Watanzania tuwe na huruma, tuwasamehe Bongo Movie.

Wajinga hao,,kama jana nlikuwa naskiliza kipnd flan hivi anaulizwa et wanataka haki sawa..alivoulizwa haki gan akasema eti wao wanauza bei ya juu move zao kwahy wanataka nahizo move za njee ziuzwe bei sawa,,,sasa nkajiukiza ztauzwa vip bei sawa wakat wao wanauza bei juu alafu move zenyewe mbovu???tutaendelea kuangalia move za njee mwanzo mwisho nawakisema sijui wafungie kutokuingizwa,,tutazipakua tuuu
 
Kosa lao ni kutaka wote walipe kodi sawa au makonda kuwasaidia wasanii wa mkoa wake kwa kuimplement maagizo ya nape na mwakyembe?
Basi zile t shirt wangeweka jina la Mwakyemba au Napd
 
Yaani mimi kuliko niangalie bongo muvi ata kama watazuiaa series niko radh nisome stry za akina quuen monica na wengineo maana zinafundisha isitoshe zinaendana na ukweli ukizingatia tanzania ya sas sio ile ya janaaa,,,mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Naona we kila atakacho anzisha makonde unasaport tu,ka vile huna akili a kupembua mambo,naomba mungu akupe utasa ili usije ukatuletea watu kama wewe,ka unasema tuwaonee huruma bongo movie,wao mbona hawawaonei huruma wenzao kwendaaaaaaa,tuna taka kitu bora siyo huruma
 
Kwel mkuuu huy atkuw bshteee
 
Waende kwa Bashite akanunue kazi zao au pale CCM Lumumba wakamwone Kinana awape posho ya kujikimu, sisi watanzania hatutaki tena kuziona movies zao wala kuwaona, tumechoka upuuzi wao.
 
Mkuu, hawa watatughalimu sana baadae tukiwasamehe, unajua hata kwa hili tatizo la ombwe la uongozi tulilonalo na wao wamechangia sana kisa tu zile mia miambili za kampeni.
Wasanii wa filamu na maigizo nchini ni zaidi ya m2 je wote hao walishiriki kampeni?
 
Kwahiyo njia sahihi ilikua ni kuwalazimisha kulipa kodi au kuwazuia kuuza?.ukweli ni kwamba kwa dunia ya kileo kuna vitu ambavyo kuvizuia haiwezekani hataka kidogo.
Hawajazuiwa kuuza bali walipewa muda wawe wamekamilisha taratibu zote na hata juzi walivyofunga muda ulikuwa haujaisha bali walifunga kama sehemu ya mgomo baada ya kuona kuwa hawawezi au hawataki kulipa kodi. Lkn wanafungua kama kawaida na kuuza mpk muda utakapofika.
 
Mimi hata ukinipa CD za bure za bongo muvi siwezi kuzipokea...Maana naangalia hadi naona aibu mwenyewe..
 
We ni ray au JB?
 
Wamefanya makosa gani? Wengi wao kuwa upande wa ccm ni kosa? Kulalamika kuibiwa kwa kazi zao through piracy ni kosa? Kuilalamikia serikali iweke uwanja sawa wa soko baina yao na wauza cd za nje kwa kulipa kodi sawia hilo nalo ni kosa?
Hawajaibiwa kazi zao through piracy...hivi unaelewa ulichoandika kweli
 
Hawajaibiwa kazi zao through piracy...hivi unaelewa ulichoandika kweli
Wamelalamikia piracy tokea enzi za kanumba wameonekana kushinda kwa kiasi cha asilimia 90 wale wenye mitambo baada ya kubanwa sasa wanatengeneza piracy za nje na kuziuza bila kodi hivyo KUFANYA biashara kuwa ya upendeleo yaani mwingine analipa mwingine halipi kodi wakati soko na bidhaa ni moja. Je waona sahihi kwa muono wako?
 
Mkuu unawazungumzia bongo movie wa hao wa tawi laCCM na bashite au? Hao watakula walikopeleka mboga wataungishwa movie zao na bashite na ccm over[emoji57][emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…