Watanzania tupige magoti kwa Mungu kumuombea Prof. Janabi ashinde Ukurugenzi WHO kanda ya Afrika

Sisi hatuna mambo ya ukabila ,hata waafrica wengine wangefaa pia,lazima tuwe na spirit ya kuona kwenye nchi nyingine Kuna binadamu pia
 
Ili IWEJE?
 
Ni siasa tu, baada ya mwendazake, rais aliapa kuwa atakayechukua nafasi iliyoachwa atatoka Tz, navkana kamfanyia kampeni, atapewa. Naomba arakaye xhukua Muhimbili, asiivunje iliyopo bali ijengwe mkoa wowote Tz. Kwa kutegemea hilo, unaweza nikamuombea aondoke Muhimbili na apate huko.
 
Mpaka utekaji na unyanyasaji ukomeshwe kwanza ndipo Watanganyika tuje kwenye upuuzi huo.
 
Tetesi zilimhusisha na kifo cha nanihii. Hivyo hatuwezi kumuombea ili awe international killer.
 
Hakuna mambo ya kupita bila kupingwa kule lazima β€œkuomba mungu β€œ sana.
 
Prof anaombewa?
Au ana prove uwezo wake?
Chawa tulia !
 
Umemponza ndugu yako. Wewe unajua hukubaliki halafu unakuja kumuombea. Ona sasa majibu. Hii ni ishara mbaya kwa janabi yawezekana asishinde maana hana hata uungwaji mkono na watanzania itakuwaje huko ugenini? Anyway kama tulia alishinda yawezekana na janabi akashinda.

Ila kwa jinsi Tanzania ilivochafuka kimataifa sidhani kama atashinda. Binafsi namkubali janabi ila machawa na ccm wanamuharibia.
 
Luca hivi huna vya kuomba kwa huyo Mungu unae msema? Tutolee upuuzi wako hapa.
Mxxxxiiiiieeeew
 
Atapata 000000 hata harufu haipati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…