De Fernandez
Member
- Oct 13, 2023
- 22
- 26
Jana usiku nilikuwa namsindikiza rafiki yangu Tabata Segerea kutokea Kijitonyama.
Binafsi ni miezi 6 tangu nifike Tabata, route zangu zilikuwa hazinipeleki kule.
Ila kila tukikunja kona, ninashangaa jinsi mji ilivyobadilika. It’s just not the same.
Maduka mengi yamevunjwa na kuwekwa kisasa, liquor stores kibao, pamechagamka. People don’t sleep.
This is only in 6 months.
Kuna rate of change watu wengi tunashindwa kuukubali kwasababu tunapenda ile comfort tunaopata vitu vikikaa the same.
Ila the world does not care about your comfort, the world will change with or without you.
Na ndio maana kwenye mitaala yetu, tukiendelea kufundisha na kutoa mtihani kwenye vitu kama maji maji war na kuukwepa ukweli kwamba.
-AI
-Remote work
-Freelancing n.k
Zitakuja kuchukua kazi za anayesoma kuhusu maji maji war, we have a big problem.
The world will fail to teach you important things, ila ni muhimu uwe na flexibility kujifunza on your own, na pa kuanzia at least jifunze kuhusu:
-Discipline (Both Financial and Self Discipline)
-Afya njema
-Kujiamini
-Philosophy zako
-Integrity / Uaminifu
- Work Ethic
-Spiritual Guidance
~KAGA

- Business Principles
- Flexibility
~KAGA