Watanzania tunaomba mjifunze tofauti ya ‘Meter’ na ‘Square meter’, mnatutesa sana wafanyabiashara kufundishana mambo ya darasa la pili

Sasa unaishika orodha ili ikusaidie nini? Yaani dunia ya sasa tools zilo kila mahala haswa kwenye simu yako, kwa nini ujiipe shida utafikiri bado unaishi zama za wakina Vasco Dagama
Hili swali ndilo nililomuuliza mtoa mada kama anashangazwa na mtu kutokujua tofauti ya meter na square meter je? Wale ambao hawajahifadhi orodha anawaonaje?
 
Sijakataa, ila Ndugu, 95% ya majitu tena yana degree kabisa,are clue less about it, yamepataje kwanza hizo degree, how is this even possible.., tuna elimu gani hapa nchini?!!
Mkuu unajua kabisa kuwa kuna watu wanahold degree bachelor ambazo mpaka anaipata Mathematics hajawahi kugusa zaidi ya F au D ya aliyopata O level baada ya hapo akapiga zake certificate, Diploma then Degree ya Sociology, Bachelor of Arts in International relations, PSPA etc na ndio wamejaa kwenye siasa zetu. Ni jukumu letu sisi ambao tumecheza na kupambana na Mathematics from O level, A level mpaka vyuoni kuwaelekeza na kuwadadavulia mambo kama haya hao watu.
 
Kuna mtu namfahamu ndo alikuwa amemaliza degree tena ya uhasibu ila hajui riba ya mkopo inatafutwaje ndo nikamuelekeza!!!
Huyu sasa inabidi tumuwazie vingine, au ndio wale "Ngoja nikamuone lecturer ofisini kwake tumalizane" sasa kumalizana kwao ndio hatujui walimalizana kwa njia gani😆
Watoto wa kike wengi wanaangukiaga hapa 🙌
 
Just imagine, mada za shule ya msingi ila mhasibu ambaye ndio specialisation yake na hajui, halafu huyu ndio anakuja kuwa kiongozi anaenda Korea kukopa na hajui hata riba anayosaini ina maana gani
 
Hili swali ndilo nililomuuliza mtoa mada kama anashangazwa na mtu kutokujua tofauti ya meter na square meter je? Wale ambao hawajahifadhi orodha anawaonaje?
Uko sahihi kabisa mkuu, dunia imefika mbali kiteknolojia, huna haja ya kutesa ubongo kwa vitu ambavyo ukivitaka unavipata popote ulipo
 
Huyu sasa inabidi tumuwazie vingine, au ndio wale "Ngoja nikamuone lecturer ofisini kwake tumalizane" sasa kumalizana kwao ndio hatujui walimalizana kwa njia gani😆
Watoto wa kike wengi wanaangukiaga hapa 🙌
Nilishangaa sana
 
Just imagine, mada za shule ya msingi ila mhasibu ambaye ndio specialisation yake na hajui, halafu huyu ndio anakuja kuwa kiongozi anaenda Korea kukopa na hajui hata riba anayosaini ina maana gani
Aibu sana alikuwa anatafuta riba ya mkopo wa mama yake alihangaika kweli ndo nikamuita kumuelekeza....saiv amepata kazi kwenye vitaasisi vya mkopo atakuwa amepata uzoefu sasa
 
Si hilo tu. Tuna matatizo ya kuchanganya Hekta na Ekari. Hivi ni vipimo vya eneo. Cha kwanza ni katika metric system na kinachofuatia ni vile vya Mwingereza. Hekta moja ni sawa na Ekari 2.47 na hivyo kipimo cha kwanza ni karibia mara mbili na nusu ya kile cha pili. Kibaya zaidi, wengi wetu wanatamka "Hekari" na hivyo kuwachanganya wengine wasijue ni kipi wanachokizungumzia.
 
Aibu sana alikuwa anatafuta riba ya mkopo wa mama yake alihangaika kweli ndo nikamuita kumuelekeza....saiv amepata kazi kwenye vitaasisi vya mkopo atakuwa amepata uzoefu sasa
Yeah tumtakie uzoefu mwema na awe competent in what she's doing in the field of accountancy
 
Saiv atakuwa ameiva ila nilishangaa mtu ndo umetoka class hujui hesabu ya riba na marejesho ya kila mwezi na mkopo ni wa miaka mingapi!!!!!
 
Tusimcheke, wapo wengi tu hao na tunakutana nao makazini huku na kubaki kujichekea tu moyoni😆😆
 
Uko sahihi ndo maana tunahitaji uchangie hapa kuokoa kizazi cha theorie

Back
Top Bottom