Watanzania tuwe makini na vyombo vya habari vya Kibeberu. CNN wazusha kukamatwa kwa Freeman Mbowe ni amri ya Rais Samia!


Hao CNN wamesema ukweli na hawana muda ya kutafuta hao waongo. Ukweli huu waliosema CNN watanzania wengi tunaujua. Hiyo TBC ww n lazima uiamini maana inakuwezesha ww na familia yako msikose choo. Hata hivyo ww Paskali huna ushawishi uliokuwa nao hapo awali, hivyo huna lolote unaweza kubadili kuhusu huo ukweli wa CNN, labda hao wanaosikiliza TBC ndio utaweza kuwachota.
 
Mayala Kuna sehemu unafeli. Hivi kwa akili yako ya kawaida tu uamini kuwa mbowe kakamatwa na kufunguliwa hiyo kesi ya uongo na state?
 
Juzi nilikuwa nasikiliza mjadala wenu pale TBC juu ya mtazamo wa vyombo vya kimagharibi juu ya Africa,uliokuwa ukiongozwa na Ryoba.Kile kilochozungumziwa ndio hasa kinatokea.

Pamoja na yote hakuna kitakachoharibika,acha wapige kelele.

Hivi TBC huwa inaonekana vizuri? Nina muda mrefu sana sijawahi kuangalia huo uchafu.
 

Mr Richard, tatizo liko kwenye hoja hii ya polisi uliyoinukuu hapo...!

å Hivi wewe na hao polisi mnadhani kwa kuwa wao ni polisi wanafikiri kuwa ni werevu na wana akili sana kuliko sisi Watanzania zaidi ya 55,000,000..???

å Well, kumbe polisi na walikuwa wanamchunguza Mbowe kwa tuhuma za ugaidi...

å Na kumbe Mbowe mwenyewe naye alikuwa anajua anachunguzwa kwa tuhuma za ugaidi wa kuua viongozi wa serikali...

å Na kumbe alikuwa anajua kuwa angeweza kukamatwa wakati wowote....

å Na kumbe huyu Mbowe huyu ni mwanaume anayejiamini sana. Maana kama angekuwa anaogopa tuhuma hizi za ugaidi si angweza kukimbia nchi muda mrefu uliopita...?

å Lakini aah, wala hakufanya vile na badala yake aliwasubiri tu. Hii maana yake huyu jamaa ni muungwana sana. Haieleweki ni kwanini polisi wakawa so desparate to that extent kiasi cha kusababisha chaos hii...

MASWALI:

1. Sasa bwana Richard, ikawaje nyie polisi na serikali kwa ujumla mkawa wajinga na wapumbavu kiasi kile hata kutumia tuhuma za Mbowe mtu mmoja kuharibu na kisichohusika yaani kongamano la madai ya kuandikwa kwa katiba mpya ya wananchi..?

2. Katika mazingira haya nani ataamini kuwa serikali ya Samia na CCM kwa kulitumia kisiasa Jeshi la polisi hawakulenga kuharibu kongamano la CHADEMA la madai ya katiba mpya ya wananchi...?

3. Hao wengine zaidi ya 15 viongozi na watu wa kawaida tu mliowakamata nao wana uhusiano na tuhuma za ugaidi wa Mbowe...?

4. Ndugu Richard hivi unajaribu kutetea nini hasa katika ishu hii ambao sisi tulio wajinga sana tunashindwa kukuelewa...?

5. Hivi wewe ktk ufahamu na akili yako ya kawaida tu isiyo hitaji usomi wowote unashindwa kabisa kuona kuwa huu ni mpango mahususi wa watawala kujaribu kuzima sauti za kudai katiba mpya harakati zinazoongozwa na CHADEMA chini ya Freeman Mbowe...?

Ndugu amka. Hakuna cha ugaidi wala mama yake ugaidi. Hawa wanamtafuta Mbowe tu na ikibidi wamuue kabisa...!!

That's bitter truth to swallow....
 
Paskali,
Ningependa uanzishe Mjadala wa Uzalendo, kuhusu Mada mliyoongelea TBC 1 na Dr. Ayubu Rioba pamoja na (nafikiri) Mwenyekiti wa MISA-Tan (Kama nimekosoa juu ya Mshiriki mwenziyo, niko tayari kukosolewa).
Lakini pamoja na hili la Uzalendo, napenda nikupongeze kwa 'staili' yako ya kuchokonoa Mada.
Paskali, wote humu JF tunajua kuwa wewe unasimama upande wa demokrasia.
Hiyo ya 'vyombo vya kibeberu' ni staili yako ya kuonyesha msisitizo kuwa Duniani kuna Vyombo vya Habari, hakuna Vyombo vya Habari vya Kibeberu.
Enzi zile tukiwa na Viongozi mahiri katika 'Kimombo', Marais wetu walikuwa hawaogopi kuhojiwa na Waandishi wa Habari wa BBC, CNN, DW, na wengineo.
Nyerere na Mkapa ni mfano halisi.
Katika hili, nakupongeza Paskali.
Sasa nije kwenye Uzalendo.
Kwa bahati mbaya, nilichelewa kukiona Kipindi cha Mizani.
Paskali, naomba nikuulize;
Tunatofautishaje Maslahi ya Taifa, na Matakwa ya Rais wa Tanzania?
Na hapa niulize swali specific;
TBC1 wako tayari kuhoji pale Rais wa Tanzania anapofanya maamuzi au matendo yanayoliumiza Taifa?
Mada hiyo inaweza kuzungumzika chini ya 'moderation' ya Dr. Ayubu Rioba?
Au tafsiri ya Maslahi ya Nchi ni "Yale yote yanayotoka kwenye mdomo wa Rais"?
 
Kumbe bado hujaponaga kichaa tu?
 
Ungekuwa na akiri timamu ungepewa ubunge wabure na CCM 2020 ...hata na wajumbe wachovu walikukataa...huoni aibu wewe?? Kama unayo wife inawezekana hajuwi kusoma nakwandika angekuwa anakushauri mme wangu acha kutunga nakala za pum.bu zako..stupd.
 
Mtani wangu Pascal Mayalla wewe ulijuaje kama taarifa hizo za CNN ni zakupika na uongo?.
Basi kwa kukanusha kwako kuwa taarifa zao sio za kweli ni zakupika, basi maana yake ni wewe unasibitisha na kuamini na kutuaminisha sisi kuwa kosa la ugaidi linalo mshikilia Mbowe ni la kweli!
 
Kwani uongo?
 
Viongozi wetu wanawapata habari mbaya hao mabeberu kuhusu sisi kupitia vitendo vyao viovu wanavyotufanyia sisi raia.

Mfano ...ni suala la Mbowe,toka lini kudai katiba kukawa kosa la kigaidi?
 
Kwa hiyo uzalendo ni kukubaliana na yanayofanywa na Serikali? Kwani Serikali ndo nchi?

Kwa hiyo uzalendo ni kutukuza viongozi kama Rais? Kwani Rais ni nchi?

Kwa hiyo Uzalendo ni kukubaliana na matendo maovu yanayofanywa na vyombo vya dola dhidi ya watu wake? Kwa hiyo vyombo vya dola ni nchi?

Mie nafikiri mojawapo ya vitendo vya Kizalendo ni kuikosoa na kuibagaza Serikali au Viongozi wake wanapofanya matendo maovu kwa nchi na watu wake.

CNN na vyombo vingine vya habari vikubwa Duniani vimefanya kitendo cha kiungwana kwa Tanzania kuliko watanzania kama nyie mabepari uchwara mnaojifanya na kujitukuza wazalendo, kumbe walaghai wakubwa.
 
utasikia eti ndio wasomi hao kumbe ni bangi tupu uzalendo gani labda uharo wewe CCM engekuwa wanauzalendo wengezungumzia matundu ya choo miaka 60 ya utawala kama kuna kiongozi yoyote mwenye chembe ya uzalendo basi leo Tanzania ingekuwa kuliko ulaya lakini wapi uzalndo ni matumbo yao na kunywa chibuku. hakuna lolote njaa tupu
 
Laana haitakuacha salama wewe Pasco, ulidhamiria kuona Kabendera anauwawa na watawala wa Tanzania. Hukufanikiwa lakini bado huachi roho mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…