Punguza njaa
Tunaomba tuone bajeti za uchaguzi za wagombea na vyama vyao ili tulinganishe na matukio ya kwenye uchaguzi, na tuhoji fedha hizo zimetoka wapi na kwanani na zitarudishwaje. Ukipewa hela wakati wa kampeni jiulize ataziridishaje fedha zake.Hao waliokaba wengine katika picha 2020 nadhani kuna vitu wamejifunza kwa yaliyotokea Burkina Faso, Gambia nk hivyo 2025 sio rahisi kuyaona tena.View attachment 2816117