Watanzania tusikubali nchi yetu kuwa inaibiwa na wachache wanaodhania kuwa wao wana akili nyingi. Hii nchi sio mali ya WanaCCM wachache.

Watanzania tusikubali nchi yetu kuwa inaibiwa na wachache wanaodhania kuwa wao wana akili nyingi. Hii nchi sio mali ya WanaCCM wachache.

Busara ni mkataba uwe wa wazi na ikimpendeza MH.RAIS mkataba ujadiliwe na bunge letu kwa parameter zote, that's the point.
#Mradi_ huu_ni_muhimu_sana.
Hivi kule Bungeni, ambako 75% ya wabunge hawakuchaguliwa na wananchi wala hawakushinda kura za maoni ndani ya CCM bali waliteuliwa na dikteta marehemu (taarifa ya mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Pwani), nani mwenye uwezo wa kujadili mkataba ulioandikwa kitaalam? Je, ni Musukuma, Kibajaji, and the like?

Awamu hii, Bungeni hakuna vichwa. Marehemu siku zote alipendelea kuwateua watu wenye akili ndogo ili wamsujudie, wala wasihoji chochote.
 
Hayo mambo ya kuibiwa na wachache kila awamu hawezi kukosekana...
 
umetafakari kipengere cha mchina kuhodhi ardhi miaka 99 alichosema JPM?hicho nacho ni kwa future genneration accomplishment au
Na kile kipengele cha kutokuwa na legal access kwenye eneo la huo mradi kwa muda wote wa mkataba? Na kwamba usipotimiza, malipo ni ardhiyote ya mradi kuwa mali ya china.
 
Ndio,ikiwezekana hakuna ubaya yule jamaa alikuwa anazipiga juu kwa juu,na alikuwa hashauriki yeye alikuwa anajua kila kitu ndani ya dunia hii.
RAIS WETU WA AWAMU YA SITA ANASHAURIKA,NAYE PIA ANAJICHO ANGAVU SANA SHE IS INTELLIGENT ENOUGH,
Unawezaje kutofautisha Rais na makamu wake?

Unaweza kutoa ushahidi Magufuli alikuibia nini?

Unasemaje kuhusu wizi wa awamu ya nne, na accomplishments walizofanya kwa taifa, ukilinganisha na huo "wizi" wa awamu ya tano ukilinganisha na accomplishments zake?

Mwogope Mungu. FAhamu Mungu anaishi na anamiliki falme za wanadamu.
 
Acha upuuzi wako bandari ya Bagamoyo ni muhimu mno kwa future generation ubinafsi ni kujiangalia wewe pekeyako bila kuangalia vijukuu vyako vya baadae vitaishije (mwenyekiti wa CHAMA cha wafanyabiashara jana alizungumzia suala VIZURI sana itafute hotuba yake uisikilize)
La umuhimu ni kuwa mradi huo uwe na manufaa kwa pande zote (Win-Win Situation) na sio nchi kuingizwa kwenye jambo lisilo na tija.
 
Tanzania imeibiwa 1.4 trillion na Mwendazake halafu akina Sabaya na Mnyeti shaji Awamu ya Tano imepiga kuliko Awamu zote

Deni la Nje na ndani limepaa kuliko wakati wowote.
 
Back
Top Bottom