Watanzania tunaomba mjifunze tofauti ya ‘Meter’ na ‘Square meter’, mnatutesa sana wafanyabiashara kufundishana mambo ya darasa la pili

Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter?

Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa milioni 1 anakwambia naomba ‘meter 10’…?🤷🏽‍♂️🤷🏽‍♂️ , bila kujali kwamba kuna suala la upana.

Hivi waTanzania tunakuwaje na wasomi wajinga kiasi hiki?!!! Halafu jitu kama hilo bahati mbaya ndio lina fluke fluke hadi linapata uRais.., na linasaini mikataba kabisa kwa niaba ya nchi.
Kumbuka elimu yetu ya Tanzania haivuki mipaka na ikivuka ndipo tunapopigwa. Ukienda mashuleni utashangaa kuona walimu hawajui tofauti ya vipimo vya urefu wa barabara na viwanja!
 
Mtu halipii bidhaa tu Ila pia huduma inayotolewa pale anapokuja kuinunua. Kwa hiyo ukiona mteja haelewi kitu fulani, ni jukumu lako kumuelewesha kama sehemu mojawapo ya mchakato mzima wa kukamilisha mauzo.

Kwa hiyo mkuu, hiyo ni kazi yako kabisaa yani kiufupi haina kuchoka
Hapa anazungumzia wasomi kutojua vitu basics, ambavyo walitakiwa wavijue.
 
Kuna short cut moja wafanyabiashara huwa wanafanya na nafikiri sehemu nyingi wanauza bidhaa kwa kukata kwa sqm ndivyo hufanya.
Unakuta mapana yapo constant - 1 meter, hivyo wao wanadeal urefu tu..kama urefu ni 20 meters ujue ni 20 square meters....
Sasa mpaka ujue kuwa wana-held some measurements constant utakesha..na wao wanakuwa hawajui pia wakati mwingine ni mazoea tu na hawawezi kumuelewesha mteja
 
Sasa imagine mtu anakuja anakwambia nataka meter 5 wakati wewe bei umempa kwa square meter, na anafanya ile bei mara 5 kisha kamaliza.., as if hicho kitu hakina upana yani..
Kuna wkt wa kumfundisha mtu kwa kosa analolileta.

Mfano akija kulipa hiyo pesa mpeleke kwa garama zake ukamuonyeshe eneo lake kwa hiyo pesa yake, then tulia huku ukimuangakia usoni!.
 
Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter?

Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa milioni 1 anakwambia naomba ‘meter 10’…?🤷🏽‍♂️🤷🏽‍♂️ , bila kujali kwamba kuna suala la upana.

Hivi waTanzania tunakuwaje na wasomi wajinga kiasi hiki?!!! Halafu jitu kama hilo bahati mbaya ndio lina fluke fluke hadi linapata uRais.., na linasaini mikataba kabisa kwa niaba ya nchi.
Unapokuwa mtoa huduma/mfanyabiashara ni vema ukajua na likukae kichwani kwamba unageuka kuwa mwalimu,muelekezaji,mtaalamu na fundi.Ukwepe au usikwepe,hayo yatakuwa majukumu yako.Kukataa kufanya hayo ni kuikataa kazi yako.Vumilia,zoea na uipende kazi ya chaguo lako.
 
Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter?

Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa milioni 1 anakwambia naomba ‘meter 10’…?🤷🏽‍♂️🤷🏽‍♂️ , bila kujali kwamba kuna suala la upana.

Hivi waTanzania tunakuwaje na wasomi wajinga kiasi hiki?!!! Halafu jitu kama hilo bahati mbaya ndio lina fluke fluke hadi linapata uRais.., na linasaini mikataba kabisa kwa niaba ya nchi.
Wasomi tumewashudia wakiahirisha kufikiri kwa nafsi kwa mambo mengi Tena muhimu ya kitaifa,(suspending their individual reasoning)
 
Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter?

Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa milioni 1 anakwambia naomba ‘meter 10’…?🤷🏽‍♂️🤷🏽‍♂️ , bila kujali kwamba kuna suala la upana.

Hivi waTanzania tunakuwaje na wasomi wajinga kiasi hiki?!!! Halafu jitu kama hilo bahati mbaya ndio lina fluke fluke hadi linapata uRais.., na linasaini mikataba kabisa kwa niaba ya nchi.
Wasomi tumewashudia wakiahirisha kufikiri kwa nafsi kwenye mambo mengi muhimu Tena ya kitaifa (suspending their individual reasoning
 
Naskia meter moja ni urefu wa hatua moja ya mtu mzima.

Swali langu, je ni urefu wa kutoka kwenye kisigino/vidole vya mguu wa nyuma mpaka kisigino/vidole vya mguu wa mbele.?

Pia je mtu mzima sahihi wa kupima huo urefu kwa miguu ni yupi, mana kuna watu wazima mbilikimo.
Mkuu sijui sana hesabu ila issue ya kipimo cha meter moja kwa ulingano wa urefu wa hatua hauwezi kuwa sawa japo kila binadamu anapopiga hatua moja ile ni meter moja.

NB. Kipimo cha hatua kwenye meter kinapimwa kuanzia kisigino (nyuma) hadi pale kisigino kinapogusa chini.

Mfano ukichukua upana wa katikati ya kifua chako mpaka mwisho wa kidole chako cha kati, ndiyo meter moja inatimia na ukichukua urefu huo huo ndiyo hatua yako moja ardhini.
 
Sijakataa, ila Ndugu, 95% ya majitu tena yana degree kabisa,are clue less about it, yamepataje kwanza hizo degree, how is this even possible.., tuna elimu gani hapa nchini?!!
Degree za nini? Sociology, Community Development, Kiswahili au degree gani unazungumzia? Ndio maana serikali inasomesha waliofanya vizuri masomo ya Sayansi bure.
 
Elewa hoja iliyopo mezani, kwamba mtu anaendaje shule hadi anapata degree tena kwa mkopo wa walipa kodi (wafanyabiashara), halafu anakuja tena mtaani kuwatesa wafanyabishara.., elimu gani hii inatolewa nchini?! Yaani tunazalisha wasomi wajinga kwa kiwango hiki?! This is too much..
We umeweza kusoma mpk wapi.
 
Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter?

Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa milioni 1 anakwambia naomba ‘meter 10’…?🤷🏽‍♂️🤷🏽‍♂️ , bila kujali kwamba kuna suala la upana.

Hivi waTanzania tunakuwaje na wasomi wajinga kiasi hiki?!!! Halafu jitu kama hilo bahati mbaya ndio lina fluke fluke hadi linapata uRais.., na linasaini mikataba kabisa kwa niaba ya nchi.
90% ya walioenda shule wakipata zero yaani F ya hesabu
 
Back
Top Bottom