[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hatariiiii tushafika kwenye kuwafanyia double manifestation why so fast tutawapoteza hawa bongo movie I must say wabongo ni shida.Kwa upuuzi waliofanya hamna msamaha ni mwendo wa Single touch, double manifestation😀
Wanaowakataa wengi ni kwa sab ya makonda kujihusisha kwake lkn sio maudhui ya issue yenyewe wengi wao hawajui bongo movie wanataka nini bali wanazushiwa kuwa wamezuia movie za nje.tangu nimeanza kufatilia maada mbalimbali katika mitandao ya kijamii lzm utakuta kila maada itaangukia katika mchuano kati ya ccm na wasio ccm. lkn hili la bongo movie kwa Mara yakwanza kabisa watanzania wameungana kuwaponda bongo movie. huu umoja tuliouonyesha katika hili pia tungeungana katika kumkataa Makonda, bunge live, sukari nk. nchi ndani ya miaka mita hakika ingekuwa ya vi-wonder kweli.
Kwahiyo njia sahihi ilikua ni kuwalazimisha kulipa kodi au kuwazuia kuuza?.ukweli ni kwamba kwa dunia ya kileo kuna vitu ambavyo kuvizuia haiwezekani hataka kidogo.Kwahiyo unapenda wao walipe kodi lkn wauza cd za nje wasilipe wakati soko lao ni moja?
Kwa kurubuniwa na DAB kuandamana!Kwa kosa gn
Ndio. Ni makosa makubwa sana.Wamefanya makosa gani? Wengi wao kuwa upande wa ccm ni kosa? Kulalamika kuibiwa kwa kazi zao through piracy ni kosa? Kuilalamikia serikali iweke uwanja sawa wa soko baina yao na wauza cd za nje kwa kulipa kodi sawia hilo nalo ni kosa?
Habari ya wakati huu wakuu.
Sisi watanzania tunafahamika kwa ukarimu na roho nzuri, upendo na kusaidiana, tabia ambayo mwalimu alitufundisha.
Lakini pia sisi ni watu wabaya sana kama mtu atatuudhi, kwa jinsi watanzania mlivyowawakia bongo muvie ni dhahiri kua hao watu wametukwaza sana.
Bongo movie watuudhi na kutughadhabisha sana, katika mitandao yote inayofahamika hapa nchini na blogs naona ni kuwashambulia wasanii wa bongo movie.
Mimi niwaombe ndugu zangu, hawa ni ndugu na jamaa zetu, ni wanetu na wazazi wetu, kama ni watu wenye akili saaa watajirekebisha kwa jinsi walivyosakamwa iwa kazi yao mbovu na kujiingiza katika vita isiyowahusu ya kurubuniwa na DAB mtu ambae amekosa ile wataalam wanaita "moral authority" ya kukemea au kuelekeza lolote liwe baya au zuri kutokan na kukosa kuaminika.
Niombe, hawa watu kama wana akili watajirudi, najua wametambua makosa yao, naomba tuwasamehe tuwape nafasi nyingine vinginevyo tutawaua kwa msongo wa mawazo na msukumo mkubwa wa damu.
Imetosha, tumewasema vya kutosha, kila mahali ukifungua watu wanaponda tu hawa bongo movie, tuwahurumie ndugu zangu, wao pia ni watu wanafanya makosa kama sisi sote tunavyofanya makosa.
Ni hayo tu ndugu zangu.
Hii ni point kubwa sana, mengine yote tutasema lakini ukweli ni huuSio kila kitu ambacho ni haki yako kikatiba n kisheria basi unaweza kukidai tu, wakati mwingine unatumia akili na busara.
Viongozi wa dini wana haki kisheria na kikatiba kujihusisha na siasa, ila wanashauriwa kutumia akili na busara ili wasiwagawe waumini wao.
Tatizo sio sheria au haki kikatiba, tatizo ni kutotumia akili na busara kulingana na mazingira na wakati.
najua umetumwa uje kuwatetea...Lakini msimamo unabaki palepale..mpaka wajirekebisheUnaamini kuwa wasanii wanaweza kuzuia wengine wasiuze cd? Wana mandate gani ya kufanya hivyo? Hata makonda hana mandate hiyo.
Mkuu unazijua technical za biashara lakini?Kuna kosa gani kujiusisha kwenye siasa wakati ni haki yao kikatiba?