Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengine wanajua Ila hawajui application yake kwenye vitambaaSijakataa, ila Ndugu, 95% ya majitu tena yana degree kabisa,are clue less about it, yamepataje kwanza hizo degree, how is this even possible.., tuna elimu gani hapa nchini?!!
Duu, kipindi JF ni JF, kongole.Nilishajibu hili Swali miaka mi 5 iliyopita humu JF,
Nililazimika kushika kalamu kabisa, Fungua hio link hapo 👇 itakupeleka moja kwa moja kwenye jibuu.
Post in thread 'Nimeona great thinkers wakibishana utofauti kati ya square metre na metre square, naomba kujua ukweli' Nimeona great thinkers wakibishana utofauti kati ya square metre na metre square, naomba kujua ukweli
Kumbuka elimu yetu ya Tanzania haivuki mipaka na ikivuka ndipo tunapopigwa. Ukienda mashuleni utashangaa kuona walimu hawajui tofauti ya vipimo vya urefu wa barabara na viwanja!Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter?
Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa milioni 1 anakwambia naomba ‘meter 10’…?🤷🏽♂️🤷🏽♂️ , bila kujali kwamba kuna suala la upana.
Hivi waTanzania tunakuwaje na wasomi wajinga kiasi hiki?!!! Halafu jitu kama hilo bahati mbaya ndio lina fluke fluke hadi linapata uRais.., na linasaini mikataba kabisa kwa niaba ya nchi.
Meter isidharauliwe, tunaitumia sana tunapojadili Nishati itokanayo na nguvu ya mawimbi ya bahari kwa ajili ya kupata umeme yaani kW/m ama kWh/ mLabda anataka kiwanja kisicho na upana
Naunga Mkono hojaKwa hiyo mkuu, hiyo ni kazi yako kabisaa yani kiufupi haina kuchoka
Usomi wako unakamilika unapolijua na kulitekeleza jambo ulilojifunza shule.Kwahiyo ukishajua hivyo ndo usomi wako umekamilika?
Uko sahihi. Bongo elimu yetu ni majanga.Sijakataa, ila Ndugu, 95% ya majitu tena yana degree kabisa,are clue less about it, yamepataje kwanza hizo degree, how is this even possible.., tuna elimu gani hapa nchini?!!
Hapa anazungumzia wasomi kutojua vitu basics, ambavyo walitakiwa wavijue.Mtu halipii bidhaa tu Ila pia huduma inayotolewa pale anapokuja kuinunua. Kwa hiyo ukiona mteja haelewi kitu fulani, ni jukumu lako kumuelewesha kama sehemu mojawapo ya mchakato mzima wa kukamilisha mauzo.
Kwa hiyo mkuu, hiyo ni kazi yako kabisaa yani kiufupi haina kuchoka
Kuna wkt wa kumfundisha mtu kwa kosa analolileta.Sasa imagine mtu anakuja anakwambia nataka meter 5 wakati wewe bei umempa kwa square meter, na anafanya ile bei mara 5 kisha kamaliza.., as if hicho kitu hakina upana yani..
Unapokuwa mtoa huduma/mfanyabiashara ni vema ukajua na likukae kichwani kwamba unageuka kuwa mwalimu,muelekezaji,mtaalamu na fundi.Ukwepe au usikwepe,hayo yatakuwa majukumu yako.Kukataa kufanya hayo ni kuikataa kazi yako.Vumilia,zoea na uipende kazi ya chaguo lako.Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter?
Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa milioni 1 anakwambia naomba ‘meter 10’…?🤷🏽♂️🤷🏽♂️ , bila kujali kwamba kuna suala la upana.
Hivi waTanzania tunakuwaje na wasomi wajinga kiasi hiki?!!! Halafu jitu kama hilo bahati mbaya ndio lina fluke fluke hadi linapata uRais.., na linasaini mikataba kabisa kwa niaba ya nchi.
Wasomi tumewashudia wakiahirisha kufikiri kwa nafsi kwa mambo mengi Tena muhimu ya kitaifa,(suspending their individual reasoning)Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter?
Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa milioni 1 anakwambia naomba ‘meter 10’…?🤷🏽♂️🤷🏽♂️ , bila kujali kwamba kuna suala la upana.
Hivi waTanzania tunakuwaje na wasomi wajinga kiasi hiki?!!! Halafu jitu kama hilo bahati mbaya ndio lina fluke fluke hadi linapata uRais.., na linasaini mikataba kabisa kwa niaba ya nchi.
Wasomi tumewashudia wakiahirisha kufikiri kwa nafsi kwenye mambo mengi muhimu Tena ya kitaifa (suspending their individual reasoningKweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter?
Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa milioni 1 anakwambia naomba ‘meter 10’…?🤷🏽♂️🤷🏽♂️ , bila kujali kwamba kuna suala la upana.
Hivi waTanzania tunakuwaje na wasomi wajinga kiasi hiki?!!! Halafu jitu kama hilo bahati mbaya ndio lina fluke fluke hadi linapata uRais.., na linasaini mikataba kabisa kwa niaba ya nchi.
Mkuu sijui sana hesabu ila issue ya kipimo cha meter moja kwa ulingano wa urefu wa hatua hauwezi kuwa sawa japo kila binadamu anapopiga hatua moja ile ni meter moja.Naskia meter moja ni urefu wa hatua moja ya mtu mzima.
Swali langu, je ni urefu wa kutoka kwenye kisigino/vidole vya mguu wa nyuma mpaka kisigino/vidole vya mguu wa mbele.?
Pia je mtu mzima sahihi wa kupima huo urefu kwa miguu ni yupi, mana kuna watu wazima mbilikimo.
Unaposema square meter tayari unazungumzia urefu mara upana.....mleta mada nadhan yeye ndo kajimix.Labda anataka kiwanja kisicho na upana
Degree za nini? Sociology, Community Development, Kiswahili au degree gani unazungumzia? Ndio maana serikali inasomesha waliofanya vizuri masomo ya Sayansi bure.Sijakataa, ila Ndugu, 95% ya majitu tena yana degree kabisa,are clue less about it, yamepataje kwanza hizo degree, how is this even possible.., tuna elimu gani hapa nchini?!!
We umeweza kusoma mpk wapi.Elewa hoja iliyopo mezani, kwamba mtu anaendaje shule hadi anapata degree tena kwa mkopo wa walipa kodi (wafanyabiashara), halafu anakuja tena mtaani kuwatesa wafanyabishara.., elimu gani hii inatolewa nchini?! Yaani tunazalisha wasomi wajinga kwa kiwango hiki?! This is too much..
90% ya walioenda shule wakipata zero yaani F ya hesabuKweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter?