Watanzania tuwe na huruma, tuwasamehe Bongo Movie.

Watanzania tuwe na huruma, tuwasamehe Bongo Movie.

Kuna watu wanaroho ngum sana....
26785038380d17a1f26fb2bac45bf5ee.jpg


Tuungane kupenda vya kwetu.
 
Kwa upuuzi waliofanya hamna msamaha ni mwendo wa Single touch, double manifestation😀
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hatariiiii tushafika kwenye kuwafanyia double manifestation why so fast tutawapoteza hawa bongo movie I must say wabongo ni shida.
 
tangu nimeanza kufatilia maada mbalimbali katika mitandao ya kijamii lzm utakuta kila maada itaangukia katika mchuano kati ya ccm na wasio ccm. lkn hili la bongo movie kwa Mara yakwanza kabisa watanzania wameungana kuwaponda bongo movie. huu umoja tuliouonyesha katika hili pia tungeungana katika kumkataa Makonda, bunge live, sukari nk. nchi ndani ya miaka mita hakika ingekuwa ya vi-wonder kweli.
 
tangu nimeanza kufatilia maada mbalimbali katika mitandao ya kijamii lzm utakuta kila maada itaangukia katika mchuano kati ya ccm na wasio ccm. lkn hili la bongo movie kwa Mara yakwanza kabisa watanzania wameungana kuwaponda bongo movie. huu umoja tuliouonyesha katika hili pia tungeungana katika kumkataa Makonda, bunge live, sukari nk. nchi ndani ya miaka mita hakika ingekuwa ya vi-wonder kweli.
Wanaowakataa wengi ni kwa sab ya makonda kujihusisha kwake lkn sio maudhui ya issue yenyewe wengi wao hawajui bongo movie wanataka nini bali wanazushiwa kuwa wamezuia movie za nje.
 
Mkuu, hawa watatughalimu sana baadae tukiwasamehe, unajua hata kwa hili tatizo la ombwe la uongozi tulilonalo na wao wamechangia sana kisa tu zile mia miambili za kampeni.
 
Kwahiyo unapenda wao walipe kodi lkn wauza cd za nje wasilipe wakati soko lao ni moja?
Kwahiyo njia sahihi ilikua ni kuwalazimisha kulipa kodi au kuwazuia kuuza?.ukweli ni kwamba kwa dunia ya kileo kuna vitu ambavyo kuvizuia haiwezekani hataka kidogo.
 
Wamefanya makosa gani? Wengi wao kuwa upande wa ccm ni kosa? Kulalamika kuibiwa kwa kazi zao through piracy ni kosa? Kuilalamikia serikali iweke uwanja sawa wa soko baina yao na wauza cd za nje kwa kulipa kodi sawia hilo nalo ni kosa?
Ndio. Ni makosa makubwa sana.
 
Binafsi Bongo Movie nimeshawasamehe baada ya kuona wameanza kuingia location kwa motisha na hamasa kubwa. Tutarajie mambo mazuri.
 
Na bado. Wakizuiya CD za mbele kuuzwa sisi tuta download tuu.
Say NO to Bongo movies.
 
Msamaha wa nini nawe acha uzandiki bana...hakuna anayehitaji msamaha kwa yeyote kwa chochote.

Vita inayoendelea sasa kwa sehemu kubwa ni ya ujinga wa kisiasa....kama wanavyolaumiwa wao (Wasanii) kuchanganya sanaa na siasa basi hata hawa wanaolaumu wote ni wale wanaochukua mambo kwa mtazamo huo huo wa kisiasa.

Sanaa siku zote itabaki kuwa sanaa, na jamii iliihitaji, inaihitaji na itaendelea kuihitaji sanaa...kinachowasibu Bongo muvi ni kushindwa kuwapa walaji kile wanachotarajia na kuanguka kwa soko kungekuwepo tu hata kama kusingekuwa na huu upuuzi wa kisiasa unaendelea sasa...Wapinzani wana take tu advantage na kupenyeza mambo yao.

Kuna wasanii wengi tu hawajihusishi na siasa, ni unafuu gani wanaupata kutoka kwa hao watukanaji? hakuna...na jibu ni rahisi tu kuwa hawana uwezo wa kubadilisha chochote zaidi ya kubwabwaja huku mitandaoni...wakuleta mabidiliko ni Wanatasnia wenyewe.

Mfano mzuri ni Diamond pamoja na kushirikishwa na mambo ya kisiasa bado mashabiki wake wametenganisha siasa na sanaa kwa sababu 'njaa' ya sanaa na siasa ni mbali mbali...wenye mambo yenu mtatukana na inapokuja swala la burudani watu wanatulia wanapata burudani.

Bongo muvi hawahitaji kumuomba yeyote msamaha, ila wakifikia kutengeneza kazi zitakazompa mtu thamani ya pesa na muda wake kuangalia mambo yatarekebishika tu....sanaa haifi, bali husinzia na ikiamshwa huamka.

Bongo muvi ni sawa tu na Bongo fleva...kama bongo fleva hawauzi CD/albam za muziki wao kutokana na soko duni ni vivo hivyo ilivyoathirika bongo muvi.

Bongo muvi waondokane na ujinga wa kuendesha tasnia ya filamu kimazoea...wanahitaji mikakati mipya na ya kiweledi kufanya kazi zao na kuyafikia masoko, ni ujinga kudhani kuwa wanaweza kurudisha enzi zile za kuuza DVD madukani ili hali hata tekinolojia imebadilika sana ndani ya miaka kumi hii, Wenzao kwenye muziki kuna mkito, afro premier, wcb.com n.k...wao bongo muvi wamebaki kung'ang'ania kuuza CD wakati mashabiki ni hao hao...wapo usingizini wanasubiri tu kukurupushwa na wenye maslahi yao ya kisiasa.

Pia bongo muvi iache kuendeshwa na Wasanii....kila kitu ukisikia kuhusu filamu kinaratibiwa na kusimamiwa na Wasanii..Wasanii wao ni nani? Wasanii ni sehemu moja tu ya tasnia ya filamu...filamu ina Waandishi, Wapiga picha (cinematographer), Wazalishaji n.k......hawa wako wapi? ni kwa nini Wasanii wanatarajia miujiza ambayo haipo? Wasanii huajiriwa (hired) na Wazalishaji (Producers), kama anavyoajiriwa Muongozaji, Mpiga picha n.k...Msanii sio wa kusimamia uzalishaji (production) wa filamu.

Wasanii hawa ndio walioifikisha hii tasnia hapa ilipo..enzi za Marehemu Kanumba sina shaka kulikuwa na mzunguko wa mabilioni ya fedha kutokana na kazi za filamu...hivi Kanumba kweli alishindwa kuuza walau kopi laki moja, kwa uchache? ukipiga hesabu ni shilingi ngapi zilitengenezwa hapa?

Lakini kwa uroho na kutoona mbali kwa Wasanii wetu hawa walitengeneza umoja na Wasambazaji, wakajifungia kwenye boksi lao na kuanza kufanya mambo ambayo hayapo.....kama vile, muvi moja kila mwezi, muvi lazima iwe pati one na two, muvi lazima iwe na star wa Dar n.k....kinachotokea kwa sasa ndio majibu muafaka ya ujinga waliokuwa wanaufanya.

Mabilioni waliyotengeneza wakati ule yangewekezwa kuandaa mustakabali imara wa tasnia yao, kama kusaka vijana wa kutosha wakasome kupiga picha (cinematograph), kuandika miswada n.k....lakini wapi, wao walitumbua tu mapato yao bila kuangalia mbele...wakamfuatisha mdosi wakati yeye ana mabiashara mbadala kibao na wamemtajirisha kwa uzembe wao wenyewe.
 
Matakataka ya bongo movie na bashite wao...
Wapeleke kolomije na chattle...
 
Habari ya wakati huu wakuu.

Sisi watanzania tunafahamika kwa ukarimu na roho nzuri, upendo na kusaidiana, tabia ambayo mwalimu alitufundisha.

Lakini pia sisi ni watu wabaya sana kama mtu atatuudhi, kwa jinsi watanzania mlivyowawakia bongo muvie ni dhahiri kua hao watu wametukwaza sana.

Bongo movie watuudhi na kutughadhabisha sana, katika mitandao yote inayofahamika hapa nchini na blogs naona ni kuwashambulia wasanii wa bongo movie.

Mimi niwaombe ndugu zangu, hawa ni ndugu na jamaa zetu, ni wanetu na wazazi wetu, kama ni watu wenye akili saaa watajirekebisha kwa jinsi walivyosakamwa iwa kazi yao mbovu na kujiingiza katika vita isiyowahusu ya kurubuniwa na DAB mtu ambae amekosa ile wataalam wanaita "moral authority" ya kukemea au kuelekeza lolote liwe baya au zuri kutokan na kukosa kuaminika.

Niombe, hawa watu kama wana akili watajirudi, najua wametambua makosa yao, naomba tuwasamehe tuwape nafasi nyingine vinginevyo tutawaua kwa msongo wa mawazo na msukumo mkubwa wa damu.

Imetosha, tumewasema vya kutosha, kila mahali ukifungua watu wanaponda tu hawa bongo movie, tuwahurumie ndugu zangu, wao pia ni watu wanafanya makosa kama sisi sote tunavyofanya makosa.

Ni hayo tu ndugu zangu.

Kushikamana na mtu anaeitwa bashite ni kosa lisilo sameheka

Afe beki afe Kipa
 
Sio kila kitu ambacho ni haki yako kikatiba n kisheria basi unaweza kukidai tu, wakati mwingine unatumia akili na busara.

Viongozi wa dini wana haki kisheria na kikatiba kujihusisha na siasa, ila wanashauriwa kutumia akili na busara ili wasiwagawe waumini wao.

Tatizo sio sheria au haki kikatiba, tatizo ni kutotumia akili na busara kulingana na mazingira na wakati.
Hii ni point kubwa sana, mengine yote tutasema lakini ukweli ni huu
 
Unaamini kuwa wasanii wanaweza kuzuia wengine wasiuze cd? Wana mandate gani ya kufanya hivyo? Hata makonda hana mandate hiyo.
najua umetumwa uje kuwatetea...Lakini msimamo unabaki palepale..mpaka wajirekebishe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bashite mwaka huu huu atabadili kila aina ya stlye watu wamkubali ila wabongo wamegoma yaani movie ya kitanzania niliyoitazama ni ya siri ya mtungi tu zingine hata uliniuliza sijui hata hao maact ushuzi wenu
 
Back
Top Bottom