Watanzania tunaoishi nje ya Nchi ( Diaspora) Tukutane hapa

Huko China wanafunzi wakipata sifuri kwenye mtihani uliowatungia hunyongwi?
 
Mimi nipo Australia, Nina mwaka wa nne nipo huku. Nikutafutie huku?
 
blindspot hiyo yuan 1400 ndo mshahara kwa mwezi au ni hela ya matumizi yako including bia? Sijaelewa!
 
Mkuu mimi nina shida kidogo, Niliomba scholarship commonwealth na nikaomba vyuo. sasa nimepata Salford University na Newcastle University vyote vya UK. Nimetumiwa offer vyuo vyote, kimbembe ni kwamba Commonwealthscholarship wamenitema.

nifanyeje wadau? nipeni maujanja.
 
hey..kulikuwa na sholarship ya world bank...walihitaji uwe na offer..cha msingi deferal hiyo admission yako..then utaomba schoralship ..tukumbushane mwakani..wakat mwingine tunakosa kutokana na statement au kutokuwa na zile english proficient(ielts) certificate
 
Dah.. basi na mwanaJF aliyeko Reijaviki..kama akipita barabara ya Fistulendivika karibu na flaiova ya Hufuabiki...basi apunge mkono tu 😀😀🙂😛
mkuu hii ni kwa hawa waishio kisiwani,,, iceland kama sijakosea
 
Mm nakupongeza sana sana[emoji1491]!

Kuna watanzania wajuaji na bht mbaya hawajui kama hawajui...mess[emoji84]

Ukigusia suala la Diaspora ni km unawafanya waone wivu wa kijinga na kusema ‘fursa ziko home’ na daily individually haoneshi hizo fursa. Ni wivu wa kijinga kwa sababu wanatumia hersays kutoka kwa naysayers ambao hata Kenya au Ug hajafika.

Let me be clear, jamani kutembea ni bonge la elimu hasa sehemu ambazo zina utofauti mkubwa wa kimaisha, kubali au kataa. Ukitembea hutabaki kua hivyo kamwe

Anyway lemme stop whinning & rant, ingia Fb ‭

Hizo forum ni poa sana, kila la kheri[emoji1491]
 
mm pia nakaa nje, yaan hapa hamna umeme, maji, barabara wala hospitli, je nakaribishwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…