Watanzania tunaoishi nje ya Nchi ( Diaspora) Tukutane hapa

Watanzania tunaoishi nje ya Nchi ( Diaspora) Tukutane hapa

Mkuu inawezakana nikapata schoralship ya degree? ikawa ni full paid kuanzia tution fee na accomodation?
 
Hata hiyo ya pili?!


Yes, coz wamesema hii schoralship ni kwa belt road countries(ni nchi gani mkuu?) then gharama za ada, malazi, na huduma za afya ni 3,000 yuan per month, na schoralship ni kwa masters pekee
 
Back
Top Bottom