Watanzania tuombeni Mungu, OPEC huenda wakasitisha uzalishaji wa mafuta mwezi huu

Tafuta mbadala,tuko bize na tozooo
 
Kwa hyo Tanzania peke yetu ndo tunatumia mafuta?
 

Ni kweli walahi
Ehh Mwenye Enzi Mungu tuhurumie [emoji2972]
 
Kwa sasa natambua nani anashikiria uchumi wa dunia
 
Ni muda muafaka wa Dunia kuanza upya ili tujue wenzetu walitucha wapi.
Japo natania tu.
 
Umenikumbusha aise,nlimuuziaga
Mtu jokofu hilo kumbe ni brigadier wa,jeshi

Ova
Daah. Umenikumbusha enzi za ujana.

Nilizamia party moja huko mkoa. Nikamshtua maza mmoja. Kumbe ni ofisa mkubwa tu. Naona watu wananiangalia tu nikadhani wananionea wivu kumbe ni bosi aisee.
 
Wenzenu wenye akili wanaweka vikao kujadili issues wajingawajinga mmebaki kuwasikiliza akina Gwajima! Salini sasa tuone kama mafuta yatakuja kwa upepo wa kisulisuli.
 
Ndugu zangu Watanzania tumwombe Mungu atuepushe na hilo.
Nilitegemea ushauri Wizara ya fedha na mipango imuombe ama Spika au mwingine mwenye mamlaka aitishe Bunge la dharura kubadili matumizi ya serikali yanayotokana makusanyo yake ya fedha ikiwemo tozo kwa ajili ya kununua ( siyo kukopa wala kuazima ) Teknolojia ya kuchimba mafuta Bahari kuu na huko mto kilombelo!! Na tusafishe mafuta sisi na kutumia. While oil refinery za Kigamboni zifufuliwe na tununue mafuta ghafi ya bei Rahisi kutoka ng'ambo wakati tunamaliza kukamilisha kuchimba mafuta yetu.
 
Vipi gari la Masoud Kipanya....!!
 
Kwamba wanaona bei ni ndogo ?
 
Wasitishe ili wapumbav wote walioko shithole countries wanyooshwe
 
Anzeni uzalishaji WA gesi na mafuta kwenye nchi zenu acheni upumbav WA tuombe Mungu ,wtf are you retards ?
Afrika ina utajiri WA mafuta na gesi hao mataahira mnaowaita viongozi wenu huwa wanafanya nini ?
 
Nchi zenu zinashindwa kufanya exploration ,extraction na refinery ya mafuta na gesi kitu ambacho watu wamefanya miaka zaidi ya 120 iliyopita mna akili kweli ,au nyie watu weusi ni subhuman species ambayo haiwezi kukaa Chini na kufanya vitu let alone kuvumbua vitu na kuna na solutions za matatizo yanayoikabili jamii yenu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…