Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili swali ndilo nililomuuliza mtoa mada kama anashangazwa na mtu kutokujua tofauti ya meter na square meter je? Wale ambao hawajahifadhi orodha anawaonaje?Sasa unaishika orodha ili ikusaidie nini? Yaani dunia ya sasa tools zilo kila mahala haswa kwenye simu yako, kwa nini ujiipe shida utafikiri bado unaishi zama za wakina Vasco Dagama
Mkuu unajua kabisa kuwa kuna watu wanahold degree bachelor ambazo mpaka anaipata Mathematics hajawahi kugusa zaidi ya F au D ya aliyopata O level baada ya hapo akapiga zake certificate, Diploma then Degree ya Sociology, Bachelor of Arts in International relations, PSPA etc na ndio wamejaa kwenye siasa zetu. Ni jukumu letu sisi ambao tumecheza na kupambana na Mathematics from O level, A level mpaka vyuoni kuwaelekeza na kuwadadavulia mambo kama haya hao watu.Sijakataa, ila Ndugu, 95% ya majitu tena yana degree kabisa,are clue less about it, yamepataje kwanza hizo degree, how is this even possible.., tuna elimu gani hapa nchini?!!
Huyu sasa inabidi tumuwazie vingine, au ndio wale "Ngoja nikamuone lecturer ofisini kwake tumalizane" sasa kumalizana kwao ndio hatujui walimalizana kwa njia gani😆Kuna mtu namfahamu ndo alikuwa amemaliza degree tena ya uhasibu ila hajui riba ya mkopo inatafutwaje ndo nikamuelekeza!!!
Nd"o mtihani wenyeweSasa kanyagio/nyayo kama size 40 na mwenye mguu wa size 45, hapo inakuwaje!
Just imagine, mada za shule ya msingi ila mhasibu ambaye ndio specialisation yake na hajui, halafu huyu ndio anakuja kuwa kiongozi anaenda Korea kukopa na hajui hata riba anayosaini ina maana ganiKuna mtu namfahamu ndo alikuwa amemaliza degree tena ya uhasibu ila hajui riba ya mkopo inatafutwaje ndo nikamuelekeza!!!
Uko sahihi kabisa mkuu, dunia imefika mbali kiteknolojia, huna haja ya kutesa ubongo kwa vitu ambavyo ukivitaka unavipata popote ulipoHili swali ndilo nililomuuliza mtoa mada kama anashangazwa na mtu kutokujua tofauti ya meter na square meter je? Wale ambao hawajahifadhi orodha anawaonaje?
Nilishangaa sanaHuyu sasa inabidi tumuwazie vingine, au ndio wale "Ngoja nikamuone lecturer ofisini kwake tumalizane" sasa kumalizana kwao ndio hatujui walimalizana kwa njia gani😆
Watoto wa kike wengi wanaangukiaga hapa 🙌
Aibu sana alikuwa anatafuta riba ya mkopo wa mama yake alihangaika kweli ndo nikamuita kumuelekeza....saiv amepata kazi kwenye vitaasisi vya mkopo atakuwa amepata uzoefu sasaJust imagine, mada za shule ya msingi ila mhasibu ambaye ndio specialisation yake na hajui, halafu huyu ndio anakuja kuwa kiongozi anaenda Korea kukopa na hajui hata riba anayosaini ina maana gani
Natumai atakuwa ni mdada huyo uliyemsaidia right?Nilishangaa sana
Yeah ni mdadaNatumai atakuwa ni mdada huyo uliyemsaidia right?
Yeah tumtakie uzoefu mwema na awe competent in what she's doing in the field of accountancyAibu sana alikuwa anatafuta riba ya mkopo wa mama yake alihangaika kweli ndo nikamuita kumuelekeza....saiv amepata kazi kwenye vitaasisi vya mkopo atakuwa amepata uzoefu sasa
Saiv atakuwa ameiva ila nilishangaa mtu ndo umetoka class hujui hesabu ya riba na marejesho ya kila mwezi na mkopo ni wa miaka mingapi!!!!!Yeah tumtakie uzoefu mwema na awe competent in what she's doing in the field of accountancy
Tusimcheke, wapo wengi tu hao na tunakutana nao makazini huku na kubaki kujichekea tu moyoni😆😆Saiv atakuwa ameiva ila nilishangaa mtu ndo umetoka class hujui hesabu ya riba na marejesho ya kila mwezi na mkopo ni wa miaka mingapi!!!!!
Kuandika kiswahili tu hawajui unaweza kupata picha hapoTusimcheke, wapo wengi tu hao na tunakutana nao makazini huku na kubaki kujichekea tu moyoni😆😆
www.jamiiforums.com