NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
- Thread starter
- #21
"Mwanangu samiah Mungu amekukumbuka,SASA kazi uliopata ni ya muda tu,fanya kweli mwanangu kama wenzako usije ukajifanya mzalendo kuliko wenzio,tafuta pa kushika ILI vitukui na vilembwe vifaidike"!sauti ya mama yake hiyo!!Siamini kama ni akili za Mheshimiwa kukubali kuiuza bandari.
SASA
Akajiuliza nitashika wapi!!?gesi imeenda,madini yameenda kilichosalia ni mbuga za wanyama na Bandari!
Ngoja nijaribu,akapata na sadaka KWA Mwamposa akatoa kupitia Rc wa Dar!!
"TUENDELEE kushangilia anaupiga mwingi HADI Bandarini"tena tuimbe KWA sauti!!