Watanzania tuwe makini na vyombo vya habari vya Kibeberu. CNN wazusha kukamatwa kwa Freeman Mbowe ni amri ya Rais Samia!

O

We nae siku hizi akili zako zimefyatuka ama kweli Mayala maana yake njaaa alinukuliwa hayati akisema
 
Kwani wao wanasema wamemkamata kwa ugaidi gani? Alitaka kulipua ama nini hasa?
 
Sasa kama sio maagizo ya samia suruhu mbona amekaa kimya?
Haoni yeye ndie anachafuliwa?
Mimi kwa siku nyingi nimeona hata wewe mayalla njaa imeanza kutafuna ubongo kilichobaki unaanza kutafuta namna ya kujipatia ugari kwa njia za kujitoa ufahamu kujifanya (mentol find)
Hivi unawezaje ukawa rais wa nchi ukawa unaona upumbavu kama huu alafu ukawa kimya hata kutoa angalizo tu imeshindikana?
Ugaidi sio jambo dogo ni mtikisiko wa dunia.
Endelea kuchanga karata zako pengine kuna pdf linakuja unasubiria uone kama utatiki.
 
Leave us open. You are not forced to pay attention to the "He-goat" media. Some of us are in deep love with such media.
 
Pasko unajitoa ufahamu ili update teuzi.
Maushungi ni kama meko tu. Period.
 
We we unaojifanyaga mwandishi mzalendo kwani unafaida gani kwa nchi zaidi ya kuvizia teuzi?na bahati nzuri walishakushtukia longtime ndio maana wajumbe walikunyoosha.ila uskate tamaa jrb tena kwa Mama
 
Tanzania ni nchi huru na inaongozwa na Utawala wa sheria (Rule of Law) Hakuna aliye juu ya sheria, watu wote wapo sawa mbele ya sheria, mtu yeyote akifanya kosa lolote la kijinai atachukuliwa hatua za kisheria bila kujali nafasi yake, rangi take au jinsia yake.
Mbowe anatuhumiwa kwa makosa ya Kigaidi yeye na genge lake, ni kinyume cha Utawala wa kisheria kuanza kumtetea Mtuhumiwa/watuhumiwa kabla hata hajafikishwa Mbele ya Mahakama.
Tanzania inaheshimu utawala wa sheria na lazima Mbowe atafikishwa mbele ya Mahakama kujibu tuhuma na bila shaka watapata nafasi ya kujitetea, kinacho fanywa hivi sasa na Viongozi wa chadema ni kujaribu ku "frustrate" mchakato wa kumshitaki Mbowe kwa tuhuma za ugaidi kwa kutumia vyombo vya habari vya kimataifa, wakiamini kuwa Vyombo vya ulinzi vya tz vitaogopa na kurudi nyuma, hilo ndio lengo la chadema hivi sasa. wanaitishia nyau serikali makini!!!
Naamini vyombo vyetu vya ulinzi na usalama havitoingia kwenye mtego wa chadema wanao fanya hivi sasa kamwe vyombo vyetu visitetereshwe wala wasiogope kufuata utawala wa sheria kwa kumhofia Mbowe au hata mtu mwengine.
Utawala wa sheria ni "Hakuna aliye juu ya sheria".
Mbowe hayuko juu ya sheria lazima ashitakiwe na kwa kufanya hivyo ndio kuheshimu na kufuata utawala wa sheria na mwisho Mahakama ndio itatoa maamuzi kama ana hatia au hana hatia.
 

Pasco inawezekana unawakomoa Chadema,
Pasco inawezekana unawafurahisha CCM,
Pasco Naamini kabisa unajua Mbowe sio gaidi,
Pasco Naamini kabisa unajua Mbowe anaonewa,

Pasco Naamini kabisa unajua vyombo vya nje vinaripoti ukweli,

Pasco kama unatetea huu ukatili wa CCM kwa kupundisha ukweli kuwa uongo na uongo kuwa ukweli kwa ajili tu ya kufurahia anachofanyiwa Mbowe Tena kwa kudai katiba ambayo hata wewe na uzao wako wote mtanufaika nao subiri kile ulichonifundisha kitakupata.KARMA.

Kwa haya unayoyafanya hapa Pasco unatenda kupoteza kabisa katika tasnia ya habari,na hata biashara zako zitaenda kufa.
Pasco utaenda kufa masikini na utakumbukwa kama mtetea uovu.

Haya niliyokuambia yataanza kupata kidogokidogo Wala huta pata mda wa kujisafusha.
Watu wanatunza maandiko yako na watu huwa hawasahau.
Suala la Kabendera inawezekana Wala hukumfanyia hujuma zozote lakini sasa ndio inajulikana hivyo.utajisafishaje.

Endelea tu,utajua kumbuka haya ninayoandika.
Kama hautumiki Ni Bora ukae kimya.
 

Ilivyo sasa hivi, inawezekana Polis kumkamata Mbowe bila kuifahamisha Ikulu? Reaction ya Ikulu ilikuwa ni nini. Mwishowe ni mpira kuishia kwa kipa.
 
Mjjnga baba yako
 
So sad, any action in Africa is being controlled by the president/Government, what about Europe, America and other countries?

"
...... when MI5 operated with less external oversight". Many of his top secret cell's victims were politicians, journalists, activists, and union leaders. Mr. Hopkins claims that Princess Diana was the only women he ever killed, adding that; "She was the only target where the order came directly from the Royal family."


 
Nimesikiliza hiyo habari ya CNN na sijasikia uongo hata mmoja, kilichosemwa ni kile wengi tunachokifahamu unless kwa wale wasioukubali ukweli.
Ukiuliza upinge kilichosemwa kwa hard facts(I mean hard facts siyo stories ndefu ndefu zisizo na kichwa wala miguu) je unaweza?
 
Ningekuwa mi ndio Rais hivyo vyombo vya habari vya kipuuzi ni kuwabana walete ushahidi wakishindwa vifungiwe milele kurusha matangazo yake tz,ving'olewe kwenye visimbuzi vyote
Then urudi kwao uwapigie magoti ukililia msaada wa vaccination za Covid19, such a useless empty head.
 
Ni kosa kubwa Msomi wa mjini km wewe tena Mweledi kumuita Binadamu Mwenzako eti Beberu!! Huo nao ni ubaguzi mbaya sana Duniani na udhalilishaji uliotukuka mbaya!! wewe kiakili na kimtazamo ni sawa sawa na yule Mkoloni

aliye waita Babu zetu nyani kwa vile tu ni weusi Maskini!!! tofauti yenu ni rangi tu!! na mahali mlipo zaliwa!! nikuulize weye Mayalla! Beberu unalijua vizuri lkn??? sasa km hujui ni hivi: Beberu ni Dume kuubwa la Mbuzi, refu nene kuliko yote kundini lenye harufuuu na kidevu Mashallah!! ,

kazi yake kubwa ni kutawala mengine kwa kutoa milio kibabe kucha kutwa linaweza lisichunge majani siku nzima!! kundini wakati wa marisho ili kutisha na kuonyesha hayawani wengine kuwa lina nguvu na Mamalaka ya kutiisha!!

au ukitaka ni hayawani kuu Babe lililo komaa katika kundi la wanyama hao husika wote!!! km majiswala, Mbogo, Manyati nk

kazi yake kubwa ni uchoyo na umimi wa kupanda Majike yote yaliyomo kundini, na kuzuia vibeberu vidogo visipande Majike!! hata km limezeeka linakawaida ya kutoa sauti ya kibabe na kutoa kaulimi nje kuwasanifu wenzake ambao ni dhaifu!



Hamisha uhusika huu kwa Binadamu mwenzio unajisikiaje weye km msomi
Mtu ulinganishwe na hayawani asiye na akili utakubali weye?? je utakuwa na amani!! unatudhalilisha braza!!!..... w
 
Hata hivyo wako sahihi 100% sababu angeweza kuwazuia wasimbambikize hiyo kesi uchwara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…