Watanzania tupo nyuma ya wakati

Watanzania tupo nyuma ya wakati

Mpuuzi wewe ndiyo maana hujui kwanini Israel na Palestina wanapigana.Yaani Wazee wetu walipigana kututoa kwenye Utumwa na Ukoloni unakuja hapa unaongea Ujinga.Yaani umesahau kuwa mpaka sasa bado tunanyonywa na Mbeberu uonaongea Ujinga hapa Waafrika mpaka sasa wanauzwa kama bidhaa masokoni bado unaongea ujinga hapa ,Wakoloni mpaka sasa bado wanagawa silaha kwa waasi ili tupigane wenyewe kwa wenyewe unaona haina mana kujua hayo . Mpuuzi wewe unajiona unazo akili kiss unaongea lugha ya kigeni kweli wewe ninmzigo kweli kweli.Yaani umesahau Watu wanakwenda Maka kwasababu ya historia kama hiyo unayoipuuza . Siku ukijua umetoka wapi unakwenda wapi ndiyo utajua nini Umuhimu wa Historia.
🤣😂 Mwalimu wa history wamekuvurugah
 
Huu uzi unazungumzia:
-population,
-geography,
-science and technology,
-history

Sasa hoja ni ipi hapa? Au lengo la uzi ni lipi hapa? Au unataka huduma za kijamii ziwe zinapatikana separately? Au unataka kisema wamekosea kujenga majengo ya kisasa? Au unataka kusema watu uliowaona hapo na mazingira waliyonayo ni kwamba hawaikubali science and technology? Au unataka kusema kwamba historia haina umuhim katika jamii na dunia kwa ujumla? Au unataka watu wasisome ili AI pekee ije kuwa kama sehemu ya kutatua matatizo ya watu?


Idiot....!
 
Sidhani kama ni sababu kuna nchi kibao za Asia tulikuwa hatujapishana sana ile now sisi na hizo nchi ni sawa na mbingu na mafuta.
Kuhusu remote work watu washaanza kufanya na freelancing pia. Kitu pekee ninachokiona kila mtu anataka kufanya na same job kwenye freelancing.
Sheria & utawala wao upoje ??
 
Back
Top Bottom