Upole una muda wake , uvumilivu una muda wake.Ogopa sana mtu mpole na mkimya, anapoamua kujibu huwa haangalii hasara iliyo mbele yake.
Serikali ilijua business as usual kwamba watalia siku moja ya tatu watanyamaza.
Serikali ina buy time kwa kuanzisha maridhiano na tume zisizo na miguu eti zilete majibu baada ya miezi mitatu labda watakuwa wamesahau, wananchi wamezikataa.
Wameua vijana wengi wakazima mtandao wakajua kazi imekwisha, wakafikiri vijana wataogopa kumbe ndio wanawazidishia ujasiri.
Ukimbana PAKA kwenye kona akajua hana sehemu ya kutokea hugeuka kuwa SIMBA.
Walidhani business as usual.Hakuna ambaye atauliwa ndugu yake halafu akakaa kimya.
Watu lazima walipize kisasi..
Watu wamechoka, ila ajabu bado jamaa wanazunguka mbuyu wanaacha kutibu tatizo wanaleta sababu zisizo na msingi.Ogopa sana mtu mpole na mkimya, anapoamua kujibu huwa haangalii hasara iliyo mbele yake.
Serikali ilijua business as usual kwamba watalia siku moja ya tatu watanyamaza.
Serikali ina buy time kwa kuanzisha maridhiano na tume zisizo na miguu eti zilete majibu baada ya miezi mitatu labda watakuwa wamesahau, wananchi wamezikataa.
Wameua vijana wengi wakazima mtandao wakajua kazi imekwisha, wakafikiri vijana wataogopa kumbe ndio wanawazidishia ujasiri.
Ukimbana PAKA kwenye kona akajua hana sehemu ya kutokea hugeuka kuwa SIMBA.
Nimecheka Waziri Mkuu anasema iko siku atatoboa siri kijana alielipwa mabilioni ya fedha kushawishi maandamano. Hata kama una akili za kuku Serikali inayoweza kuua maelfu ya watu na kuwafukia kwenye kaburi moja wanaweza kuogopa kumtaja mtu mmoja?. Kama Mwigulu amechanganyikiwa kiasi hiki basi Samia muda si mrefu ataanza kutupa nguo.Watu wamechoka, ila ajabu bado jamaa wanazunguka mbuyu wanaacha kutibu tatizo wanaleta sababu zisizo na msingi.
Nilikuwa Cohort moja na jamaa kutoka Mozambique...!!! Kila mara walikuwa wanahitaji msaada wangu kuwasaidia mambo Fulani na nilifanya kwa upole, upendo kabisa bila ubishi .Ogopa sana mtu mpole na mkimya
Vitu vingine ni vya ajabu sana.Nimecheka Waziri Mkuu anasema iko siku atatoboa siri kijana alielipwa mabilioni ya fedha kushawishi maandamano. Hata kama una akili za kuku Serikali inayoweza kuua maelfu ya watu na kuwafukia kwenye kaburi moja wanaweza kuogopa kumtaja mtu mmoja?. Kama Mwigulu amechanganyikiwa kiasi hiki basi Samia muda si mrefu ataanza kutupa nguo.
Kuna watu hawawaelewi watu wa Bara, zinga la nyuki karibu litatibuliwa!Ogopa sana mtu mpole na mkimya, anapoamua kujibu huwa haangalii hasara iliyo mbele yake.
Serikali ilijua business as usual kwamba watalia siku moja ya tatu watanyamaza.
Serikali ina buy time kwa kuanzisha maridhiano na tume zisizo na miguu eti zilete majibu baada ya miezi mitatu labda watakuwa wamesahau, wananchi wamezikataa.
Wameua vijana wengi wakazima mtandao wakajua kazi imekwisha, wakafikiri vijana wataogopa kumbe ndio wanawazidishia ujasiri.
Ukimbana PAKA kwenye kona akajua hana sehemu ya kutokea hugeuka kuwa SIMBA.
Jipeni moyo ulijua Mo29 watu watatoka.Maneno mengi tu hamna lolote
Billion 5?Nimecheka Waziri Mkuu anasema iko siku atatoboa siri kijana alielipwa mabilioni ya fedha kushawishi maandamano. Hata kama una akili za kuku Serikali inayoweza kuua maelfu ya watu na kuwafukia kwenye kaburi moja wanaweza kuogopa kumtaja mtu mmoja?. Kama Mwigulu amechanganyikiwa kiasi hiki basi Samia muda si mrefu ataanza kutupa nguo.
Na wananchi ndio sisiJoto ni kali, wawasikilize wananchi
Kamtishe mama Yako namtumbo huko. Maneno meeengi Huku ukiwa umejifungia sebuleni kwa shemeji Yako huko.Ogopa sana mtu mpole na mkimya, anapoamua kujibu huwa haangalii hasara iliyo mbele yake.
Serikali ilijua business as usual kwamba watalia siku moja ya tatu watanyamaza.
Serikali ina buy time kwa kuanzisha maridhiano na tume zisizo na miguu eti zilete majibu baada ya miezi mitatu labda watakuwa wamesahau, wananchi wamezikataa.
Wameua vijana wengi wakazima mtandao wakajua kazi imekwisha, wakafikiri vijana wataogopa kumbe ndio wanawazidishia ujasiri.
Ukimbana PAKA kwenye kona akajua hana sehemu ya kutokea hugeuka kuwa SIMBA.
Mama yako ana kop.Kamtishe mama Yako namtumbo huko. Maneno meeengi Huku ukiwa umejifungia sebuleni kwa shemeji Yako huko.
Tunasubiri muitoe hiyo serikali kwa maelekezo ya hao TEC wenu.Mama yako ana kop.
Hili li-quinine ni uchafu wa damu ya hedhi linatumika kuleta vurugu nchiniMama yako ana kop.