Watanzania tupige magoti kwa Mungu kumuombea Prof. Janabi ashinde Ukurugenzi WHO kanda ya Afrika

Sijasoma yote ila hio kazi itamnufeusha yeye na familia yake mimi anihusu kwa lolote, haitatokea anipe dawa bure, nitaendelea kugharamia matibabu tangu kama kawa, hivyo .Kwa hio ajjombee na kujipambania.
Acha roho mbaya ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa Mawazo na chuki binafsi
 
Tusilazimishane wewe muombee wengine tutaombea wazazi wetu
 
Zilaaniwe Shahawa chafu za baba yako zilizokuzaa ***** Lucas Mwashambwa
 
Acha roho mbaya ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa Mawazo na chuki binafsi
Ushabiki wako na vyote unavyopenda siyo lazima mwingine avipende na kama unatambua hilo sioni sababu ya wewe kutoa matamshi haya.Jitafakari sana.
 

hapo unabubujikwa na machozi kama Kawaida unapoandika huu ujumbe
 
Acha roho mbaya ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa Mawazo na chuki binafsi
Hivi roho mbaya ipo wapi? Hivi unaweza nieleza mimi kama mimi napata faida gani Janabi kuwa Mkurugenzi huko ?
Mnapenda kushadadia umoja na mshikamano usiokuwepo. Undugu wa uongo na unafiki. Kwani watanzania ni wageni machoni pangu?
Apate asipate ni maisha yake, mimi siongezi wala kupunguza chochote. Hio roho mbaya siioni ilipo, basi ipange rangi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…