Watanzania tuwe na huruma, tuwasamehe Bongo Movie.

Wamefanya makosa gani? Wengi wao kuwa upande wa ccm ni kosa? Kulalamika kuibiwa kwa kazi zao through piracy ni kosa? Kuilalamikia serikali iweke uwanja sawa wa soko baina yao na wauza cd za nje kwa kulipa kodi sawia hilo nalo ni kosa?
Tulia sindano ziwaingie najua mpo wengi sana humu na bashite wenu kawalisha matango pori
 
Bongo movie ni watanzania wenzetu wanatoka katika jamii zetu. Uovyo wa bongo muvi ni dhahiri jamii yetu ina matatizo. Kuna watu wanawatuhumu bongo muvi kujihusiha na siasa ndio kunawaporosha, haya na mawazo funyi, Manji, Ridhiwani, Mwigulu ni Ccm mbona watu hawaichukii yanga na simba, vyombo vya habari vingi vinamilikiwa na makada wa vyama ila hakuna wanao vichukia. Kwa hiyo jamii ya kitanzania miongoni mwao wana mihemko.
 
Hakuna itakayemuingia sindano wakati mwisho wa mwz huu asiyelipa kodi hatouza CD za nje.
Tuna download ni mwendo wa vifurushi tu pole kumbe bado upo zama za mawe unatumia CD [emoji23][emoji23][emoji23]fakeni
 
Tuna download ni mwendo wa vifurushi tu pole kumbe bado upo zama za mawe unatumia CD [emoji23][emoji23][emoji23]fakeni
Haujakatazwa kuangalia na download utakavyo kwa sab unalipa kodi kupitia bundle unayonunua tunataka wanaoingiza CD za nje nao walipe ushuru wa kila cd kama wanavyofanya bongo movie period.
 
Sasa kwanza hauwezi kushindana na piracy ukaiweza, pili hizo kazi za nje ili ziweze kulipiwa kodi inabidi ziwe genuine yani original DVD, ambayo inakua imported kutoka huko iliko tengenezwa nadhani bei ya full season DVD haiwezi kua chini ya $ 15 sasa nani atafanya hio shuguhli ya kununua full season moja 30,000? wakati anaweza kuidownload kwenye mtandao na kuiuza? wanachodai bongo movie hakiwezekani sababu hatuna civilization ya kukaataa cha bei rahisi na kukubali cha bei ghali
 
Hela yangu, deki yangu, tv yangu, umeme nalipia mwenyewe, muda wa kuangalia nautenga mwenyew TUSIPANGIANE nyie bongo mavi... sorry bongo movie hamna jipya uwongo mtupu mwaka huu ni wenu
 
Hatununui na tutawakomesha hadi wajitambue kuwa wao ni wasanii na sio wanasiasa waache kurubuniwa na wanasiasa wenye kujua kusoma na kuandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…