Watanzania tunaomba mjifunze tofauti ya ‘Meter’ na ‘Square meter’, mnatutesa sana wafanyabiashara kufundishana mambo ya darasa la pili

Watanzania tunaomba mjifunze tofauti ya ‘Meter’ na ‘Square meter’, mnatutesa sana wafanyabiashara kufundishana mambo ya darasa la pili

Sio hiyo tu. Hata hesabu za ujazo za shule ya msingi za volume na area hawazijui. Na wanataka kuagiza mzigo wa brenda china. Ukiwaaambia ujazo ama cbm ya contena ni kiasi kazaa hawaelewi.

Mpaka unajiuliza shule walienda somea ujinga. Mtu ana degree ila bado hajui hesabu za shule ya msingi. Na bado unakuta huyo mtu ana division one na digrii anayo
 
Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter?

Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa milioni 1 anakwambia naomba ‘meter 10’…?🤷🏽‍♂️🤷🏽‍♂️ , bila kujali kwamba kuna suala la upana.

Hivi waTanzania tunakuwaje na wasomi wajinga kiasi hiki?!!! Halafu jitu kama hilo bahati mbaya ndio lina fluke fluke hadi linapata uRais.., na linasaini mikataba kabisa kwa niaba ya nchi.
Tanzania watu wanasomea mitihani na VYETI, suala la kuelimika ni la mtu binafusi. Ndio maana watu wanatowa hela kununuwa VYETI.
 
Chief naona unayafanya mambo yawe makubwa bure,ndio maana kuna specialization

Hivi unaelewa nini kuhusu opportunity cost?
kuna vitu ambavyo ni basic and a necessity katika maisha ya kila siku, huwezi kusema 1 + 1 ni specialization, its a basic and necessary tool in modern life, ni kama kujua maana ya urefu (meter) na eneo (square meter), its too basic na ndio maana inafundishwa shule ya msingi, sio sekondari..

Na majitu mengine ni ma teacher kabisa wa hisabati shule za msingi, na hawajui tofauti.., hii elimu tunayopeana ni lazima tuwe nchi maskini kuliko zote duniani siku moja, ipo siku tutafika huko, no way out.., kwa elimu hii!??? Ni lazima tuuze nchi kwa warabu tu.., hata mwendokasi lazima ife!
 
Asante kwa maelezo yako lkn hujajibu swali langu?
 
Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter?

Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa milioni 1 anakwambia naomba ‘meter 10’…?🤷🏽‍♂️🤷🏽‍♂️ , bila kujali kwamba kuna suala la upana.

Hivi waTanzania tunakuwaje na wasomi wajinga kiasi hiki?!!! Halafu jitu kama hilo bahati mbaya ndio lina fluke fluke hadi linapata uRais.., na linasaini mikataba kabisa kwa niaba ya nchi.
😆😆
 
Asante kwa maelezo yako lkn hujajibu swali langu?
Lipi, si nimeshakujibu hapo au? Kwamba hii sio specialisation, ndio maana inafundishwa level ya ‘msingi’, elewa maana ya neno ‘MSINGI’!

Hiyo opportunity cost inafudishwa level ya Msingi? Ofcourse not, najua ndio maana yake, ila sio kitu cha basic utegemee mtu wa kawaida ajue..
 
Kuna comment nimeandika naomba unijibu halafu tutaendelea
Jamaa bado unashupaza shingo. Ukispecialize kwenye mapishi ndo usijue metre na square metre. Sio!

Kitu ambacho kinasomwa tokea elimu ya msingi.

Kuspecialize haimaanishi ku-unlearn vitu basic ulivyofundishwa hadi ikakupeleka huko kwenye specialization.
 
We're matakro nini... Tutafute pesa kwa tabu wakat wa kutumia tujisumbue kujua vitu vya kipuuzi visivyo tuhusu... Nikija dukani kwako ili upate pesa yangu lazima uniambie tofauti ya jogoo na kuku ni ipi hutaki baki na ushubwada wako...
 
Jamaa bado unashupaza shingo. Ukispecialize kwenye mapishi ndo usijue metre na square metre. Sio!

Kitu ambacho kinasomwa tokea elimu ya msingi.

Kuspecialize haimaanishi ku-unlearn vitu basic ulivyofundishwa hadi ikakupeleka huko kwenye specialization.
Hujaelewa bado nakusudia nini
 
Elewa hoja iliyopo mezani, kwamba mtu anaendaje shule hadi anapata degree tena kwa mkopo wa walipa kodi (wafanyabiashara), halafu anakuja tena mtaani kuwatesa wafanyabishara.., elimu gani hii inatolewa nchini?! Yaani tunazalisha wasomi wajinga kwa kiwango hiki?! This is too much..
Kuna watu wazima hata orodha tu hawajaishika kichwani na aana degree hawa unawachukuliaje?
 
Naskia meter moja ni urefu wa hatua moja ya mtu mzima.

Swali langu, je ni urefu wa kutoka kwenye kisigino/vidole vya mguu wa nyuma mpaka kisigino/vidole vya mguu wa mbele.?

Pia je mtu mzima sahihi wa kupima huo urefu kwa miguu ni yupi, mana kuna watu wazima mbilikimo.

TODAYS FRANCIS DA DON
 
Kwamba ng'ombe anaweza kupelekwa kisimani na bado asiwe tayari kunywa maji?
Sijui unamaanisha nini?

Maana ya kumuuliza swali lile ni kumuonyesha huwezi kujua kila kitu na kutojua kila kitu si ujinga

Ameshindwa kujibu nadhani ameenda google kupitia kisha aje

Lkn amedhibitisha kwamba hata yeye hajui kila kitu kwahiyo asiowaone wengine hawana maana
 
Kwamba asilimia 95% ya wenye degree hawajui tofaut ya meter square na meter duh anyway me kitu ambacho huwa kinanitatiza ni inch, futi na maili huwa nasahau kuzicompare na cm na meter
 
Ukishatoka kwenye (SQ M) anzisha mada ya (FEET) futi za miguu huwa zinahesabujwe maana tambo za mfupi hazifanani na tambo za tolu. Au za mfupi zinaongezeka idadi na tolu zinapungua!!
 
Meter ni kizio cha urefu wa kutoka point moja kwenda point nyingine.
Mfano kona moja ya goli mpaka kona nyingine.

Meter square ni kizio cha eneo. Mfano uwanja wa mpira kujua eneo lake tunachukua urefu wa upande mmoja tunazidisha na urefu wa upande mwingine.
Kinachopatikana ndio eneo la uwanja wa mpira.(100m ×55m) = 5500m².
Hivyo eneo la uwanja ni mita skwea 5500.
Aisee
Shukran sana
Ingawa nina "aleji" na hesabu/hisabati 👍 🙂
 
Back
Top Bottom