Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
I wll be short
1. KALIA NDO ANA SUPPORT KUPANGA MATOKEO, HOW? officials wa mechi zote wanapangwa na genge lake. KUPANGA BAADHI ya mechi. nani ashinde nani asishinde. every thing is planned.
ie : yanga watapewa Azam fc wakitaka tu kwenda nusu fainali. au robo fainali. kama last season. kama unabisha . tupo hapa.
2. SWALA LA WAHAMUZI, 4 YEARS LINI AMEWAI LIKAZIA.
huko hicho tafuta interview ya Kalia akikazia swala la officials. amna mfano tatu malonga mwamuzi mbovu ndo alikuwa kwenye list ya marefa bora.
3. VIWANJA, swala la hili, any one akikaza tff ndani ya 2 years ana solve hili tatizo. kalia is all talk..
I know 2 companies walikuwa ready to finance under rent .. hadi sasa process hazi ishi. Mfano: kwa mkapa tumepigwa.
4. TIMU YA TAIFA. tuna wachezaji hadi abroad. Kalia kaweka mamluki wake pale kama bodi ya timu ya taifa.
Mfano: Kagua elimu ya benchi la ufundi na mafanikio. utacheka. incompetence tu na friendship tu
.
5. KARIA POCKETS ARE TOO DEEP. huyu awezi toka may be raisi wa inchi ndo matoe. pale tff ndo mazima. labda afe ila amna mtu wa kumtoa pale tff.
INCOMPETENCE LIGI YETU ITABAKI NA SIMBA NA YANGA TU. CLUB NYINGINE ZITAKUFA.
Sorry sina chuki nae. ila ajilekebishe. do it for the country sio sawa kuwa corrupt hadi watu baki wanaona. akaze basi. tumkumbuke kwa mema