FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Haya maneno ungeandika kivingine kwa kuwatetea, ingechukua muda zaidi kuandika?Huo muda wa kutetea vifaranga nitautoa wap niache kupambana na maisha yangu mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya maneno ungeandika kivingine kwa kuwatetea, ingechukua muda zaidi kuandika?Huo muda wa kutetea vifaranga nitautoa wap niache kupambana na maisha yangu mzee
Si kumfukuza tu, mimi ningemlamba vibao kmmmmmk zake!Hata km vina magonjwa vinapaswa kukabidhiwa kwa madaktari wa mifugo ili vitibiwe.
Mtu akiugua anauliwa? Inasikitisha sana. Afrika mpaka ifike hatua ya maendeleo itachukumia miaka mingi sana. Njia rahisi wanaona ni kuchoma moto.
Ningekuwa kiongozi mkubwa, huyo jamaa ningemfuta kazi maana hana mchango wwte kwenye jamii.
Hadi hapo vilipofika vimepita sehemu ngapi? Huko hawajapata hayo mafua kama kweli wanayo? Sasa kwanini tu visipimwe?Unataka tupate mafua ya ndege.....
wacha viteketezwe kwa speed
Every general rule have got ana exceptionskabla hatujalaumu mamlaka kwanza tujue kwanini mhusika aliamua kuingiza hao vifaranga kinyemela? Sheria kama zinaagiza kuteketezwa no way out ni lazima hao vifaranga wateketezwe.
Hilo ni sawa na kuuliza, kwanini uzini?Kwanini aingize kuku illegally??
Harafu ww utafaidika na nn yaan nyie mnataka mtu afe kwa presha.Atozwe kodi na faini kwanza alafu TBS nao wampige faini yani kila mamlaka inayomuhusu imlambe fain.
Kwa akili hizi, nadhani tunapaswankuwa dumia ya 4, hata hii ya tatu tunapendelewa sanaSasa nimeelewa kwanini tuko dunia Tatu.. Weledi ni kitu muhimu sana
Swala la kwanini hilo ni lake, lazima apewe adhabu, kama ni faini au whatever, hiyo watajua wenyewe, issue hapa ni kutumia akili badala ya nguvu kudeal na hao vifaranga, ni kwanini wasipimwe?kabla hatujalaumu mamlaka kwanza tujue kwanini mhusika aliamua kuingiza hao vifaranga kinyemela? Sheria kama zinaagiza kuteketezwa no way out ni lazima hao vifaranga wateketezwe.
Kama ndio hivyo basi hakuna sababu ya kuwepo na sheriaTumia akili ya kuzaliwa, sheria siyo amri za Mungu
Sasa Kama ni mwekezaji kwann hasifuate utaratibu uliowekwa ?Dah anastahili Pongezi apigwe hata faini ya M 5 akaendelee na maisha uwekezaji mkubwa huo
Taratibu zinasumbuaKama ndio hivyo basi hakuna sababu ya kuwepo na sheria
Sasa Kama ni mwekezaji kwann hasifuate utaratibu uliowekwa ?
Kwani vifaranga BDO waliojiingiza kwenye gari wakaendesha mpaka huku?? Na wao pia Ni wahanga tu,Kama kumteketeza kwann msimteketeze alliyewaingiza?? Cankabla hatujalaumu mamlaka kwanza tujue kwanini mhusika aliamua kuingiza hao vifaranga kinyemela? Sheria kama zinaagiza kuteketezwa no way out ni lazima hao vifaranga wateketezwe.