Uchaguzi 2020 Watanzania tusiyumbishwe, chagua CCM, chagua Magufuli chagua maendeleo na maisha yako. Usindanganyike!

Kwamba tumchague Magufuli-:
-tuendelee kutekwa na wasiojulikana.
-kupokea kauli mbaya za masimango
- kuonea watu ktk misingi ya itikadi zao za kisiasa
- kupunjwa mafao yetu tunapo staafu
Kupoteza fao la kujito kwa kulazimisha kusubiri muda ambao hatuna uhakika wa kuufikia.

-Mishahara isiyo panda
..........
..........
TUMELIMIA MENO VYA KUTOSHA
MIAKA 5 INAMTOSHA MAGUFULI HAFAI KUENDELEA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…