Uchaguzi 2020 Watanzania tuwakatae CHADEMA na uzushi wao

Tuondolee UPUUZI wako hapa! EBOO!

Salaam,

CHADEMA wamekuwa na tabia ya kumzushia mambo mengi mabaya Rais wetu na mgombea wa CCM. Mfano jana eti wamezusha kuwa rais wetu alizomewa kule Kagera. Cha kushangaza hata video za kuonyesha tukio hilo hazionekani. Rais Magufuli ni kipenzi cha wana KAGERA na wanamwelewa sana ndio maana hata wanafunzi kuanzia chekechea hadi sekondari ilibidi "watoroke" mashuleni wakajae kwa wingi ili kumsikiliza kipenzi chao.

Huu ni mwendelezo tu wa uzushi wao. Chama hiki ni cha kuzusha zusha tu. Kipindi hiki cha kampeni wamezusha kuwa eti "ndege za Magufuli" hazina faida. Huu ni uzushi mkubwa sana. Ndege hizi zimeingiza faida kubwa kwa nchi kwa kusafirisha nyama za mbuzi kwenda mashariki ya Kati.

Pia wamezusha kuwa uwanja wa ndege wa Chato eti hauna manufaa yoyote kwa umma. Je, hawajaona Museveni akitua kusaini mkataba pale? Hawaoni kuwa hata wanyonge wa Vijijini sasa hivi wanaziona NDEGE KUBWA ZIKITUA hivyo kuongeza kipato chao? Lakini hawaoni pia kuwa hali hii ikiendelea basi kila Rais ajaye atajenga uwanja wa ndege KIJIJINI kwake hivyo nchi nzima itajaa viwanja vya ndege na kuwawezesha ng'ombe na mbuzi kuchunga kwenye viwanja vya ndege na hivyo kuiingiza nchi kwenye UCHUMI wa JUU?

Uzushi huu wa CHADEMA unamfanya rais wetu ambaye amejenga VIWANDA 8000 na kutoa Ajira 6,000,000 kwa Watanzania awe mtu wa kupaniki na kufokafoka kwenye majukwaa ya kampeni. Haongelei tena atatufanyia nini Watanzania bali anakuwa anatufokea tu.

WATANZANIA tuwakatae CHADEMA.

Sauti inatosha?
 
Kwa walipofikia hawana hoja wala sera ,wamebakia kuzusha mambo ya Ajabu yasiyo na Tija kwa maendeleo ya Watanzania na Nchi kwa ujumla.
Wafanye wanavoona ila Kushinda kwao ni ndoto.
 
Salaam,

CHADEMA wamekuwa na tabia ya kumzushia mambo mengi mabaya Rais wetu na mgombea wa CCM. Mfano jana eti wamezusha kuwa rais wetu alizomewa kule Kagera. Cha kushangaza hata video za kuonyesha tukio hilo hazionekani. Rais Magufuli ni kipenzi cha wana KAGERA na wanamwelewa sana ndio maana hata wanafunzi kuanzia chekechea hadi sekondari ilibidi "watoroke" mashuleni wakajae kwa wingi ili kumsikiliza kipenzi chao.

Huu ni mwendelezo tu wa uzushi wao. Chama hiki ni cha kuzusha zusha tu. Kipindi hiki cha kampeni wamezusha kuwa eti "ndege za Magufuli" hazina faida. Huu ni uzushi mkubwa sana. Ndege hizi zimeingiza faida kubwa kwa nchi kwa kusafirisha nyama za mbuzi kwenda mashariki ya Kati.

Pia wamezusha kuwa uwanja wa ndege wa Chato eti hauna manufaa yoyote kwa umma. Je, hawajaona Museveni akitua kusaini mkataba pale? Hawaoni kuwa hata wanyonge wa Vijijini sasa hivi wanaziona NDEGE KUBWA ZIKITUA hivyo kuongeza kipato chao? Lakini hawaoni pia kuwa hali hii ikiendelea basi kila Rais ajaye atajenga uwanja wa ndege KIJIJINI kwake hivyo nchi nzima itajaa viwanja vya ndege na kuwawezesha ng'ombe na mbuzi kuchunga kwenye viwanja vya ndege na hivyo kuiingiza nchi kwenye UCHUMI wa JUU?

Uzushi huu wa CHADEMA unamfanya rais wetu ambaye amejenga VIWANDA 8000 na kutoa Ajira 6,000,000 kwa Watanzania awe mtu wa kupaniki na kufokafoka kwenye majukwaa ya kampeni. Haongelei tena atatufanyia nini Watanzania bali anakuwa anatufokea tu.

WATANZANIA tuwakatae CHADEMA.

Sauti inatosha?
Wala magufuli hapanik kwa uongo wa kijinga na kitoto. Mbinu ya uongo ni kuukanusha kwa kuonyesha ukweli na nia ya muongo. Kila skirudia uongo ni kuukanusha na kutolea maelezo hadi kumuabisha muongo.
 
Ni uzushi kusema serikali ya magufuli ililala fofo wakati watanzania ndugu zetu wanatosqa baharini coco waliwe na nyangumi?
 
Salaam,

CHADEMA wamekuwa na tabia ya kumzushia mambo mengi mabaya Rais wetu na mgombea wa CCM. Mfano jana eti wamezusha kuwa rais wetu alizomewa kule Kagera. Cha kushangaza hata video za kuonyesha tukio hilo hazionekani. Rais Magufuli ni kipenzi cha wana KAGERA na wanamwelewa sana ndio maana hata wanafunzi kuanzia chekechea hadi sekondari ilibidi "watoroke" mashuleni wakajae kwa wingi ili kumsikiliza kipenzi chao.

Huu ni mwendelezo tu wa uzushi wao. Chama hiki ni cha kuzusha zusha tu. Kipindi hiki cha kampeni wamezusha kuwa eti "ndege za Magufuli" hazina faida. Huu ni uzushi mkubwa sana. Ndege hizi zimeingiza faida kubwa kwa nchi kwa kusafirisha nyama za mbuzi kwenda mashariki ya Kati.

Pia wamezusha kuwa uwanja wa ndege wa Chato eti hauna manufaa yoyote kwa umma. Je, hawajaona Museveni akitua kusaini mkataba pale? Hawaoni kuwa hata wanyonge wa Vijijini sasa hivi wanaziona NDEGE KUBWA ZIKITUA hivyo kuongeza kipato chao? Lakini hawaoni pia kuwa hali hii ikiendelea basi kila Rais ajaye atajenga uwanja wa ndege KIJIJINI kwake hivyo nchi nzima itajaa viwanja vya ndege na kuwawezesha ng'ombe na mbuzi kuchunga kwenye viwanja vya ndege na hivyo kuiingiza nchi kwenye UCHUMI wa JUU?

Uzushi huu wa CHADEMA unamfanya rais wetu ambaye amejenga VIWANDA 8000 na kutoa Ajira 6,000,000 kwa Watanzania awe mtu wa kupaniki na kufokafoka kwenye majukwaa ya kampeni. Haongelei tena atatufanyia nini Watanzania bali anakuwa anatufokea tu.

WATANZANIA tuwakatae CHADEMA.

Sauti inatosha?
Chadema saccos hawana chao. Kijani tupu kuanzia Urais mpaka udiwani.
 
Ukoo wa panya nani auchague,katibu mkuu fedha mtoto wa dada serikali imejaza ndgu wenye elimu ndogo kutuibia.
Wewe ni zaidi ya mgonjwa wa ukoma
 
Hatuwezi kukikataa chama kilichofungiwa na kuteswa kwa miaka mitano hatuwezi kukikataa chama ambacho viongozi wake wamepigwa risasi na kuvunjwa miguu bila sababu.

Siku VIONGOZI wale wa chadema wanakutana airport mmoja akichemea kwa risasi 16 na mwingine kwa kushambuliwa kisiasa hatuwezi kuwakataa watu Hawa.

Hatuwezi kuwakataa watu ambao wamefilisiwa Mali zao kisa sisi.
Lazima tuwaonyeshe upendo kulipia madhila waliyoyapata kea kututetea sisi.
 
Ukoo wa panya nani auchague,katibu mkuu fedha mtoto wa dada serikali imejaza ndgu wenye elimu ndogo kutuibia.
Wewe ni zaidi ya mgonjwa wa ukoma
Huu pia ni uzushi. Nyinyi ndio mnasababisha TUFOKEWE majukwaani kwa uzushi WENU. Mshajua kuwa "uzushi unauma" ndio mnatumia SILAHA hiyo kumpanikisha JPM
 
W
Salaam,

CHADEMA wamekuwa na tabia ya kumzushia mambo mengi mabaya Rais wetu na mgombea wa CCM. Mfano jana eti wamezusha kuwa rais wetu alizomewa kule Kagera. Cha kushangaza hata video za kuonyesha tukio hilo hazionekani. Rais Magufuli ni kipenzi cha wana KAGERA na wanamwelewa sana ndio maana hata wanafunzi kuanzia chekechea hadi sekondari ilibidi "watoroke" mashuleni wakajae kwa wingi ili kumsikiliza kipenzi chao.

Huu ni mwendelezo tu wa uzushi wao. Chama hiki ni cha kuzusha zusha tu. Kipindi hiki cha kampeni wamezusha kuwa eti "ndege za Magufuli" hazina faida. Huu ni uzushi mkubwa sana. Ndege hizi zimeingiza faida kubwa kwa nchi kwa kusafirisha nyama za mbuzi kwenda mashariki ya Kati.

Pia wamezusha kuwa uwanja wa ndege wa Chato eti hauna manufaa yoyote kwa umma. Je, hawajaona Museveni akitua kusaini mkataba pale? Hawaoni kuwa hata wanyonge wa Vijijini sasa hivi wanaziona NDEGE KUBWA ZIKITUA hivyo kuongeza kipato chao? Lakini hawaoni pia kuwa hali hii ikiendelea basi kila Rais ajaye atajenga uwanja wa ndege KIJIJINI kwake hivyo nchi nzima itajaa viwanja vya ndege na kuwawezesha ng'ombe na mbuzi kuchunga kwenye viwanja vya ndege na hivyo kuiingiza nchi kwenye UCHUMI wa JUU?

Uzushi huu wa CHADEMA unamfanya rais wetu ambaye amejenga VIWANDA 8000 na kutoa Ajira 6,000,000 kwa Watanzania awe mtu wa kupaniki na kufokafoka kwenye majukwaa ya kampeni. Haongelei tena atatufanyia nini Watanzania bali anakuwa anatufokea tu.

WATANZANIA tuwakatae CHADEMA.

Sauti inatosha?

Watanzania wapi unaowaomba wakatae Chadema? labda ungemuomba dada yako na shangazi yako. Kwa nini wewe ni nani hata utuchagulie cha kufanya?
 
Back
Top Bottom