Watanzania tuwe makini na vyombo vya habari vya Kibeberu. CNN wazusha kukamatwa kwa Freeman Mbowe ni amri ya Rais Samia!

Wanabodi,

Wiki iliyopita nilialikwa TBC kwenye kipindi cha Mizani, kinachoendeshwa na Dr. Ayoub Rioba. Mada kwenye kipindi hicho ni "Dhima ya Vyombo vya Habari Kulinda Maslahi ya Taifa".

Kwenye mjadala kuliibuka hoja jinsi Vyombo vya habari vya nje vinavyoibagaza Africa katika ripoti zake. Kwao kuibagaza Africa ndio maslahi kwao kwa mataifa yao.

Juzi Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe amekatwa na Polisi na tuhuma za kijinai.

CNN wameripoti hivi

Katika ripoti hiyo, kwanza CNN, hawakutafuta any authoritative source Kutoka nchini Tanzania, zaidi ya kuokoteza habari hiyo kama ilivyoripotiwa na media mbalimbali za ndani.

Kwa vile CNN ni chombo cha kibeberu, hivyo kina agenda ya kubagaza, CNN wakamtafuta Prof. wa Chuo Kikuu cha Uingereza ili kuichambua habari hiyo.

Prof. Huyo akatunga uongo wa wazi wa mchana kweupe kuwa Freeman Mbowe, amekamatwa kwa amri ya rais Samia ili ku divert attention ya vuguvugu la katiba na tozo kwenye miamala ya simu!.

Huu sio uongo wa mchana kweupe?. Yaani hata kwa akili ya kawaida tuu, yaani Rais wetu Samia atoe amri ya Kukamatwa kwa Mbowe, kisa ni vuguvugu la mjadala wa katiba mpya na tozo za miamala?!, Watanzania tusijue, aliyemkamata Mbowe, amezungumza na sababu ametoa, CNN badala ya kutafuta the reliable sources, wanatuletea wazushi na kutuletea uzushi!. Ukisikia Ajenda hasi ndio hizi!.

Watanzania Wazalendo lazima tuwe makini sana na Vyombo hivi, unaweza kujikuta unasambaza taarifa ya kuibaza nchi yako, rais wako na watu wako bila kujijua.

Uzalendo wa kweli ni kutanguliza mbele maslahi ya nchi yako, maslahi ya taifa lako, maslahi ya watu wako.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
Paskal are you that much hopeless? Madikiteita huwa wanafanyaje, kumbe wewe ni matope kichwani!
 
Tunataka bibi mwenyewe akanushe habari hizi kwamba hahusiki na kukamatwa kwa Mbowee na wengine.
 
Sasa wewe unafikiri ni amri yani! Kwani nani amiri jeshi mkuu? Japo maamiri jeshi wapo wengi ila yule ndo amiri jeshi mkuu.
 
images (1).jpeg
 
Umerudi TISS agent wa social media
 
WACHA ujuha na wewe kauli kutoka juu ni juu ipi policcm wanayoizungumza au ya huko unakokaa.

Ikiwa mtafanya kinyume na katiba na waseme tu na mbinu ya kumpa sumu mnayo.

Jibuni hoja za wapinzani sio kujibu kwa msaada WA mbwaaa WA policcm
 
Wacha ujinga wewe!!! Wewe ndiyo chanzo cha kumchomea Erick Kabendera hadi akakamatwa na kubambikiwa kesi mbaya ya uhujumu uchumi na kuwekwa ndani bila dhamana na hatimaye kusababisha kifo cha mama yake. Kujipendekeza kwako ili upewe teuzi kuwe na mipaka na siyo kusababisha Watanzania wengine wabambikiwe kesi.

Wanabodi,

Wiki iliyopita nilialikwa TBC kwenye kipindi cha Mizani, kinachoendeshwa na Dr. Ayoub Rioba. Mada kwenye kipindi hicho ni "Dhima ya Vyombo vya Habari Kulinda Maslahi ya Taifa".

Kwenye mjadala kuliibuka hoja jinsi Vyombo vya habari vya nje vinavyoibagaza Africa katika ripoti zake. Kwao kuibagaza Africa ndio maslahi kwao kwa mataifa yao.

Juzi Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe amekatwa na Polisi na tuhuma za kijinai.

CNN wameripoti hivi

Katika ripoti hiyo, kwanza CNN, hawakutafuta any authoritative source Kutoka nchini Tanzania, zaidi ya kuokoteza habari hiyo kama ilivyoripotiwa na media mbalimbali za ndani.

Kwa vile CNN ni chombo cha kibeberu, hivyo kina agenda ya kubagaza, CNN wakamtafuta Prof. wa Chuo Kikuu cha Uingereza ili kuichambua habari hiyo.

Prof. Huyo akatunga uongo wa wazi wa mchana kweupe kuwa Freeman Mbowe, amekamatwa kwa amri ya rais Samia ili ku divert attention ya vuguvugu la katiba na tozo kwenye miamala ya simu!.

Huu sio uongo wa mchana kweupe?. Yaani hata kwa akili ya kawaida tuu, yaani Rais wetu Samia atoe amri ya Kukamatwa kwa Mbowe, kisa ni vuguvugu la mjadala wa katiba mpya na tozo za miamala?!, Watanzania tusijue, aliyemkamata Mbowe, amezungumza na sababu ametoa, CNN badala ya kutafuta the reliable sources, wanatuletea wazushi na kutuletea uzushi!. Ukisikia Ajenda hasi ndio hizi!.

Watanzania Wazalendo lazima tuwe makini sana na Vyombo hivi, unaweza kujikuta unasambaza taarifa ya kuibaza nchi yako, rais wako na watu wako bila kujijua.

Uzalendo wa kweli ni kutanguliza mbele maslahi ya nchi yako, maslahi ya taifa lako, maslahi ya watu wako.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
 
Pascal Mayalla tangu umzushie uwongo Erick Kabendera kuwa anaiponda awamu ya tano na kumsababishia mateso makubwa Sina imani na wewe.

Unapata wapi ujasiri wa kumtetea Samia ktk uovu huu anaomtendea Mbowe??

Unataka nn ktk uzandiki huu unaoufanya Samia? Ni uteuzi tu ama kuna kitu kingine unataka ??
 
Ningekuwa mi ndio Rais hivyo vyombo vya habari vya kipuuzi ni kuwabana walete ushahidi wakishindwa vifungiwe milele kurusha matangazo yake tz,ving'olewe kwenye visimbuzi vyote
 
Wanabodi,

Wiki iliyopita nilialikwa TBC kwenye kipindi cha Mizani, kinachoendeshwa na Dr. Ayoub Rioba. Mada kwenye kipindi hicho ni "Dhima ya Vyombo vya Habari Kulinda Maslahi ya Taifa".

Kwenye mjadala kuliibuka hoja jinsi Vyombo vya habari vya nje vinavyoibagaza Africa katika ripoti zake. Kwao kuibagaza Africa ndio maslahi kwao kwa mataifa yao.

Juzi Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe amekatwa na Polisi na tuhuma za kijinai.

CNN wameripoti hivi

Katika ripoti hiyo, kwanza CNN, hawakutafuta any authoritative source Kutoka nchini Tanzania, zaidi ya kuokoteza habari hiyo kama ilivyoripotiwa na media mbalimbali za ndani.

Kwa vile CNN ni chombo cha kibeberu, hivyo kina agenda ya kubagaza, CNN wakamtafuta Prof. wa Chuo Kikuu cha Uingereza ili kuichambua habari hiyo.

Prof. Huyo akatunga uongo wa wazi wa mchana kweupe kuwa Freeman Mbowe, amekamatwa kwa amri ya rais Samia ili ku divert attention ya vuguvugu la katiba na tozo kwenye miamala ya simu!.

Huu sio uongo wa mchana kweupe?. Yaani hata kwa akili ya kawaida tuu, yaani Rais wetu Samia atoe amri ya Kukamatwa kwa Mbowe, kisa ni vuguvugu la mjadala wa katiba mpya na tozo za miamala?!, Watanzania tusijue, aliyemkamata Mbowe, amezungumza na sababu ametoa, CNN badala ya kutafuta the reliable sources, wanatuletea wazushi na kutuletea uzushi!. Ukisikia Ajenda hasi ndio hizi!.

Watanzania Wazalendo lazima tuwe makini sana na Vyombo hivi, unaweza kujikuta unasambaza taarifa ya kuibaza nchi yako, rais wako na watu wako bila kujijua.

Uzalendo wa kweli ni kutanguliza mbele maslahi ya nchi yako, maslahi ya taifa lako, maslahi ya watu wako.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
Ndiyo maana huupati uteuzi unapigwa na laana ya kufurahia wapinzani wanapoonewa.

Nakwambia haha kama samia atakuteua hutopata raha nafsi mwako kwakuwa utakuwa umepata cheo kwa kuwatoa wapinzani kafara

Wanasema CNN no kweli,kitendo km hiki hakiwezi fanywa na polisi kwa nguvu kubwa kiasi hiki bila kuagizwa a
 
Watanzania Wazalendo lazima tuwe makini sana na Vyombo hivi, unaweza kujikuta unasambaza taarifa ya kuibaza nchi yako, rais wako na watu wako bila kujijua
Pascal unazeeka vibaya sana! Nimesikiliza vizuri sana hakuna kitu kama hicho. Acha kuzusha uongo, haikusaidii kitu. Uzalendo mnnaujua nyie tu CCM?
 
Wanabodi,

Wiki iliyopita nilialikwa TBC kwenye kipindi cha Mizani, kinachoendeshwa na Dr. Ayoub Rioba. Mada kwenye kipindi hicho ni "Dhima ya Vyombo vya Habari Kulinda Maslahi ya Taifa".

Kwenye mjadala kuliibuka hoja jinsi Vyombo vya habari vya nje vinavyoibagaza Africa katika ripoti zake. Kwao kuibagaza Africa ndio maslahi kwao kwa mataifa yao.

Juzi Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe amekatwa na Polisi na tuhuma za kijinai.

CNN wameripoti hivi

Katika ripoti hiyo, kwanza CNN, hawakutafuta any authoritative source Kutoka nchini Tanzania, zaidi ya kuokoteza habari hiyo kama ilivyoripotiwa na media mbalimbali za ndani.

Kwa vile CNN ni chombo cha kibeberu, hivyo kina agenda ya kubagaza, CNN wakamtafuta Prof. Nic Cheeseman, ni Professor wa Democracy, University of Birmingham, kabla ya hapo, alikuwa Director wa African Studies Centre at Oxford University, ili kuichambua habari hiyo.

Prof. Huyo akatunga uongo wa wazi wa mchana kweupe kuwa Freeman Mbowe, amekamatwa kwa amri ya rais Samia ili ku divert attention ya vuguvugu la katiba na tozo kwenye miamala ya simu!.

Huu sio uongo wa mchana kweupe?. Yaani hata kwa akili ya kawaida tuu, yaani Rais wetu Samia atoe amri ya Kukamatwa kwa Mbowe, kisa ni vuguvugu la mjadala wa katiba mpya na tozo za miamala?!, Watanzania tusijue, aliyemkamata Mbowe, amezungumza na sababu ametoa, CNN badala ya kutafuta the reliable sources, wanatuletea wazushi na kutuletea uzushi!. Ukisikia Ajenda hasi ndio hizi!.

Watanzania Wazalendo lazima tuwe makini sana na Vyombo hivi, unaweza kujikuta unasambaza taarifa ya kuibaza nchi yako, rais wako na watu wako bila kujijua.

Uzalendo wa kweli ni kutanguliza mbele maslahi ya nchi yako, maslahi ya taifa lako, maslahi ya watu wako.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
RPC wa Mwanza ndiye kasema amri ya kuwakamata imetoka kwa Rais
 
Unasema kweli ?! Mmmh weh haya!

Amiri Jeshi Mkuu ni Nani?
Tupe majibu
Mmeboronga hatari
Mtalipa hizi dhuluma siku moja

Amelaaniwa mtu yule amtegeaye mwanadamu, Amebarikiwa mtu yule Amtegemeaye Yehova

Yatafakari sana haya maandiko..
Mbowe ni Mtz kama wewe
Ana haki zotekama wewe
Ukuu wa ulimwengu usikufanye ukashupaza shingo
 
Pamoja na kumwunga mkono Mh.Madam President kwa asilimia mia lakini ndugu yetu P.Mayalla inabidi aelemishwe.Kwanza hakuna TENA mabeberu katika dunia hii ya leo.Pili aidha hakusikiliza vizuri mahojiano ya CNN kuhusu kukamatwa kwa Mwenyekiti Mbowe au Lugha imempiga chenga.Katika yote yule professor hakumshutuma madam President Samia bali alizungumzia sana kuhusu utamaduni uliopo katika nchi za kusini mwa jangwa la sahara kwa vyama kama CCM kutopenda upinzani na kutumia neno Ugaidi ili dunia iwasapoti.siwezi kutafsiri yote ila nitamtafuta Mayalla na kumpa tafsiri sahihi ya aliyeuliza na aliyejibu.Jamani kama umekosa cheo bora unyamaze,ujishughulishe na mambo yako ya kupata rizki.Pole sana Mr Mayalla.Keep it up Madam President.Tupo nawe daima.
 
Back
Top Bottom