Watanzania tusidanganyane ni muda wa karia to go

Ni kweli amepanga matokeo ya jana mechi ya Yanga na Kengold ilitakiwa iwe draw ya 1-1 ila Ken gold wakanyimwa goli halali
 
Nimesoma nilipofika hapo kwenye WAHAMUZI nikajua nyie ndio wale wakati mnazaliwa hawajalia hadi mmetiwa kidole
 
Mbwinde Wazima huko..?

Mzee Wa Watu Wallace Karia Kakukosea nini tena?

Kwenye kipindi chake cha Uongozi ndo tunashuhudia timu Zetu Simba,Yanga na Taifa stars zikipata Mafanikio Makubwa...! Sasa huyu mzee na ' Hii Must Go' inakujaje Kujaje ? Embu tufafanulie.!
Mafanikio ya Taifa stars ni kama yapi mkuu?
 
I wll be short

1. KALIA NDO ANA SUPPORT KUPANGA MATOKEO, HOW? officials wa mechi zote wanapangwa na genge lake. KUPANGA BAADHI ya mechi. nani ashinde nani asishinde. every thing is planned.

ie : yanga watapewa Azam fc wakitaka tu kwenda nusu fainali. au robo fainali. kama last season. kama unabisha . tupo hapa.

2. SWALA LA WAHAMUZI, 4 YEARS LINI AMEWAI LIKAZIA.
huko hicho tafuta interview ya Kalia akikazia swala la officials. amna mfano tatu malonga mwamuzi mbovu ndo alikuwa kwenye list ya marefa bora.

3. VIWANJA, swala la hili, any one akikaza tff ndani ya 2 years ana solve hili tatizo. kalia is all talk..
I know 2 companies walikuwa ready to finance under rent .. hadi sasa process hazi ishi. Mfano: kwa mkapa tumepigwa.

4. TIMU YA TAIFA. tuna wachezaji hadi abroad. Kalia kaweka mamluki wake pale kama bodi ya timu ya taifa.

Mfano: Kagua elimu ya benchi la ufundi na mafanikio. utacheka. incompetence tu na friendship tu
.
5. KARIA POCKETS ARE TOO DEEP. huyu awezi toka may be raisi wa inchi ndo matoe. pale tff ndo mazima. labda afe ila amna mtu wa kumtoa pale tff.

INCOMPETENCE LIGI YETU ITABAKI NA SIMBA NA YANGA TU. CLUB NYINGINE ZITAKUFA.

Sorry sina chuki nae. ila ajilekebishe. do it for the country sio sawa kuwa corrupt hadi watu baki wanaona. akaze basi. tumkumbuke kwa mema
What is KALIA?
What is WAHAMUZI?

Hiki ni kiswahili au ni lugha mtambuka 🤔 shule gani hii??
 
Unatumia kiungo gani kufikiria?? 😂😂😂
 
Nami nahitimisha kuwa wewe ni debe tupu..!
 
Mtu mwenyewe unaandika "wahamuzi" unataka tukusikilize?
 
Wat
Sio kwa kuwakosea heshima ila marefa kama Tatu Malogo na kheri Sasi Kuna mtu yupo nyuma Yao.
Awa marefa wame boronga mechi nyingi lakini Bado wanapewa mechi kubwa za maamuzi, Aya mambo hayatokei kwa bahati mbaya.
Marefa wa kike wengi hawawezi kumudu izi mechi waende kuchezesha kule kwa wanawake.
Atakula wapi sasa kiongozi
 
Karia aende tu nimeshangaa wachezaji wengi wazuri hawapo Timu ya Taifa kaweka jamaa zake tu.
 
KAria kafanya kaz nzito sana.. sema nyie vijans msojua mambo ya uongozi ndo huwa mnaleta nzi kwenye sahani.

Hapo karia mbaya kisa simba anashinda... acha umama mjukuu waang
Kwa Karia,,,
. Tumecheza Afcon
. Ligi ni bora sasa
. Timu zote zina ufadhili kupitia Azam
. Hali ya viwanja ni nafuu
. Shule zimepata mipira
. Simba queen wamecheza mashindano makubwa
. Ligi za vijana zimekuwa
. Yanga na Simba na biashara zinaheshimika kimataifa
. Fedha za goli la mama ni kupitia uongozi wake
 
time will tell. mimi sina shida nae.
we could do much better. amna improvement. tuna alot of better players

karia ajafanya chochote ku improve the league. wala timu ya Taifa.

also money improved simba and yanga not karia
Hebu acha kutuchanganyia kiingereza. Halafu watu wa aina yako wanaochomekea kiingereza mara nyingi huwa hawajui
 
Back
Top Bottom