Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Hivi kule Bungeni, ambako 75% ya wabunge hawakuchaguliwa na wananchi wala hawakushinda kura za maoni ndani ya CCM bali waliteuliwa na dikteta marehemu (taarifa ya mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Pwani), nani mwenye uwezo wa kujadili mkataba ulioandikwa kitaalam? Je, ni Musukuma, Kibajaji, and the like?Busara ni mkataba uwe wa wazi na ikimpendeza MH.RAIS mkataba ujadiliwe na bunge letu kwa parameter zote, that's the point.
#Mradi_ huu_ni_muhimu_sana.
Awamu hii, Bungeni hakuna vichwa. Marehemu siku zote alipendelea kuwateua watu wenye akili ndogo ili wamsujudie, wala wasihoji chochote.