Watanzania tunaomba mjifunze tofauti ya ‘Meter’ na ‘Square meter’, mnatutesa sana wafanyabiashara kufundishana mambo ya darasa la pili

Watanzania tunaomba mjifunze tofauti ya ‘Meter’ na ‘Square meter’, mnatutesa sana wafanyabiashara kufundishana mambo ya darasa la pili

I presume wewe hapo robo ya katiba yako ya nchi huijuwi pia historia ya taifa na hata lugha yako ya kiswahili, na ulisoma shule ya msingi na sekondari na unatakiwa uvijuwe. Sio wewe tu watu kibao humu hawajuwi sasa kwanini uanze kumbeza mwenzako wakati pia yeye atakushangaa vitu vingi vya kawaida huvijuwi kama raia.
Einstein aliwahi kusema, "Every body is a genius, but If you can judge a fish by its ability of climbing the tree it will live its whole life believing that it's stupid"
Ndo hii kitu tuko nayo binadamu, kila mtu akianza kubrag hapa vitu vya jawaida kwenye profession yake tutajiona wajinga wote humu. Learn to stay humble sometimes
Hivi book lote like la katiba huwa linafundishwa shuke ya msingi? Hivyo ni vitu vya chuo na law school, hapa tunazungumzia vitu ambavyo ni very basic na vinafundishwa shuke ya msingi, elewa neno MSINGI
 
Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter?

Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa milioni 1 anakwambia naomba ‘meter 10’…?🤷🏽‍♂️🤷🏽‍♂️ , bila kujali kwamba kuna suala la upana.

Hivi waTanzania tunakuwaje na wasomi wajinga kiasi hiki?!!! Halafu jitu kama hilo bahati mbaya ndio lina fluke fluke hadi linapata uRais.., na linasaini mikataba kabisa kwa niaba ya nchi.
Tume soma basi mkuu,acha hasira.
 
Mtu halipii bidhaa tu Ila pia huduma inayotolewa pale anapokuja kuinunua. Kwa hiyo ukiona mteja haelewi kitu fulani, ni jukumu lako kumuelewesha kama sehemu mojawapo ya mchakato mzima wa kukamilisha mauzo.

Kwa hiyo mkuu, hiyo ni kazi yako kabisaa yani kiufupi haina kuchoka
Hii naondoka nayo.

#YNWA
 
Hivi book lote like la katiba huwa linafundishwa shuke ya msingi? Hivyo ni vitu vya chuo na law school, hapa tunazungumzia vitu ambavyo ni very basic na vinafundishwa shuke ya msingi, elewa neno MSINGI
Kwaiyo wew hupaswi kufaham katiba yako kisa hufundishwi yote shule??? Ulitaka shule ikupe katiba yote kwani izo measurement watu wanafundishwa vipimo vyote?? Pengine hata haki zako huzijuwi. Hata mim sikulaumu kwa kutofahamu ndo mana nkasema vitu vyingine huezi kulaum mtu kwa kutojuwa
 
Elewa neno (basic) msingi kujua haki zako za kiraia hio ndio basic ndio maana civics inafundishwa shuleni, kujua vipimo ni basic pia ndio maana unafundishwa shuleni pia tena kuanzia shule ya msingi.

Kujua katiba yote hiyo ni taaluma ya Sheria na sio basic.
 
Iyo basic ya katiba yako wewe unaifahamu kwa kiasi gani.
 
Kwaiyo wew hupaswi kufaham katiba yako kisa hufundishwi yote shule??? Ulitaka shule ikupe katiba yote kwani izo measurement watu wanafundishwa vipimo vyote?? Pengine hata haki zako huzijuwi. Hata mim sikulaumu kwa kutofahamu ndo mana nkasema vitu vyingine huezi kulaum mtu kwa kutojuwa
kuna vitu vya msingi ndani ya katiba vinavyofundishwa shule ya msingi, na hivyo wote tunapaswa kuvijua, mfano muundo wa serkalinnk. ila sio katiba yote.., katiba yote ni specialisation ya wanasheria.
 
Sio hiyo tu. Hata hesabu za ujazo za shule ya msingi za volume na area hawazijui. Na wanataka kuagiza mzigo wa brenda china. Ukiwaaambia ujazo ama cbm ya contena ni kiasi kazaa hawaelewi.

Mpaka unajiuliza shule walienda somea ujinga. Mtu ana degree ila bado hajui hesabu za shule ya msingi. Na bado unakuta huyo mtu ana division one na digrii anayo
Kuwa na degree sio kujua Kila kitu.

Jifunze kumuelewesha vizuri mteja wako, huduma nzuri kwa wateja ni moja ya jukumu lako
 
Nilimuuliza msomi mmoja
"What is pitch diameter ya hili eneo ?
Aligigongongagonga na neno "pitch"mpaka nikamnyang'anya tape meter na kumounyesha njia ya kupima pitch diameter
Sasa kila msomi atakuwa anajua hiyo pitch diameter? Kila mtu ana eneo lake alilosomea. Mtu amesomea lugha au lishe, unategemea atajua hayo mavipimo kweli?
 
Elewa hoja iliyopo mezani, kwamba mtu anaendaje shule hadi anapata degree tena kwa mkopo wa walipa kodi (wafanyabiashara), halafu anakuja tena mtaani kuwatesa wafanyabishara.., elimu gani hii inatolewa nchini?! Yaani tunazalisha wasomi wajinga kwa kiwango hiki?! This is too much..
Punguza ujuaji na makasiriko mkuu.
 
Sio hiyo tu. Hata hesabu za ujazo za shule ya msingi za volume na area hawazijui. Na wanataka kuagiza mzigo wa brenda china. Ukiwaaambia ujazo ama cbm ya contena ni kiasi kazaa hawaelewi.

Mpaka unajiuliza shule walienda somea ujinga. Mtu ana degree ila bado hajui hesabu za shule ya msingi. Na bado unakuta huyo mtu ana division one na digrii anayo
Punguza ujuaji mkuu
 
Kuna watu wazima hata orodha tu hawajaishika kichwani na aana degree hawa unawachukuliaje?
Sasa unaishika orodha ili ikusaidie nini? Yaani dunia ya sasa tools zilo kila mahala haswa kwenye simu yako, kwa nini ujiipe shida utafikiri bado unaishi zama za wakina Vasco Dagama
 
We're matakro nini... Tutafute pesa kwa tabu wakat wa kutumia tujisumbue kujua vitu vya kipuuzi visivyo tuhusu... Nikija dukani kwako ili upate pesa yangu lazima uniambie tofauti ya jogoo na kuku ni ipi hutaki baki na ushubwada wako...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nakumbuka kuna kipindi nmemwambia mtu nilitembea Mile kama kumi hv. Akawa hajaelewa umbali anatolea tu mifano kama hapa mpaka wap hv? Ikabdi nimwambie kwa KM nd akaelewa
Sasa mile ni kipimo tusichokitumia sana haswa kama ilivyo kwa hectare na futi, sisi tunatumia Km. Hata kwenye vipimo vya uzito tunatumia zaidi Kg na sio Lbs. Ukienda US bado wanatumia kipimo cha galoni kwenye vimiminika (mafuta) ambacho ni takribani lita 4 kwa nchi zingine.
 
Back
Top Bottom