I presume wewe hapo robo ya katiba yako ya nchi huijuwi pia historia ya taifa na hata lugha yako ya kiswahili, na ulisoma shule ya msingi na sekondari na unatakiwa uvijuwe. Sio wewe tu watu kibao humu hawajuwi sasa kwanini uanze kumbeza mwenzako wakati pia yeye atakushangaa vitu vingi vya kawaida huvijuwi kama raia.
Einstein aliwahi kusema, "Every body is a genius, but If you can judge a fish by its ability of climbing the tree it will live its whole life believing that it's stupid"
Ndo hii kitu tuko nayo binadamu, kila mtu akianza kubrag hapa vitu vya jawaida kwenye profession yake tutajiona wajinga wote humu. Learn to stay humble sometimes