Watanzania tupaze sauti zetu kunusuru uhai wa maelfu ya vifaranga visivyo na hatia vinavyoenda kuangamia

Si kumfukuza tu, mimi ningemlamba vibao kmmmmmk zake!
 
kabla hatujalaumu mamlaka kwanza tujue kwanini mhusika aliamua kuingiza hao vifaranga kinyemela? Sheria kama zinaagiza kuteketezwa no way out ni lazima hao vifaranga wateketezwe.
 
Dah anastahili Pongezi apigwe hata faini ya M 5 akaendelee na maisha uwekezaji mkubwa huo
 
kabla hatujalaumu mamlaka kwanza tujue kwanini mhusika aliamua kuingiza hao vifaranga kinyemela? Sheria kama zinaagiza kuteketezwa no way out ni lazima hao vifaranga wateketezwe.
Every general rule have got ana exceptions
 
kabla hatujalaumu mamlaka kwanza tujue kwanini mhusika aliamua kuingiza hao vifaranga kinyemela? Sheria kama zinaagiza kuteketezwa no way out ni lazima hao vifaranga wateketezwe.
Swala la kwanini hilo ni lake, lazima apewe adhabu, kama ni faini au whatever, hiyo watajua wenyewe, issue hapa ni kutumia akili badala ya nguvu kudeal na hao vifaranga, ni kwanini wasipimwe?
 
Umaskini una ishara nyingi, I'll ishara kuu ni kushindwa kutumia akili.
Best option ni kuurudisha vilipotoka, kama nyingine zimeshindikana.
Wale watetezi wa haki za wanyama wapo wapi?
 
Vifaranga ndani havipatikani,fkiria watu wametoa oda ya vifaranga miezi miwili nyuma hadi leo hamna kitu.

Na ukumbe wengine ndo ajira yao.
 
kabla hatujalaumu mamlaka kwanza tujue kwanini mhusika aliamua kuingiza hao vifaranga kinyemela? Sheria kama zinaagiza kuteketezwa no way out ni lazima hao vifaranga wateketezwe.
Kwani vifaranga BDO waliojiingiza kwenye gari wakaendesha mpaka huku?? Na wao pia Ni wahanga tu,Kama kumteketeza kwann msimteketeze alliyewaingiza?? Can

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…