Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 1,936
- 1,972
daaah..hatari sanaHi I hilo neno diaspora manaake nn.....nitoeni ushamba
asante sanaBlindspot bigup ....
Wapitukutane jamani
Nauli ya kutoka bongo mpaka huko ni kias gan?Home is where the heart is,
Mwanaume popote kambi,nakomaa huku kwa malkia mpaka kieleweke.
Mkuu inategemea na unasafiri na ndege ya shirika gani na class gani?
HahahahaMi nipo Mafia.
1Yuan =357.7google exchange rate mzee..maisha yamerahisishwa sana
Mkuu wasiliana na travel agency coz ticket price hua zinabadilika badilika sana na pia hutegemea na season.
Inafika but hata Ethiopia airlines zinafika
Poa!! KamandaMkuu wasiliana na travel agency coz ticket price hua zinabadilika badilika sana na pia hutegemea na season.