Watanzania tunapowasifia Kenya kwa Demokrasia pevu, pia tutafakari na hili


Acha upotoshaji wa kijinga, Raila ameshindwa kihalali, na amepata nafasi ya kudhibitisha mahakamani wizi aliofanyiwa na akashindwa. Kwani huko kusiko na demokrasia, ndio hao commonmwananchi wanaishi kwa raha? Au umeishiwa na hoja nini bro.
 
Acha ubwege tunahitaji matajiri wengi si kuanza kuhoji iyo pesa imetoka wapi mambo yakizamani ndo yanatukwamisha watanzania
 
Nakubaliana na wewe kwamba Kenya ni,ooml
 
Acha upotoshaji wa kijinga, Raila ameshindwa kihalali, na amepata nafasi ya kudhibitisha mahakamani wizi aliofanyiwa na akashindwa. Kwani huko kusiko na demokrasia, ndio hao commonmwananchi wanaishi kwa raha? Au umeishiwa na hoja nini bro.
Martha koome anajulikana wazi alikuwa mlengo gani,na mimi ninafuatilia hizo za Kenya na nafahamu kuliko wewe unaeishia kulalia kwa kile ambacho mnakitafuta,bila kujenga influence kwa majority!
Pia unaweza toa comment yako ikaeleweka bila kulazimika kutukana wenngine.
Mnaposema "freedom of speech"na ooh... "Demokrasia"huku mkiwatukana wale wenye mawazo tofauti na nyinyi,does it make sense??

Mimi sijahusika na wewe kukaa kijiweni!
Kwa hiyo mpunguze hasira na ujuaji kwa kudhani nyinyi pekee ndio mnayo haki ya kusema na kusikilizwa kwenye hizi Social Platforms.

Humu kila mtu anajitambua na anaamini katika kile anachokiamini yeye binafsi.

"Huna ulazima wa kukaa unatukana ovyo shauri ya kuelemewa na msongo wako wa mawazo."

Ukizidiwa ni usonge taratiibu pale mirembe ili wakupe tiba ya kisaikolojia.

Demokrasia ni pamoja na kuyaheshimu maoni ya wenzako na sio kuwatukana.

Sio kila mtu ni mhuni humu!
 
Wapi takwimu za wanasiasa WA tz ili tutoe hukumu ya haki, Bora kilicho nuruni kuliko kilicho gizanj
 
Wapi takwimu za wanasiasa WA tz ili tutoe hukumu ya haki, Bora kilicho nuruni kuliko kilicho gizanj
Hapa hatushindanishi bali tunatoa angalizo.

Takwimu za hawa wa Tanzania ni ngumu kutolewa maana ni "WEZI" waliobobea na wananchi tunaishi Tanzania tukiwa mateka wa :State Capture" ya CCM.

Woote wale walioko huko tume zinazoitwa za Maadili na Miiko ya Viongozi wa Umma.

Ni walewale,huku Nyani,kule Tumbili na kwingine Kima!

Hakuna wa kufunga kengele mwenzake!
 
Acha ubwege tunahitaji matajiri wengi si kuanza kuhoji iyo pesa imetoka wapi mambo yakizamani ndo yanatukwamisha watanzania
Wewe ndie bwege ba mwizi mkubwa au kimada wa mmoja wa mafisadi nchini Tanzania.

Ebu soma hili andiko hapo chini,halafu uniambie ubwege wangu!

"Takwimu zinaonyesha kuwa ripoti za mkaguzi mkuu wa matumizi ya pesa za serikali katika miaka mitano iliyopita, Wakenya hupoteza shilingi trilioni moja kila mwaka kwa ufisadi.

Hii ina maana kuwa katika miaka mitano iliyopita, Kenya huenda imepoteza kiasi cha trilioni 5 za Kenya kupitia kwa wafisadi, taratibu mbovu za serikali zinazovuja, na wafanyikazi wa serikali walio wafisadi.

Dhahiri ni kuwa, vita dhidi ya ufisadi nchini Kenya vinapaswa kuendelea bila upendeleo wowote ikiwa Kenya inategemea kupiga hatua kimandeleo.

Hata hivyo, kwa kuwa siasa za Kenya zina misingi ya kikabila, itakuwa vigumu kuyatenganisha mawili haya maana wanasiasa ndio husukuma magurudumu ya ufisadi".

Prof Mogambi, ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi
:hmogambi@yahoo.co.uk
 
bora kenya wanaiba na kujenga uchumi wao na hawaporani utajiri wao, sisi hawa mapanya wetu wanaiba wanapeleka nje alafu yakifa mali zinaozea nje, badala ya kujenga majumba na kuanzisha makampuni humu ndani, sioni hoja ulioileta, kwani wanasiasa wa tz wanakuja na kivuli kisichoonekana, wakihudumu kama wabunge na mawaziri hatuwaoni na ujeuri na madharau ya pesa.
 

Wapi nimekutukana, au unataka utukanwe ili upate umaarufu? Huyo Martha Koome alitoa hukumu kwa utashi wake au kwa ushahidi uliofikishwa mahakamani? Au kwakuwa mahakama za Tanzania zinaweza kupewa maelekezo namna ya kutoa hukumu basi unadhani ni kila mahali? Au unadhani hayo maelezo yako marefu ya kupanick ndio yatabeba hoja zako?
 
Umenitukana hapo mkuu......[emoji116]

"Acha upotoshaji wa kijinga"
 
Wewe ni zaidi ya zumbukuku kabisa, nani kakwambia kuwa kwa siasa za sasa za kibepari ukiwa kiongozi hutakiwi kufanya shuguli za kukuingizia kipato?

Twambie yale mabus ya Ester yana thamani ya tsh ngapi?
 
Bora Wakenya wanasema utajiri wa viongozi na kuweka wazi. Hawa wa Tanzania nani anajua wana ukwasi wa kiwango gani? Kwa vile wapo kimya ndiyo unadhani siyo mafisadi? Siku wakitaja utajiri wao si utazimia. Fikiria tena mara 2.
Wachana na huyo kiwavi wa lumumba.
 
Maccm ndiyo wapigaji namba Moja duniani
 
Umenitukana hapo mkuu......[emoji116]

"Acha upotoshaji wa kijinga"

Kama hilo ni tusi kwako basi wewe utakuwa ni mchungaji lazima. Kwahiyo kukuambia uache upotoshaji wa kijinga ndio umepanick kiasi hicho, ukaandika na gazeti kabisa! Basi kazi ipo boss.
 
Nadhani wenzangu kuna point moja hamkuipata, wanachokifanya wakenya ni kuweka wazi utajiri wao kama ni challenge kwa maadui/wapinzani wao. Simple wanasema huu ni utajiri wangu wangu sasa wewe prove kama sikuupata kwa njia za halali, simple! Hakuna jipya hapo!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…