Watanzania tuwe makini sana na watu kama Dkt. Diallo. Ni watu wa maslahi zaidi

Aise!!! Kusafirisha mizigo kwa njia ya barabara kutumia Malori ni gharama maradufu ya kutumia SGR inayotumia umeme. Kwa kutumia SGR unasafirisha mizigo mingi kwa wakati mmoja, unatumia muda mfupi na uhakika kuhusu usalama wa mizigo. Gharama za mafuta ni kubwa na zinabadikika kila wakati ukilinganisha na gharama za umeme ambazo zitashuka baada ya ujenzi wa Bwawa la Rufiji.

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Na mikoa isiyo na SGR je
 
Inawezekana kwa kuwa tuna ugomvi na chuki na Magufuli kila ambaye atakuja msema vibaya tutamwona ni shujaa. Lakini tujiulize "Dr. Diallo alikwii?"

Je Dr. Diallo kweli ana moral authority ya kumsema vibaya Magufuli? Huyu Diallo ukiangalia anacholalamika si kwamba watanzania wamefanyiwa hivi au vile. analalamika kwa kuwa kampuni zake zilitakiwa kulipa kodi ambayo zilikuwa hazilipi.

Hiyo ndiyo chuki yake. Analalamika kwa kuwa alimpigia Kampeni Magufuli lakini hakuja pewa Upendeleo. Utaona ni mbinafsi mwanzo mwisho.

Lakini alikuwa wapi? "Alikwii?" Hawa wanafiki wasiwaaimbishe mapambio mapya kipindi hiki wakitengeneza mazingira ya kukumbukwa na rais aliyepo. Ni wanafiki tu hawa.

View attachment 1850089
JIWE alikuwa analazimisha kila kitu na kama ukimpinga anakuchana hadharani.

Pascal Mayalla alimuuliza swali akaambiwa ana njaa.
Mtu aliyekuwa anasikiliza simu za kina Jojo na marafiki zake wa jinsia tofauti ili kupeana furaha, mtu mwenye majukumu kweli unaweza ukahangaika na vitu vidogo tena privacy za watu wanaosheherekea raha ya tunda?
 
Watu kama diallo kila awamu hua wapo hata kipindi cha nyerere watu kama hao walikuwepo lakini hawakutosha kuifuta legacy ya mwalimu ambayo mpaka Leo tunaisoma.
 
Msihangaike na Diallo, alichosema kiwafikirishe. Tatizo ni kwake Diallo kutosema hayo ndani ya vikao vya chama chake.
Inawezekana kwa kuwa tuna ugomvi na chuki na Magufuli kila ambaye atakuja msema vibaya tutamwona ni shujaa. Lakini tujiulize "Dr. Diallo alikwii?"

Je Dr. Diallo kweli ana moral authority ya kumsema vibaya Magufuli? Huyu Diallo ukiangalia anacholalamika si kwamba watanzania wamefanyiwa hivi au vile. analalamika kwa kuwa kampuni zake zilitakiwa kulipa kodi ambayo zilikuwa hazilipi.

Hiyo ndiyo chuki yake. Analalamika kwa kuwa alimpigia Kampeni Magufuli lakini hakuja pewa Upendeleo. Utaona ni mbinafsi mwanzo mwisho.

Lakini alikuwa wapi? "Alikwii?" Hawa wanafiki wasiwaaimbishe mapambio mapya kipindi hiki wakitengeneza mazingira ya kukumbukwa na rais aliyepo. Ni wanafiki tu hawa.

View attachment 1850089
 
Inawezekana kwa kuwa tuna ugomvi na chuki na Magufuli kila ambaye atakuja msema vibaya tutamwona ni shujaa. Lakini tujiulize "Dr. Diallo alikwii?"

Je Dr. Diallo kweli ana moral authority ya kumsema vibaya Magufuli? Huyu Diallo ukiangalia anacholalamika si kwamba watanzania wamefanyiwa hivi au vile. analalamika kwa kuwa kampuni zake zilitakiwa kulipa kodi ambayo zilikuwa hazilipi.

Hiyo ndiyo chuki yake. Analalamika kwa kuwa alimpigia Kampeni Magufuli lakini hakuja pewa Upendeleo. Utaona ni mbinafsi mwanzo mwisho.

Lakini alikuwa wapi? "Alikwii?" Hawa wanafiki wasiwaaimbishe mapambio mapya kipindi hiki wakitengeneza mazingira ya kukumbukwa na rais aliyepo. Ni wanafiki tu hawa.

View attachment 1850089
Naomba kukuuliza swali, ikitokea mkatoliki aliyekuwa anakula kitimoto na kusema kitimoto ni haramu, waislam watakataa kwa kuwa tu aliyesema mwanzoni alikuwa anakula kitimoto?
 
Back
Top Bottom