Watanzania tuwe makini na vyombo vya habari vya Kibeberu. CNN wazusha kukamatwa kwa Freeman Mbowe ni amri ya Rais Samia!

Mkuu wangu.....

Kwa hiyo una ushahidi kuwa ni mh.Rais SSH aliyetoa amri ya kukamatwa mh.Mbowe?!!!

Hivi si mh.Rais aliyeshajiisha kumalizika kwa kesi ya mh.Mbowe na Mdude Nyagali na mwishowe wakarudishiwa fedha zao milioni 300?!!!

Kwa hiyo unaamini kabisa mh.Mbowe na wenzake pekee ndio wenye UZALENDO NA NIA YA DHATI YA TAIFA hili kuliko sisi sote na Serikali yote?!!!
Yaani hayo maswali yanaonesha upeo wako wote.
 
Wanabodi,

Wiki iliyopita nilialikwa TBC kwenye kipindi cha Mizani, kinachoendeshwa na Dr. Ayoub Rioba. Mada kwenye kipindi hicho ni "Dhima ya Vyombo vya Habari Kulinda Maslahi ya Taifa".

Kwenye mjadala kuliibuka hoja jinsi Vyombo vya habari vya nje vinavyoibagaza Africa katika ripoti zake. Kwao kuibagaza Africa ndio maslahi kwao kwa mataifa yao.

Juzi Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe amekatwa na Polisi na tuhuma za kijinai.

CNN wameripoti hivi

Katika ripoti hiyo, kwanza CNN, hawakutafuta any authoritative source Kutoka nchini Tanzania, zaidi ya kuokoteza habari hiyo kama ilivyoripotiwa na media mbalimbali za ndani.

Kwa vile CNN ni chombo cha kibeberu, hivyo kina agenda ya kubagaza, CNN wakamtafuta Prof. Nic Cheeseman, ni Professor wa Democracy, University of Birmingham, kabla ya hapo, alikuwa Director wa African Studies Centre at Oxford University, ili kuichambua habari hiyo.

Prof. Huyo akatunga uongo wa wazi wa mchana kweupe kuwa Freeman Mbowe, amekamatwa kwa amri ya rais Samia ili ku divert attention ya vuguvugu la katiba na tozo kwenye miamala ya simu!.

Huu sio uongo wa mchana kweupe?. Yaani hata kwa akili ya kawaida tuu, yaani Rais wetu Samia atoe amri ya Kukamatwa kwa Mbowe, kisa ni vuguvugu la mjadala wa katiba mpya na tozo za miamala?!, Watanzania tusijue, aliyemkamata Mbowe, amezungumza na sababu ametoa, CNN badala ya kutafuta the reliable sources, wanatuletea wazushi na kutuletea uzushi!. Ukisikia Ajenda hasi ndio hizi!.

Kwa vile hii ni lugha ya watu, na pia naufahamu uwezo wa wengi wetu kwenye uelewa hizi lugha za watu, hivyo ili kuwasaidia wale wenzangu na mimi, sikiliza kwa makini jibu la swali la pili.
"it is a crackdown, she has launched or pretended to launch all along"

Watanzania Wazalendo lazima tuwe makini sana na Vyombo hivi, unaweza kujikuta unasambaza taarifa ya kuibagaza nchi yako, rais wako na watu wako bila kujijua.

Uzalendo wa kweli ni kutanguliza mbele maslahi ya nchi yako, maslahi ya taifa lako, maslahi ya watu wako.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali

Wee mzee sometimes tunakutetea huku ila sometimes unayakoroga mwenyewe,

Hii ni hesabu ya chekechea

1. Jeshi la polisi limemkamata Mbowe kwa tuhuma ambazo mpaka sasa hawajamfikisha mahakamani kujua ana hatia au la.

2. Raisi Samia ndie amiri jeshi mkuu.

Nani alaumiwe ?
 
Wanabodi,

Wiki iliyopita nilialikwa TBC kwenye kipindi cha Mizani, kinachoendeshwa na Dr. Ayoub Rioba. Mada kwenye kipindi hicho ni "Dhima ya Vyombo vya Habari Kulinda Maslahi ya Taifa".

Kwenye mjadala kuliibuka hoja jinsi Vyombo vya habari vya nje vinavyoibagaza Africa katika ripoti zake. Kwao kuibagaza Africa ndio maslahi kwao kwa mataifa yao.

Juzi Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe amekatwa na Polisi na tuhuma za kijinai.

CNN wameripoti hivi

Katika ripoti hiyo, kwanza CNN, hawakutafuta any authoritative source Kutoka nchini Tanzania, zaidi ya kuokoteza habari hiyo kama ilivyoripotiwa na media mbalimbali za ndani.

Kwa vile CNN ni chombo cha kibeberu, hivyo kina agenda ya kubagaza, CNN wakamtafuta Prof. Nic Cheeseman, ni Professor wa Democracy, University of Birmingham, kabla ya hapo, alikuwa Director wa African Studies Centre at Oxford University, ili kuichambua habari hiyo.

Prof. Huyo akatunga uongo wa wazi wa mchana kweupe kuwa Freeman Mbowe, amekamatwa kwa amri ya rais Samia ili ku divert attention ya vuguvugu la katiba na tozo kwenye miamala ya simu!.

Huu sio uongo wa mchana kweupe?. Yaani hata kwa akili ya kawaida tuu, yaani Rais wetu Samia atoe amri ya Kukamatwa kwa Mbowe, kisa ni vuguvugu la mjadala wa katiba mpya na tozo za miamala?!, Watanzania tusijue, aliyemkamata Mbowe, amezungumza na sababu ametoa, CNN badala ya kutafuta the reliable sources, wanatuletea wazushi na kutuletea uzushi!. Ukisikia Ajenda hasi ndio hizi!.

Kwa vile hii ni lugha ya watu, na pia naufahamu uwezo wa wengi wetu kwenye uelewa hizi lugha za watu, hivyo ili kuwasaidia wale wenzangu na mimi, sikiliza kwa makini jibu la swali la pili.
"it is a crackdown, she has launched or pretended to launch all along"

Watanzania Wazalendo lazima tuwe makini sana na Vyombo hivi, unaweza kujikuta unasambaza taarifa ya kuibagaza nchi yako, rais wako na watu wako bila kujijua.

Uzalendo wa kweli ni kutanguliza mbele maslahi ya nchi yako, maslahi ya taifa lako, maslahi ya watu wako.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali

Mimi nimeyasikiliza hayo mahojiano..Kama wewe ni mwanahabari kweli na a just person, sema Prof Cheeseman ameongea kitu gani kibaya au cha uongo kwenye hayo mazungumzo?..mpaka useme sijui wamebagaza, sijui ni chombo Cha mabeberu.. nitajie neno moja tu ambalo sio kweli. Nasubiri majibu yako

Mimi naipa lawama kidogo serikali ya Tanzania kwa kuwa kimya yanapotokea masuala kama haya.

Yanapotokea masuala kama haya ndo wakati wa kutoa taarifa sahihi kwa media platforms zote wakiwemo nchi za kibalozi kuwataarifu jambo lilotokea.

Kwa kuwa Freeman Mbowe ni public figure pia waandishi wanapaswa kuihoji polisi na hata kuwaita katika runinga ili kupata ufafanuzi wa kinachoendelea.

Kwani pia Tanzania haina wachambuzi wa demokrasia si wapo hata kule Mlimani?

Nimeandika sana juu la hili (KUKAA KIMYA) kwa serikali kuanzia awamu ya tano na ya sasa.

Hili ni tatizo kubwa na linahitaji hatua za haraka ili kuweka uwiano katika kutoa habari sahihi.
Well said comrade.......

Paschal Mayalla ameshawahi KUSHAURI hayo na kuweka BANDIKO humu ndani.....

Katika Zama Kama hizi za "kuchafuka kwa bahari" kwa kweli TUNAYUMBA....TUNAYUMBA MNO....

Ninaamini tuna watu wenye WELEDI mkubwa tu.....

Ni muda mwafaka kwa SERIKALI YA AWAMU YA 6 KUCHUKUA HATUA STAHIKI Kwani tuendako CHANGAMOTO kubwa zitatukabili....
 
Wanabodi,

Wiki iliyopita nilialikwa TBC kwenye kipindi cha Mizani, kinachoendeshwa na Dr. Ayoub Rioba. Mada kwenye kipindi hicho ni "Dhima ya Vyombo vya Habari Kulinda Maslahi ya Taifa".

Kwenye mjadala kuliibuka hoja jinsi Vyombo vya habari vya nje vinavyoibagaza Africa katika ripoti zake. Kwao kuibagaza Africa ndio maslahi kwao kwa mataifa yao.

Juzi Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe amekatwa na Polisi na tuhuma za kijinai.

CNN wameripoti hivi:

Katika ripoti hiyo, kwanza CNN, hawakutafuta any authoritative source Kutoka nchini Tanzania, zaidi ya kuokoteza habari hiyo kama ilivyoripotiwa na media mbalimbali za ndani.

Kwa vile CNN ni chombo cha kibeberu, hivyo kina agenda ya kubagaza, CNN wakamtafuta Prof. Nic Cheeseman, ni Professor wa Democracy, University of Birmingham, kabla ya hapo, alikuwa Director wa African Studies Centre at Oxford University, ili kuichambua habari hiyo.

Prof. Huyo akatunga uongo wa wazi wa mchana kweupe kuwa Freeman Mbowe, amekamatwa kwa amri ya rais Samia ili ku divert attention ya vuguvugu la katiba na tozo kwenye miamala ya simu!.

Huu sio uongo wa mchana kweupe?. Yaani hata kwa akili ya kawaida tuu, yaani Rais wetu Samia atoe amri ya Kukamatwa kwa Mbowe, kisa ni vuguvugu la mjadala wa katiba mpya na tozo za miamala?!, Watanzania tusijue, aliyemkamata Mbowe, amezungumza na sababu ametoa, CNN badala ya kutafuta the reliable sources, wanatuletea wazushi na kutuletea uzushi!. Ukisikia Ajenda hasi ndio hizi!.

Kwa vile hii ni lugha ya watu, na pia naufahamu uwezo wa wengi wetu kwenye uelewa hizi lugha za watu, hivyo ili kuwasaidia wale wenzangu na mimi, sikiliza kwa makini jibu la swali la pili.
"it is a crackdown, she has launched or pretended to launch all along"

Watanzania Wazalendo lazima tuwe makini sana na Vyombo hivi, unaweza kujikuta unasambaza taarifa ya kuibagaza nchi yako, rais wako na watu wako bila kujijua.

Uzalendo wa kweli ni kutanguliza mbele maslahi ya nchi yako, maslahi ya taifa lako, maslahi ya watu wako.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali

🤣🤣🤣🤣 I always like your writing skills sir ...
 
Mimi naipa lawama kidogo serikali ya Tanzania kwa kuwa kimya yanapotokea masuala kama haya.

Yanapotokea masuala kama haya ndo wakati wa kutoa taarifa sahihi kwa media platforms zote wakiwemo nchi za kibalozi kuwataarifu jambo lilotokea.

Kwa kuwa Freeman Mbowe ni public figure pia waandishi wanapaswa kuihoji polisi na hata kuwaita katika runinga ili kupata ufafanuzi wa kinachoendelea.

Kwani pia Tanzania haina wachambuzi wa demokrasia si wapo hata kule Mlimani?

Nimeandika sana juu la hili (KUKAA KIMYA) kwa serikali kuanzia awamu ya tano na ya sasa.

Hili ni tatizo kubwa na linahitaji hatua za haraka ili kuweka uwiano katika kutoa habari sahihi.
Hawawezi kuwa wa wazi !!. Kwa sababu wanajaribu kuuiga u communist ktk dunia ya leo. Na katika u communist hakuna uwazi , bali kumtukuza mtawala .
 
Mkuu wangu.....

Kwa hiyo una ushahidi kuwa ni mh.Rais SSH aliyetoa amri ya kukamatwa mh.Mbowe?!!!

Hivi si mh.Rais aliyeshajiisha kumalizika kwa kesi ya mh.Mbowe na Mdude Nyagali na mwishowe wakarudishiwa fedha zao milioni 300?!!!

Kwa hiyo unaamini kabisa mh.Mbowe na wenzake pekee ndio wenye UZALENDO NA NIA YA DHATI YA TAIFA hili kuliko sisi sote na Serikali yote?!!!
Jumbe Brown:Mimi Mimi ni mwana CCM Toka mwaka 1989 nimeshika nyadhifa mbalimbaliza chama na serikali kwa hiyo nchi hii naijua kwa kiasi chake ,Sasa Nakupa mfano ebu cheki uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2019 na uchuguzi mkuu 2020 vipi kama Taifa tupo sahihi?Vipi hujui chaguzi za Namana hii ndo huingiza nchi kwenye machafuko?

Sasa Leo anatokea kiongozi kama Mbowe anadai tupate katiba mpya ili tuwe na Taifa lenye haki anabambikizwa kesi eti ni gaidi .Sasa kati ya Mbowe na sisi nani ni mzalendo.Tuache unafiki tuipende nchi yetu kwa kupenda ukweli hata kama unatuumiza.
 
Profesa Cheeseman ambae kiumri bado kijana sana (ana miaka 42) amewahi kuandikia Daily Nation la Kenya.

Alijiuzulu kuandikia gazeti hilo kwa kudai kuna censorship.

Kila nchi ina maamuzi katika kuangalia ufanisi wa waandishi wa habari kwamba hawaandai sumu ya kuwalisha wasomaji.

Sumu hizo ni uchochezi, fake news na habari zisizo na vyanzo vya kuaminika.

Hivyo tokea sakata la Daily Nation profesa Cheeseman hawezi kuwa na mtazamo chanya juu ya Afrika.

Moja ya nyenzo muhimu kabisa kwa mwandishi wa habari ni kuwa na "reliable sources", wengi hawana akiwemo profesa Cheeseman.

Huu ni wakati wa waandishi nguli kama wewe bwana Mayalla kuanza kupika waandishi wapya kabisa na walo na maono ya kitaifa na pia kujifunza kutoka propaganda za nje.

Waandishi wa habari wenye "critical thinking" hawapo Tanzania kwa sasa.
Hivi unaposema wanaandika pasipo vyanzo vya kuaminika,naomba nikuulize hivyo vyombo vya kuaminika unavyotaka wewe ni vipi??
Polisi walisema wamemshitaki kwa makosa ya ugaidi,sote tunajua mfumo wa Tanzania ulivyo hata polisi waliomkamata walisema wamepokea maelekezo maana yake ni kuwa RPC alipkea maelekezo kutoka kwa IGP na IGP anayatoa kwa RAIS sasawewe kwa akili yako tueleze kama kuna MTU anayeweza MPA maelekezo IGP tofauti na Rais??
 
Wakati mwingine naona katika maraisi nchi ambao ni bora kabisa kwa dhana ya uhuru wa habari na kujieleza Kikwete Jakaya anabaki kuwa bora kabisa. Alishawahi kuwambia CCM wenzie kuwa hoja ujibiwa kwa hoja sio kwa kutumia polisi na vyombo vya usalama.Ndio maana wakati wa utawala wake watu walikua huru kutoa maoni hata ikapelekea kuibuliwa madudu mengi ikiwemo suala la ufisadi na pia akaasisi mchakato wa katiba mpya Sasa kwanini ccm wanaogopa katiba mpya?
 
Jumbe Brown:Mimi Mimi ni mwana CCM Toka mwaka 1989 nimeshika nyadhifa mbalimbaliza chama na serikali kwa hiyo nchi hii naijua kwa kiasi chake ,Sasa Nakupa mfano ebu cheki uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2019 na uchuguzi mkuu 2020 vipi kama Taifa tupo sahihi?Vipi hujui chaguzi za Namana hii ndo huingiza nchi kwenye machafuko?

Sasa Leo anatokea kiongozi kama Mbowe anadai tupate katiba mpya ili tuwe na Taifa lenye haki anabambikizwa kesi eti ni gaidi .Sasa kati ya Mbowe na sisi nani ni mzalendo.Tuache unafiki tuipende nchi yetu kwa kupenda ukweli hata kama unatuumiza.
Mwenyewe nawashangaa hawa wana CCM wenzangu hivi mwanaume kabisa unakuwaje MTU wa kila kitu ndio pasipo hata kutumia ubongo.
Kupitia Mwenyekiti wetu Magufuli tumepata somo kubwa sana,na hilo somo ni umuhimu wa Katiba Mpya.halafu huwa namshangaa mwana CCM anayebisha kuwa hakuna umuhimu wa Katiba mpya unabaki unajiuliza hivi huyu na Nyerere aliyeanzisha Chama na kusema mapungufu ya Katiba hii nani hiyo sahihi??
 
Wanabodi,

Wiki iliyopita nilialikwa TBC kwenye kipindi cha Mizani, kinachoendeshwa na Dr. Ayoub Rioba. Mada kwenye kipindi hicho ni "Dhima ya Vyombo vya Habari Kulinda Maslahi ya Taifa".

Kwenye mjadala kuliibuka hoja jinsi Vyombo vya habari vya nje vinavyoibagaza Africa katika ripoti zake. Kwao kuibagaza Africa ndio maslahi kwao kwa mataifa yao.

Juzi Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe amekatwa na Polisi na tuhuma za kijinai.

CNN wameripoti hivi:

Katika ripoti hiyo, kwanza CNN, hawakutafuta any authoritative source Kutoka nchini Tanzania, zaidi ya kuokoteza habari hiyo kama ilivyoripotiwa na media mbalimbali za ndani.

Kwa vile CNN ni chombo cha kibeberu, hivyo kina agenda ya kubagaza, CNN wakamtafuta Prof. Nic Cheeseman, ni Professor wa Democracy, University of Birmingham, kabla ya hapo, alikuwa Director wa African Studies Centre at Oxford University, ili kuichambua habari hiyo.

Prof. Huyo akatunga uongo wa wazi wa mchana kweupe kuwa Freeman Mbowe, amekamatwa kwa amri ya rais Samia ili ku divert attention ya vuguvugu la katiba na tozo kwenye miamala ya simu!.

Huu sio uongo wa mchana kweupe?. Yaani hata kwa akili ya kawaida tuu, yaani Rais wetu Samia atoe amri ya Kukamatwa kwa Mbowe, kisa ni vuguvugu la mjadala wa katiba mpya na tozo za miamala?!, Watanzania tusijue, aliyemkamata Mbowe, amezungumza na sababu ametoa, CNN badala ya kutafuta the reliable sources, wanatuletea wazushi na kutuletea uzushi!. Ukisikia Ajenda hasi ndio hizi!.

Kwa vile hii ni lugha ya watu, na pia naufahamu uwezo wa wengi wetu kwenye uelewa hizi lugha za watu, hivyo ili kuwasaidia wale wenzangu na mimi, sikiliza kwa makini jibu la swali la pili.
"it is a crackdown, she has launched or pretended to launch all along"

Watanzania Wazalendo lazima tuwe makini sana na Vyombo hivi, unaweza kujikuta unasambaza taarifa ya kuibagaza nchi yako, rais wako na watu wako bila kujijua.

Uzalendo wa kweli ni kutanguliza mbele maslahi ya nchi yako, maslahi ya taifa lako, maslahi ya watu wako.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
Pasikali aisee unawafundisha CNN jinsi ya kuripoti habari?!

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo lingine hata kama mama hakutoa maelezo hayo ni kuwa kila askari anaenda kumkamata mtuhimiwa huyu askari anajitoa ufahamu anasema "sio mimi nimepewa maelekezo ya kukukamata kutoka juu"sasa kauli ya askari kama hii tayari mojakwa moja mlengwa analenga kuwa ni Rais maana huku juu maelezo yanakotoka hawamalizii kusema ni juu kwa nani.
Hili nalo linachangia mama kuhusishwa
 
Huyo profesa ni mjinga mno....

Nchi ina vyombo vya ulinzi na usalama ,yeye alipata habari za ushahidi kutoka wapi kuwa amri hiyo imetoka kwa mh.Rais wetu?!!!

Si kila wanachokiongea kina ukweli....

Miaka yote UFARANSA na wasomi wao wa siasa za kimataifa walikataa kuwa HAWAKUHUSIKA na mauaji ya KIMBARI ya RWANDA mwaka 1994......

#MaslahiYaNchiNiMakubwaKulikoNafsiZetu
#KaziIendelee
Wewe nawe mjinga mbowe kakamatwa kwa amri toka juu sababu CCM hawataki katiba mpya, hawataka siasa za ushindani na wao ndio wanaowatumia vyombo vya usalama kwa maslahi yao je mwenyekiti wao ni nani kama sio raisi
 
Back
Top Bottom