Hivi kule Bungeni, ambako 75% ya wabunge hawakuchaguliwa na wananchi wala hawakushinda kura za maoni ndani ya CCM bali waliteuliwa na dikteta marehemu (taarifa ya mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Pwani), nani mwenye uwezo wa kujadili mkataba ulioandikwa kitaalam? Je, ni Musukuma, Kibajaji, and the like?Busara ni mkataba uwe wa wazi na ikimpendeza MH.RAIS mkataba ujadiliwe na bunge letu kwa parameter zote, that's the point.
#Mradi_ huu_ni_muhimu_sana.
Bunge la kujadili mikataba ni hili la akina kishimba?Busara ni mkataba uwe wa wazi na ikimpendeza MH.RAIS mkataba ujadiliwe na bunge letu kwa parameter zote, that's the point.
#Mradi_ huu_ni_muhimu_sana.
Hawa washamba wakileta chokochoko tutawapiga kipigo cha mbwa koko hadi maji wayaite mmah 😊😊Na ukiandamana tutakupasua tu,hakuna muda wa kuhangaika na wapuuzi.
Na kile kipengele cha kutokuwa na legal access kwenye eneo la huo mradi kwa muda wote wa mkataba? Na kwamba usipotimiza, malipo ni ardhiyote ya mradi kuwa mali ya china.umetafakari kipengere cha mchina kuhodhi ardhi miaka 99 alichosema JPM?hicho nacho ni kwa future genneration accomplishment au
Unawezaje kutofautisha Rais na makamu wake?Ndio,ikiwezekana hakuna ubaya yule jamaa alikuwa anazipiga juu kwa juu,na alikuwa hashauriki yeye alikuwa anajua kila kitu ndani ya dunia hii.
RAIS WETU WA AWAMU YA SITA ANASHAURIKA,NAYE PIA ANAJICHO ANGAVU SANA SHE IS INTELLIGENT ENOUGH,
La umuhimu ni kuwa mradi huo uwe na manufaa kwa pande zote (Win-Win Situation) na sio nchi kuingizwa kwenye jambo lisilo na tija.Acha upuuzi wako bandari ya Bagamoyo ni muhimu mno kwa future generation ubinafsi ni kujiangalia wewe pekeyako bila kuangalia vijukuu vyako vya baadae vitaishije (mwenyekiti wa CHAMA cha wafanyabiashara jana alizungumzia suala VIZURI sana itafute hotuba yake uisikilize)