihemko kibaoJipeni moyo ulijua Mo29 watu watatoka.
Tanzania kuna watu wapole au kuna masikini ja wajinga?Kuna watu hawawaelewi watu wa Bara, zinga la nyuki karibu litatibuliwa!
Kama watu mmechoka mngeliunga kuanzia D29 hadi leo hizi zingine ni porojo waliochoka huwaoni wamehakikisha hadi serikali zimendokaWatu wamechoka, ila ajabu bado jamaa wanazunguka mbuyu wanaacha kutibu tatizo wanaleta sababu zisizo na msingi.
Wawasikilize kupitia jf na tiktok jitokezeniJoto ni kali, wawasikilize wananchi
Wasikilizwe wananchiWananchi ndiyo nyie wawasikilize mkiwa nyuma jf??
Mbona unafanya marudio huko tulishatoka zamani sasa tupo kwenye vitendo zaidi. Keep on dreaming.Nyie wa jf humu ndiyo mlitoka?kuna jf mwenzenu hata mmoja aliuwawa?mbona wote mko mnachati tu humu na mihemko kibao
Asante kwa kunikumbusha ngoja niyapandishe post ya kwanza.Maneno ya Kabudi yazingatiwe,
(Ogopa sana Watanganyika ambao mambo yao wameyaweka Moyoni ,watu wa namna hii wakijakugeuka ni wabaya sana.
Wanzibar mambo yote yapo mezani)
Kwa maneno yako haya Mzee Kabudi Nikuombee msamaha kwa Watz
Akiulizwa Sasa hivi author anaweza kuyakana!!!Asante kwa kunikumbusha ngoja niyapandishe post ya kwanza.