Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Bhàlena tuja sana.....Cheneko ghete bhahebu. Baleduwhona dulebhahala pye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bhàlena tuja sana.....Cheneko ghete bhahebu. Baleduwhona dulebhahala pye.
Mkoani ubhebhe wa mjini nolo New York utale koshika ....Nyanda ya Nzobe kabisa..Duh..... Wanaume wa mikoani bwana
Neyo tuja nhale ghete.Bhàlena tuja sana.....
kamwe usikubali kudanganywa, baki na uzalendo wako huo huo.Kama mimi ni Mmarekani nirudisheni kwetu, ila kwa moyo wangu wote nimeridhia tozo. Njaua kuna changamoto ya viwango ila mama anaupiga mwingi.
Neyo tuja nhale ghete.
Hivi kwa nini Moderator wasiifute hii ID yako? Unaitumia vibaya JF.kamwe usikubali kudanganywa, baki na uzalendo wako huo huo.
watanzania wameelewa lengo la tozo hii.
mwezi huu Wizara ya Tamisemi imeidhinisha ma Billioni kwa TARURA na makandarasi tayari wapo site wanatujengea barabara zetu za mijini na vijijini, kwa mkoa wa DSM zimemwagwa Billioni 14 za miradi ya barabara na kazi imeanza kila kona ya nchi.
sasa leo hii atokee mtu aseme eti tozo hii ya miamala eti haifai!!
hapana!
watanzania tunahitaji sana maendeleo.
mjenga nchi ni mwananchi mwenyewe.
maendeleo hayana chama, sisi sote tutafaidi, wenye vyama vyao na wasio na vyma. hata wale wale watakao kwepa kulipa tozo bado watanufaika tu, hivyo nawashauri waache roho mbaya, waache uchawa.
sisi ndio watanzania halisi tunaishi Tanzania na tutaifia Tanzania, kamwe tusikubali kuelekezwa nini cha kufanya na wale wanao ishi Canada.
Tunaomba Tozo hii iendelee.