Kwa hali ilivyo kwa sasa na maendeleo yaliyofikiwa tukae chini na kufikiri kwa makini tuchague CCM kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu.
Tusifanye ushabiki na wala tusifanye hamaki na kuchagua kwa mihemko tutajuta sana. Ninaamini Watanzania wamekuwa makini muda wote linapofikia suala la uchaguzi mwaka huu hawatafanya mzaha au kushawishiwa vinginevyo.
Siyasemi haya kama sehemu ya kampeni la hasha. Bali ukweli wangu wa rohoni. Ni kweli yapo mapungufu machache ya kimaendeleo lakini yanarekebika.Hivyo tarehe 28.10. 2020 fanya hima kapige kura pigia CCM upate maendeleo ya kweli.