Ester505
JF-Expert Member
- Jul 14, 2020
- 793
- 1,049
Tafuta mbadala,tuko bize na tozoooOpec wana kikao leo kitachojadili ama wasitishe uzalishaji wa mafuta ili kujibu tuhuma za nchi za Magharibi za wao kutokuzalisha mafuta kwa wingi ili wamlinde Urusi apate kuuza mafuta yake.
Vilevile Opec hawafurahishwi na bei ya chini ya mafuta iliyopo sokoni.
Ndugu zangu Watanzania tumwombe Mungu atuepushe na hilo.