Na mikoa isiyo na SGR jeAise!!! Kusafirisha mizigo kwa njia ya barabara kutumia Malori ni gharama maradufu ya kutumia SGR inayotumia umeme. Kwa kutumia SGR unasafirisha mizigo mingi kwa wakati mmoja, unatumia muda mfupi na uhakika kuhusu usalama wa mizigo. Gharama za mafuta ni kubwa na zinabadikika kila wakati ukilinganisha na gharama za umeme ambazo zitashuka baada ya ujenzi wa Bwawa la Rufiji.
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Haya mambo ya kususia bongo yanafurahisha, wale waliyopanga kususia Vodacom sijui waliishia wapi.
JIWE alikuwa analazimisha kila kitu na kama ukimpinga anakuchana hadharani.Inawezekana kwa kuwa tuna ugomvi na chuki na Magufuli kila ambaye atakuja msema vibaya tutamwona ni shujaa. Lakini tujiulize "Dr. Diallo alikwii?"
Je Dr. Diallo kweli ana moral authority ya kumsema vibaya Magufuli? Huyu Diallo ukiangalia anacholalamika si kwamba watanzania wamefanyiwa hivi au vile. analalamika kwa kuwa kampuni zake zilitakiwa kulipa kodi ambayo zilikuwa hazilipi.
Hiyo ndiyo chuki yake. Analalamika kwa kuwa alimpigia Kampeni Magufuli lakini hakuja pewa Upendeleo. Utaona ni mbinafsi mwanzo mwisho.
Lakini alikuwa wapi? "Alikwii?" Hawa wanafiki wasiwaaimbishe mapambio mapya kipindi hiki wakitengeneza mazingira ya kukumbukwa na rais aliyepo. Ni wanafiki tu hawa.
View attachment 1850089
Inawezekana kwa kuwa tuna ugomvi na chuki na Magufuli kila ambaye atakuja msema vibaya tutamwona ni shujaa. Lakini tujiulize "Dr. Diallo alikwii?"
Je Dr. Diallo kweli ana moral authority ya kumsema vibaya Magufuli? Huyu Diallo ukiangalia anacholalamika si kwamba watanzania wamefanyiwa hivi au vile. analalamika kwa kuwa kampuni zake zilitakiwa kulipa kodi ambayo zilikuwa hazilipi.
Hiyo ndiyo chuki yake. Analalamika kwa kuwa alimpigia Kampeni Magufuli lakini hakuja pewa Upendeleo. Utaona ni mbinafsi mwanzo mwisho.
Lakini alikuwa wapi? "Alikwii?" Hawa wanafiki wasiwaaimbishe mapambio mapya kipindi hiki wakitengeneza mazingira ya kukumbukwa na rais aliyepo. Ni wanafiki tu hawa.
View attachment 1850089
Naomba kukuuliza swali, ikitokea mkatoliki aliyekuwa anakula kitimoto na kusema kitimoto ni haramu, waislam watakataa kwa kuwa tu aliyesema mwanzoni alikuwa anakula kitimoto?Inawezekana kwa kuwa tuna ugomvi na chuki na Magufuli kila ambaye atakuja msema vibaya tutamwona ni shujaa. Lakini tujiulize "Dr. Diallo alikwii?"
Je Dr. Diallo kweli ana moral authority ya kumsema vibaya Magufuli? Huyu Diallo ukiangalia anacholalamika si kwamba watanzania wamefanyiwa hivi au vile. analalamika kwa kuwa kampuni zake zilitakiwa kulipa kodi ambayo zilikuwa hazilipi.
Hiyo ndiyo chuki yake. Analalamika kwa kuwa alimpigia Kampeni Magufuli lakini hakuja pewa Upendeleo. Utaona ni mbinafsi mwanzo mwisho.
Lakini alikuwa wapi? "Alikwii?" Hawa wanafiki wasiwaaimbishe mapambio mapya kipindi hiki wakitengeneza mazingira ya kukumbukwa na rais aliyepo. Ni wanafiki tu hawa.
View attachment 1850089
Hili ndezi litaweza kujitetea ?musiba wana mpandisha Leo kwa pilato
Ata towa macho kama mjusi kabanwa kwenye mlangoHili ndezi litaweza kujitetea ?
Mnashindana Uumbaji amtaweza kamwe.ile miaka mliotaka kumuongezea marehemu hamuongezi tena?MAMA ANAUPIGA MWINGI SANA....