Tanzania watu wanasomea mitihani na VYETI, suala la kuelimika ni la mtu binafusi. Ndio maana watu wanatowa hela kununuwa VYETI.Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter?
Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa milioni 1 anakwambia naomba ‘meter 10’…?🤷🏽♂️🤷🏽♂️ , bila kujali kwamba kuna suala la upana.
Hivi waTanzania tunakuwaje na wasomi wajinga kiasi hiki?!!! Halafu jitu kama hilo bahati mbaya ndio lina fluke fluke hadi linapata uRais.., na linasaini mikataba kabisa kwa niaba ya nchi.
kuna vitu ambavyo ni basic and a necessity katika maisha ya kila siku, huwezi kusema 1 + 1 ni specialization, its a basic and necessary tool in modern life, ni kama kujua maana ya urefu (meter) na eneo (square meter), its too basic na ndio maana inafundishwa shule ya msingi, sio sekondari..Chief naona unayafanya mambo yawe makubwa bure,ndio maana kuna specialization
Hivi unaelewa nini kuhusu opportunity cost?
kuna vitu ambavyo ni basic and a necessity katika maisha ya kila siku, huwezi kusema 1 + 1 ni specialization, its a basic and necessary tool in modern life, ni kama kujua maana ya urefu (meter) na eneo (square meter), its too basic na ndio maana inafundishwa shule ya msingi, sio sekondari..
Na majitu mengine ni ma teacher kabisa wa hisabati shule za msingi, na hawajui tofauti.., hii elimu tunayopeana ni lazima tuwe nchi maskini kuliko zote duniani siku moja, ipo siku tutafika huko, no way out.., kwa elimu hii!??? Ni lazima tuuze nchi kwa warabu tu.., hata mwendokasi lazima ife!
😆😆Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter?
Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa milioni 1 anakwambia naomba ‘meter 10’…?🤷🏽♂️🤷🏽♂️ , bila kujali kwamba kuna suala la upana.
Hivi waTanzania tunakuwaje na wasomi wajinga kiasi hiki?!!! Halafu jitu kama hilo bahati mbaya ndio lina fluke fluke hadi linapata uRais.., na linasaini mikataba kabisa kwa niaba ya nchi.
Lipi, si nimeshakujibu hapo au? Kwamba hii sio specialisation, ndio maana inafundishwa level ya ‘msingi’, elewa maana ya neno ‘MSINGI’!Asante kwa maelezo yako lkn hujajibu swali langu?
Jamaa bado unashupaza shingo. Ukispecialize kwenye mapishi ndo usijue metre na square metre. Sio!Kuna comment nimeandika naomba unijibu halafu tutaendelea
Unaelewa nini kuhusu opportunity costLipi, si nimeshakujibu hapo au? Kwamba hii sio specialisation, ndio maana inafundishwa level ya ‘msingi’, elewa maana ya neno ‘MSINGI’!
Hujaelewa bado nakusudia niniJamaa bado unashupaza shingo. Ukispecialize kwenye mapishi ndo usijue metre na square metre. Sio!
Kitu ambacho kinasomwa tokea elimu ya msingi.
Kuspecialize haimaanishi ku-unlearn vitu basic ulivyofundishwa hadi ikakupeleka huko kwenye specialization.
Kwamba chuo wanaenda kusoma square meter?Sijakataa, ila Ndugu, 95% ya majitu tena yana degree kabisa,are clue less about it, yamepataje kwanza hizo degree, how is this even possible.., tuna elimu gani hapa nchini?!!
Kuna watu wazima hata orodha tu hawajaishika kichwani na aana degree hawa unawachukuliaje?Elewa hoja iliyopo mezani, kwamba mtu anaendaje shule hadi anapata degree tena kwa mkopo wa walipa kodi (wafanyabiashara), halafu anakuja tena mtaani kuwatesa wafanyabishara.., elimu gani hii inatolewa nchini?! Yaani tunazalisha wasomi wajinga kwa kiwango hiki?! This is too much..
Unaenda mbali sasa mkuu, kwahy ww unajua kila kitu kwenye kila field.?Sijakataa, ila Ndugu, 95% ya majitu tena yana degree kabisa,are clue less about it, yamepataje kwanza hizo degree, how is this even possible.., tuna elimu gani hapa nchini?!!
Kwamba ng'ombe anaweza kupelekwa kisimani na bado asiwe tayari kunywa maji?Hujaelewa bado nakusudia nini
Sijui unamaanisha nini?Kwamba ng'ombe anaweza kupelekwa kisimani na bado asiwe tayari kunywa maji?
AiseeMeter ni kizio cha urefu wa kutoka point moja kwenda point nyingine.
Mfano kona moja ya goli mpaka kona nyingine.
Meter square ni kizio cha eneo. Mfano uwanja wa mpira kujua eneo lake tunachukua urefu wa upande mmoja tunazidisha na urefu wa upande mwingine.
Kinachopatikana ndio eneo la uwanja wa mpira.(100m ×55m) = 5500m².
Hivyo eneo la uwanja ni mita skwea 5500.
Wanasema futi ni lile kanyagio....unyao....Ukishatoka kwenye (SQ M) anzisha mada ya (FEET) futi za miguu huwa zinahesabujwe maana tambo za mfupi hazifanani na tambo za tolu. Au za mfupi zinaongezeka idadi na tolu zinapungua!!