Watanzania tunaoishi nje ya Nchi ( Diaspora) Tukutane hapa

Safi sna kiongozi watanzania wote tungekuwa km ww leo tungekuwa mbali sna kiongozi mie binafsi nipo Cape Town South Africa
 
Vipi kupiga box hakuna huko??,nataka nije mambo ya kufundisha sio issue
 
Hivi hata mimi naekaa hapa taveta kenya ni mtu wa nje?
 
Nitakupeleka mimi
 
Uzi mzuri isipokuwa kuna baadhi ya wachangiaji Kama vile hawapo serious. Jamani huu uzi tuwaachie wanaotafuta namna ya kwenda nje ya nchi kutafuta maisha,kama huna cha kuandika ni bora ukabaki kuwa msomaji na sio kuharibu uzi.
 
Yuan 12000 n sawa na PESA ngapi ki bongo bongo....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…