voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
- Thread starter
- #21
Na kwa maana yake halisi yaMaana ya hustler ni mtu aliyekomaa kutoka chini kwenye umaskini hadi kuwa tajiri. Ni muhangaikaji aliyepata kutokana na kuhangaika kwake. Sasa Ruto anatumia hii slogan kuwa motivate wakenya kuwa hajapata utajiri kwa kurithi kama Uhuru na Odinga ila ameuhangaikia.
So usipotoshe. Kama huelewi uliza
"mpambanaji mwenye kutumia nguvu na akili yake kujitafutia,kwa njia za halali"
Hii haiko hivyo kwa hao woote walioko huko "UDA"
Tunawajua matajiri wa kenya ambao wametafuta na kutajirika kwa nguvu na maarifa yao halali, lakini hawa jamaa wa wheel barrow ni list ya wakwapuaji watupu.
Kwa mfano tu....Rutto-Youth kenya 92.
Mudavadi-Goldeberg scandal nk.
Usinitowe kwenye mada sababu ninaelewa target yangu,ila najuwa kwa wengi Tanzania vile hawapendi kuukemea wizi sababu ndio lifestyle yao kila siku.
Umaskini wa watanzania unasababishwa na "State Capture" ya vigogo wa CCM na washirika wao,wanaohakikisha mtanzania haelimiki na kujitambua haki zake ili wao waendelee kutajirika kwa wizi wa mali za umma.
Serikali imejaa "Asali Boyz tupu"
Hao ni wezi tupu!
Na hawatakasiki mpaka wanaingia makaburini,ingawa watakufa wakiwa matajiri,lakini watazikwa wakiwa mikono mitupu kama walivyoingia Duniani.